Search results

  1. pisces

    Watanzania tuna miaka miwili ya kupumzika

    Tuitumie vizuri miaka hii miwili 2019 na 2020. Maana 2021 kibano kinarudi. Tutapumzika tena 2024 na 2025
  2. pisces

    Kilichoendelea jana huko ofisi za mifuko ya hifadhi ya jamii

    Yani mzee baba ajue shilawadu halafu asijue kikokotoo. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. pisces

    Tukikamilisha miradi ya Stiegler's Gorge na SGR pekee. Ona habari hii na fanya hesabu kuhusu sisi kuendelea kukopesheka na utathimini tunaelekea wapi

    Walisema gas ingeshusha bei ya umeme maradufu. Ikawa riwaya tu. Huenda hii ikawa riwaya pia.
  4. pisces

    Rais Magufuli hakubali hata kidogo kupewa "constructive criticism"

    Lile swali lako la mihimili ndio linakukosesha wilaya. Ungekua ushalamba dume zamani sana.
  5. pisces

    Oliver N’goma: Mmoja kati ya wanamuziki bora zaidi wa kiume wa miondoko ya Zuku

    Ngoma zake kali sana zinaniburudisha nikiwa kwenye ndinga langu. Muetse,Julie,Helena,Lusa,Nge,Fely,Betty,Alphonsina,Lili,Mayumba nk Sijui kwa ninj nyimbo zake nyingi ni majina ya wanawake. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. pisces

    Mwanadada yule wa Ughaibuni alikuwa sahihi sana na alistahili kuungwa mkono na watu binafsi pamoja na taasisi za kiraia

    Ongeza bidii kidogo utapata ukuu wa wilaya. Maana umeamua kujitoa fahamu.
  7. pisces

    Division 1 ya 9 pccb anaweza pata admission muhas au udom??

    Amemuongelea dogo wake. Punguza hasira.
  8. pisces

    Division 1 ya 9 pccb anaweza pata admission muhas au udom??

    Wataangalia na ufaulu pia wa waombaji.
  9. pisces

    Division 1 ya 9 pccb anaweza pata admission muhas au udom??

    Medical officer ni kazi... Ila watu wa pcb nadhani huwa wanasomea program za afya ambazo huwa naziskia skia bongo ni medicine(utabibu),pharmacy(madawa) na nursing(uuguzi) kwa degree na diploma ila naamini ziko nyingi zaidi. Me pia nimesoma social sciences haya mambo naskia tu.
  10. pisces

    Division 1 ya 9 pccb anaweza pata admission muhas au udom??

    Hivi kuna program inaitwa medical officer?
  11. pisces

    Hivi ukikopa benki (as mtumishi wa serikal) halafu ukaacha kazi, je unaweza ukafuatiliwa?

    Bima ya mkopo hucover kifo tu. Na pia mafao hayatumiki kulipa mkopo wowote wa bank isipokua ile mikopo ambayo mfuko kwa kushirikiana na bank hutoa kama product kwa wanachama wake.
  12. pisces

    Sintofahamu kuhusu kuchukua mafao mifuko ya jamii

    Aliekwambia SSRA ni mfuko wa pensheni ni nani? Mifuko minne imeunganishwa na kuwa mfuko mmoja. Hayo matawi sijui umeyatoa wapi. Mifuko iliyounganishwa(iliyofutwa) ni PPF,PSPF,LAPF na GEPF na hivyo kuunda PSSSF mbayo itakua ikishughulika na watumishi wa uma na agency zake. NSSF itakua...
  13. pisces

    Msaada: Mama yangu kapunjwa mafao yake na mfuko wa PSPF baada ya kustaafu

    Afatilie majibu PSPF wakimsumbua apeleke issue yake SSRA (social security regulatory authority ) wanashughulikia malalamiko ya namna Hiyo.
  14. pisces

    Mama mwenye nyumba anataka kuniozesha mwanae kwa kinguvu nguvu

    Kwa awamu hii ya tano unapopewa sambusa ya bure usijivunge. Kula mambo weweee...
  15. pisces

    Denzel Washington: The magnificient seven

    Kali sana hii
  16. pisces

    Anguko la CRDB na NMB: Wakopaji wakuu mashirika na Serikali 40% na kashfa za vyeti feki (NECTA)

    Bima ya mikopo hucover kifo tu. Na ni 1 percent ya mkopo. Muajiri sio mdhamini wa mkopaji pale mwajiri anaposaini fomu ya mkopo ya mfanyakazi anadhibitisha kuwa atapeleka makato kwa wakati na sio kulipa mkopo pale mwajiriwa anapoacha au kufukuzwa kazi.
  17. pisces

    Anguko la CRDB na NMB: Wakopaji wakuu mashirika na Serikali 40% na kashfa za vyeti feki (NECTA)

    Bima ya mikopo ya bank hucover kifo tu na sio default.... source: i was the banker
  18. pisces

    Ushauri kuhusu Toyota Harrier

    Engine ya 2160 ni ya zamani. Tafuta harrier yenye engine 2az cc2360 unajifanya wake ni kawaida tu maana ni vvti.
Back
Top Bottom