Mkuu naona hamjaelewana, kumbe wewe umetumia kipimo cha mate, jamaa kaonesha kipimo cha kutumia damu na mara nyingi hicho cha damu huwa kinakuwa na hiyo hali ya kuchora mstari baada ya kukaa muda mrefu, ndo maana kinaelekezwa usisome majibu baada ya dakika 20.
sio typing error mkuu Ulikuwa Sawa kabisa, kuna Pre exposure prophylaxis (PREP) Hii inatumika kupunguza chance ya maambukizi kwa makundi yaliyo kwenye risk ya kupata maambukiz Mfano sex workers, wanaojidunga kwa kushare sindano n.k inatumika kabla ya tukio, na hiyo Post exposure Prophylaxis...
hata mwajiri wao tu hana jina la moja kwa moja la kuwaita, ila kaz wanazozifanya ni za kidaktari kutegemeana na kiwango cha elimu yao. Hapa kwa daktari ni changamoto sjui kwanin walitengwa ila kwa manesi, nesi ni nesi tofauti ipo kwa kiwango cha elimu, kama kwa walimu pia wa dip na degree wote...
Mkuu mask inazuia majimaji ya mdomon au puan wakat wa kukohoa au kupga chafya, na kuongea ambayo yanaweza kuwa na virus, yasimfikie mtu mwingine na kumuambukiza. Virus ni mdogo kias kwamba hata macho yetu hayawez kumuona ndo maana had utumie darubin ndo unamuona, udogo wake huwez linganisha na...
Haya mambo ya simba kujiita timu bora wakati miaka 5 hawajashinda nafasi ya kwanza ndo yametufikisha leo hapa asenal, tunajisifia kucheza pasi pasi nyingi wakati wenzetu pas mbili goli wanabeba ubingwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.