Search results

  1. L

    Lowassa kwa sasa CHADEMA ni jipu, litumbuliwe

    Hivi huyu Assady anafanyaje kujitekenya na kijichekesha.Tangu lini wewe Syria uwe mshauri wa CDM? Acha hizo
  2. L

    Wapinzani tutamkumbuka Kikwete kwa wema huu

    kumfananisha kikwete na Magufuli ni sawa na kumfananisha tembo na sungura.Kikwete ni bora mara mia ya Magufuli.
  3. L

    Lowassa had his chance. CHADEMA itafute mgombea kijana mwenye mvuto 2020/25

    Mimi binafsi namwona Lowassa ni moja kati ya viongozi bora kabisa katika dunia ya sasa.Lowassa akitamka neno moja tu nchi nzima inasisimka.Nawashangaa watu wanaomtakia mabaya kiongozi huyu kumsema vibaya wakati wanajua mtu ambaye kwa sasa angesemwa vibaya ni waziri mkuu na serikali yake ambao...
  4. L

    TANZIA: Bi. Asha B. Makame afariki dunia

    Atangulie tu.alikuwa mbabe sana.
  5. L

    Magufuli acha vitisho, tumebalehe kiakili

    magufuli anadhani watanzania wa leo ni wakuwatishia picha ya nyau
  6. L

    Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

    Akili ya Mbowe ni kali.Ni mwanasiasa ambaye historia itamkumbuka tu.2015 ni muhimu tukaanza kumuenzi.
  7. L

    Utafiti wa namna Lowassa atakavyoinufaisha UKAWA

    Tangu Lowasa atangaze kuhamia CHADEMA na kuteuliwa kugombea urais,siasa za mkoa wa Njombe zimebadilika sana tofauti na huko Nyuma. Kwa sasa kila mtu ukimkuta jina Lowasa ni jepesi kutamkika.Watu wengi wa vijijini waliokuwa wafuasi wa CCM,kwa sasa habari kubwa ni Lowasa. Wengi hawataki kumsikia...
  8. L

    Wanachama wa CHADEMA Ludewa wachoma kadi na kuhamia ACT-Wazalendo

    acheni uwongo kwamba wanachama wamehama 500 na kuchoma kadi.Ludewa si rahisi kuwa na wanachama wengi kiasi hicho kwa eneo hata kama pangekuwa ni mji mdogo kama Ludewa mjini.Idadi hiyo ni kubwa mno.Mleta mada ni mhuni wa kawaida tu.
  9. L

    Timu imara ya ukawa dhidi ya timu dhaifu ya ccm 2015

    kwenye kampeni za uchaguzi mwaka huu,hakika kutakuwa na kila aina ya raha.Najaribu tu kuona jinsi vikosi vya mapambano vitakavyokuwa: UKAWA 1.EDWARD LOWASA 2.PROF.LIPUMBA 3.DR.SLAA 4.JAMES MBATIA 5.DR.EMMANUEL MAKAIDI 6.FREEMAN MBOWE 7.JUSA 8.MAALIM SEIF SHARIF 9.TUNDU LISU 10.HALIMA MDEE...
  10. L

    Mambo gani Lowassa ayatekeleze tukimpatia ridhaa awe Rais wa JMT

    Ajitahidi kupunguza kiwango cha makato ya kodi kwenye mishahara ya watumishi pamoja na kuwatafutia ajira vijana wanaomaliza shule na vyuo.Hili bomu kubwa kwa taifa letu kama hawa vijana watakuwa hawana ajira.
  11. L

    Njombe: Wafuasi wa Lowassa wakosa kadi za CHADEMA

    Baada ya uamuzi mzito wa wa Jemedari wetu mpendwa Kamanda Lowasa kuhamia rasmi CHADEMA, maelfu ya waliokuwa wafuasi wake mkoa wa Njombe jana walimiminika kwenye ofisi za mkoa Njombe wakiomba kujiunga na chama. Kwa bahati mbaya kadi zilikwisha mapema. Hadi kufikia jana jioni zaidi ya watu mia...
  12. L

    Utafiti wa namna Lowassa atakavyoinufaisha UKAWA

    Anguko la CCM naliona liko peupe.Lowasa kwa sasa ni habari kubwa.Naisubiri ligi ianze ili nione jinsi Nape na Makonda watakavyotafuta pa kutokea.
  13. L

    DR. W. Slaa: A sensational keynote Speech at Purdue University, Indiana State, USA

    Hii ni hotuba bora kabisa.Haijawahi kutokea tangu baba wa Taifa hili atutoke 1999.Dr.umetuwakilisha vizuri mno.Hizo ndizo hotuba tunazozihitaji Watanzania wa sasa.Mungu akulinde kwenye safari yako yote.
  14. L

    Waraka wa wazi kwa Waheshimiwa Tundu Lissu, Mdee na Wenje

    Mimi binafsi siamini kama Mtu anayejiita Godlisten Malisa ni mwana wa chadema.Unawalaumu wenzio kwa kuandika kwenye mitandao ya kijamii mbona wewe pia umeandika huko huko.Mnatuharibia chama chetu acheni hizo.
  15. L

    Kumekucha CHADEMA, Mwenyekiti wa Wilaya Mkoa wa Arusha na Mjumbe wa BAWACHA warudi CCM

    Shonza anatafuta ukuu wa wilaya kwa gharama zozote.Hivi kama Shonza uliamua kuhama toka chadema,kwa nini unahangaika na chama ambacho moyo wako haupendi kukisikia hata kidogo?Yaelekea una lako jambo we kabinti kambeya.
  16. L

    Baada ya Mangula na Kagenzi kutuhumiwa kumlisha Sumu Dr Slaa, CCM fahamu kuwa

    Kwa njiaya mitandao na magazeti ya wiki hii na mwishoni mwa wikiendi iliyopita kumekuwa na habari kubwa ya njama za kummua kiongozi wa CHADEMA mhe.Dr.Slaa.Moja kati ya watu wanaotajwa kuhusika ni makamu wa mwenyekiti wa CCM Mhe.Philip Mangula. Jambo hili kwa watu wa Njombe si dogo hata...
  17. L

    Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    masikini Zitto.chadema tulikupenda lakini wao walikupenda zaidi.Safari njema.
  18. L

    Moto wa UKAWA waunguza CCM Kyela, Meya, Diwani wavuliwa uanachama

    Mimi kimsingi natofautiana na maoni ya baadhi ya wanachama wa chadema wanaoona si vizuri kuwapokea wanachama wapya toka vyama vingine na kuwapa madaraka.Hoja yao ni kwamba kuna uwezekano wa watu hao kuwa mamluki.Jambo hili ni muhimu tukajiridhisha kwa kuwa si kweli kwamba kila mtu mtu ana tabia...
  19. L

    Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Ruvuma unaiua CHADEMA Songea

    Kama mwandishi wa hoja hii anatoka Songea kwa maana ya Ruvuma,Kiukweli ni mtu asiye na nia njema na chama chetu.Huwezi kumsema mtu kwa hoja za kitoto kiasi hiki.Fuime ni binadamu anaweza kuwa na mapungufu ila kwa hoja ya hapo juu ni dhahiri mwandishi anaonyesha udhaifu mkubwa kwamba Mhe.Fuime ni...
Back
Top Bottom