Search results

  1. mabulason

    Ili uwe mwizi mwenye mafanikio ni lazima uzingatie haya

    Nimeipenda hii! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mabulason

    Diamond Aichafua Marekani

    much know! hamkosekani, kwani ayo majimbo yapo nchi gani?
  3. mabulason

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    gud idea lakini hujafafanua vizuri, mfano changamoto zake, na je faida ipo vip ukitoa matuminzi?
  4. mabulason

    Maandamano makubwa Kahama, wafanyakazi wa Acacia watoa kauli nzito

    pamoja na sheria kaa ukijua kila mfuko una sera zake kaka tazama tena na hii kama una comment zaid utaniambia
  5. mabulason

    Maandamano makubwa Kahama, wafanyakazi wa Acacia watoa kauli nzito

    soma apa kaka Tril 1.2 za mifuko ya jamii zasubiri kanuni
  6. mabulason

    Maandamano makubwa Kahama, wafanyakazi wa Acacia watoa kauli nzito

    soma apa Tril 1.2 za mifuko ya jamii zasubiri kanuni
  7. mabulason

    Maandamano makubwa Kahama, wafanyakazi wa Acacia watoa kauli nzito

    cheki apa Tril 1.2 za mifuko ya jamii zasubiri kanuni
  8. mabulason

    Maandamano makubwa Kahama, wafanyakazi wa Acacia watoa kauli nzito

    Hawa jamaa hawakuacha kazi kwa hiari yao ilo ni janga la kufungwa kwa migodi ndo lililopelekea wao kupoteza ajira zao, unapomwambia asubiri miaka 55 mtu anaefanya kazi za mgodini si haki 1.Mazingira ya kazi ni magumu vumbi, fumes, kelele kupita kawaida n.k 2.Hakuna uhakika wa kufanya kazi mpaka...
  9. mabulason

    Maandamano makubwa Kahama, wafanyakazi wa Acacia watoa kauli nzito

    acha upumbavu na ww hayajakukuta ndio maana, hiyo pesa kabla watu hawajaondolewa kazini NSSF walienda mgodini na kuwaahidi watu kwamba watakaopunguzwa(redundacy) watalipwa pesa yao ndani ya miez 3 maximum b'se no. ya watu ni wengi, lakin ingekuwa inafahamika kwamba hakuna atakayelipwa ucngesikia...
  10. mabulason

    Maandamano makubwa Kahama, wafanyakazi wa Acacia watoa kauli nzito

    uo ni ufinyu wa mawazo yako, hili sio suala la kisiasa labda huelewi nn maana ya maandamano..
  11. mabulason

    Nimeshindwa kuelewa Naomba Msaada:Rais Kumiliki Silaha Akiwa Ikulu.

    mi sioni cha ajabu apo kama ni silaha awe nazo tu, je kwani kama alikua na magari yake binafsi kabla hajakua rais nayo ayatelekeze??
  12. mabulason

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    balaa linaweza kumkumba mtu yeyote
Back
Top Bottom