Habari za asubuhi wakuu.
Asanteni kwa mawazo mazuri ninayosoma humu. Swali langu ni kuwa ukishapanda vikaota, kuna kazi ya kupunguza vilipoota vingi na kupandikiza sehemu ambayo havijaota ili viendane na spacing inayotakiwa.
Hii kazi inabidi ifanywe ufuta ukifika umri gani, siku ngapi, au...
Habari za leo wadau?
Mimi kuhusu ufugaji samaki nimehamasika ila napenda niwafahamu ma kuwatembelea wafugaji samaki waliofanikiwa. Hapa nina maanisha walioweza kuuza samaki wakiwa na miezi sita kwa uzito mzuri.
Hii imetokana na kwamba ktk hii biashara tunaenda kinadharia mno. Uzalishaji...
Ni kweli kabisa mdau uliyechangia. Usiutegemee sn ushauri wa competitor, maana hawezi kukupa siri zote za mafanikio, atakuwa anogopa kuzidiwa. Na wamiliki wengi wako busy, hawana muda wa kushauri beginners. Au uwe na washauri zaidi ya mmoja.
Habari za leo wakuu.
Nashukuru mungu maana naona mambo yanaelekea kuwa mazuri kuhusu mkutano wetu.
Kuna mdau ameongelea habari za kutengeneza objectives, mission and vission. Ni wazi zuri sana lkn ninavyolijua hilo zaidi linaweza kuuchukua siku nzima, hasa vision na mission. Mimi nashauri ...
Habari za leo wadau? Naunga mkono hoja ya kuwa venue iwe Dar. Ikiwa Dar ninaweza kushawishi watu wawili waashiriki.
Ktk mada niliona km ipo ya forest farming, tunaweza kumuomba Malila afacilitate. Na kufacilitate ni km kuongoza, haina maana unatakiwa ujue kila kitu. Vingine washiriki wenye...
Dada wa SUBA AGRO hakuwa tayari kunipa contact za mkulima, kasema niweke order na pesa niache kwake. Sijampa pesa bado. Maduka ya mbegu za ufuta yako Moro sehemu gani?
Naweza kuja muda wowote. Wewe upo Moro? NimekuPM.
Thanks
Asante Gwijimimi
Nimefika suba agro wameniambia zimeisha ila kuna mkulima wao wa Karatu alinunua kwao, anauza shs 9000/kg wakati wao wanauza 6500/kg. Nafikiria kuangalia Moro.
Nashukuru Mkuu, niko Dar, kesho nitaenda kulitafuta hilo duka Kidongo chekundu. Hilo la Kkoo (SUBA AGRO) liko K'koo ipi? Sokoni au? Mnivumilie wadau, ndiyo naanza, na nimehamasika humu humu.
Ktk soma yangu ya hii thread nimeona Naliendele 92 na lindi 2002 ndiyo zinafaa . Nataka itakayotumia muda mfupi kukomaa na inayohimili magonjwa. Nategemea kupanda maeneo ya Bwawani, Moro. Au unashaurije mkuu
Wadau nami ni mfugaji wa broilers. Nimelipenda sn hili wazo ambalo ndiyo naliona. Nilitingwa nikawa sijaingia kwa muda humu. Mawazo yang ni kuwa agenda zilizotolewa ni pana mno kwa mkutano wa siku moja.
Kwa nini tusiwe more effective kwa kuconcentrate na swala mmoja Kwanza. Mfano tuanze na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.