Search results

  1. bigmind

    Namba 666 kitabu cha UFUNUO 13:18 si chapa ya mpinga Kristo kwa Biblia kama wasemavyo Wasabato

    Anaandika Baba Titus Amigu: (Padri na gwiji/mwamba wa Theolojia). Mfuatilie usome ujichotee maarifa upate ukweli na kisha ukuweke huru.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Wakatoliki hawabahatishi haya mambo.. NAMBA 666 AU 616 ILIYOANDIKWA KWENYE UFU 13:18 HAIMHUSU PAPA ISIPOKUWA ELLEN GOULD WHITE...
  2. bigmind

    Ishauri serikali nini ifanye kupunguza athari za COVID-19 kwa nchi na maisha ya wananchi

    Habarini za majumbani kwenu kwa mnao endelea STAY HOME CHALLENGE, napenda kuwasalimu katika Jina la Yesu Kristo, kwa wale ndugu zanguni ASALAM ALAIKUU. Moja kwa moja kwenye mada ambapo napenda kuishauri serikali lakini kuomba yeyote mwenye ushauri kutoa hapa jukwaani kuomba serikali itoe...
  3. bigmind

    CCM Oktoba 2020 tunaomba Ubunge ubaki kuwa nafasi za uongozi si ajira

    Kwanza nianze kutoa maelezo kidogo, wanajukwaa bila kujali itikadi za vyama naomba tuelewane kwa hili nimeonekana kuitumia CCM kuwakilisha sura ya siasa ubunge maana ndiyo wanachukua nafasi kubwa. CCM Oktoba 2020 tunaomba Ubunge ubaki kuwa nafasi za UONGOZI si AJIRA. Kwanza kabisa naomba kutoa...
  4. bigmind

    Hatua za haraka dhidi ya njia hatari zaidi ya kusambaza Virusi vya Corona (COVID-19)

    Kwanza niwaombe moderators msiunganishe uzi huu. Kitaaluma mimi si daktari, ila kwa uelewa wangu wa jumla (general understanding) ni dhahiri kuwa haya nitakasema hapa watu wa kada ya afya wanaelewa hatari yake. Nitaongelea hasa kwa Jiji kubwa la kibiashara la Dar es salaam. Kwa wakazi wa Dar...
  5. bigmind

    Mpambano wa mabasi ya Arusha to Dar

    Kumekuwepo na ubishi mkubwa kati ya haya mabasi KIDIA ONE EXPRESS , EXTRA LUXURY COACH, BM COACH na Mengine kama wasindikizani. Ubishi wenyewe umejikita hasa katika ni BASI GANI LINAKIMBIA SANA..? Binafsi nimeisha safiri nayo KIDIA ONE, BM na leo hii namalizia na EXTRA LUXURY COACH. Hapa...
  6. bigmind

    Hili jibu hakulistahili huyu mdada au nilikosea wapi...?

    Nikiri kuwa muda kuoa umefika maana si kwa hamu hii ya kutaka mke na mtoto aisei..! Sasa kama kawaida yangu huwa nina mzio na wanadada/wanawake vilaza na wavivu wapenda mtelezo/slope...! Sasa katika harakati za kusaka ubavu wangu juzi kati nikasema ngoja nipitie whatsapp groups kwa simu yangu...
  7. bigmind

    Hakuna jambo la kishamba na kiuoga linakera kama hii tabia kutekana watanzania Serikali iko wapi?

    Ni mara chache huwa naandika kuhusu siasa na utawala hasa SERIKALI. Ila inapobidi huwa naandika tena bila uoga wala hofu kuhusu hao watekaji sijui wanatoka kijiji, nchi, au bara gani ni jambo la kishamba, kipuuzi na kijinga. Nianze na lawama za moja kwa moja kwa serikali kuruhusu na kuvibariki...
  8. bigmind

    Bunge linamkomoa CAG, Rais, Wananchi au nani haswa?

    Kwakweli Afrika (Waafrika) specific Tanzania,tu watu wa ajabu sana...[emoji41][emoji41]! Huwa najiuliza tumerogwa..? Tuliumbwa hivi.? Tunajua afu tunafanya kwa makusudi..?? au wazungu bado wanatutawala...?? Binafsi naomba ni declare kuwa mimi si mwanasheria, nitaongea hili SAGA LA CAG na BUNGE...
  9. bigmind

    Wapinzani siasa siyo mchezo wa kubeti/kamali ni sayansi (you must read)

    Kama kuna kitu kila nikifiria binafsi naumia na kumkumbuka Dr. Slaa ni umahiri wake wa kutambua kuwa SIASA NI SAYANSI NA SIYO MCHEZO KAMALI.( politics is science and not gambling game). Leo naongelea kuhusu WAPINZANI na SIASA KAMALI, wachache wenda mtanielewa ila niseme kwa umri wangu huu wa...
  10. bigmind

    Wanasiasa mjiheshimu sana

    Huwa sipendi kuwaongelea maana najua fika mu waongo waongo sana, ila sasa ngoja haya nisije kufa nayo moyoni. Kwanza kabisa nianze na huyu Mzee Lowassa please jiheshimu sana, usituone tuko kimya ukahisi tu wapuuzi sisi(watanzania million 6) tuliokupatia kura binafsi nilikupa kura yangu nikiwa...
  11. bigmind

    Rais Magufuli tafuta muafaka wa kitaifa vita na maadui zetu/zako wapinzani inaumiza taifa

    UTANGULIZI: Kwanza nikupongeze kwa kazi ambayo niseme si haba, ila kama sisi wazaramo tusemavyo kuwa wingi haukidhi haja...! Licha ya mazuri na jitihada zako bado unapata wakosoaji wengi mno hasa wa sera zako. Binafsi ni mfuasi wa kutupwa wa sera na falsafa za mwalimu Nyerere ukipenda unaweza...
  12. bigmind

    Nini matokeo ya huu mtifuano wa Tanzania na hawa mabepari?

    Kwanza kabisa nikili kuwa, inapotokea ugomvi wa mafahari wawili nyasi mara zote ndizo hupata taabu sana. Sisi watanzania/wananchi kama zilivyo nyasi tuna athirika kwa kiasi kikubwa na mtifuano huu. Hii ni kufuatia sera za serikali ya Tanzania dhidi ya mapepari ambao ndiyo wafadhili/wadau wakuu...
  13. bigmind

    Nini kilipelekea kupanda ghafla kwa bei ya korosho mwaka jana. Je, Serikali ilihusika kwa namna yoyote kupanda kwa bei?

    Kumekuwepo na drama nyingi kuhusiana na KOROSHO, binafsi nina swali langu moja tu napenda kujibiwa na serikali au mdau yeyote anayeza maana serikali wenda wasijbu kwa kukosa majibu au kudharau chanzo cha swali. Binafsi kama raia na mtanzania nina haki ya msingi kuuliza swali hili na kudai...
  14. bigmind

    Say no for gay and lesbian in Tanzania

    Najua mpo, mtakao chukizwa na huu waraka. Kwanza kabisa, nikusalimu Mr. Tanzania one, mheshimiwa rais John Pombe Magufuri. Nikili wazi kuwa tangia ulipoingia madarakani sikuwa mfuasi wako ata chembe ila siku zinavyokwenda asilimia za kukuamini zinaongezeka. Waraka huu nauleta moja kwa moja...
  15. bigmind

    Kauli ya "Watapata tabu sana" imeibukia kwa D.Trump White House!

    Kufuatia kushika kasi kwa kauli mbiu maarufu ya polisi "WATAPATA TAABU SANA" iliyo tolewa na kiongozi wa jeshi la polisi mkoa wa Dodoma kamishina Allies Muroto April mwaka huu kufuatia, vuguvuvugu la maandamano ya kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani ali maarufu kama maandamano ya Mange...
  16. bigmind

    Mungu hadhihakiwi, Farao ni mfano wa watawala viburi wa Afrika

    Kwa mfuatiliaji/msomaji wa biblia yeyote anaelewa vyema kisa cha Firauni/Farao wa Misri katika kitabu cha kutoka. Firauni bwana alikuwa jeuri kwelikweli. Kisa cha wana Israel kutoka Misri wakiongozwa na Musa kiliweka mwanzo na mwisho wa utawala dharimu wa bwana/mfalme FIRAUNI aliyekuwa kiburi...
Back
Top Bottom