Wadau, nimepita mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam katika hali ya kawaida mpango mji haueleweki tena au haufuatwi. Watu wanajenga hovyo sijui kama wanavibali au ni mamlaka zimelala.
Baadhi ya vitu vinashangaza, kwa sasa asilimia kubwa ya nyumba zilizopakana na barabara wanaweka frame za...
You have a very low thinking. Hapa umetoa mpaka address ya boss wako. Kibarua kitaota sasa. Hili taifa lina vijana wengi wajinga na wazembe sana. Kama hatua hazitachukuliwa kwenye malezi na elimu yetu then tutakuwa tunatenganeza wajinga wengi sana kama huyu. Sishangai kufanya kazi unayoifanya.
Unapenda Ligi sana wewe, itakuwa mshahara wa December umechelewa ndio maana hasira nyingi. Siyo mbaya utautumia January 2022 wakati wenzako wakiwa wamepigika
Niendelee kumpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar kwa kusimamia maamuzi mbalimbali ya kuhakikisha Dar inasimama katika usafi na mpangilio wa biashara katika maeneo mengi.
Katika hili kuna haja ya kuhakikisha Dar inakuwa katika hali ya usafi na mpangilio wa biashara katika hili kuna haja ya kusimamia...
Nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita kwa zoezi liloratibiwa vizuri sana la kuwapanga Wamachinga. Hili zoezi linaweza kuwa na lawama chache lakini ukichukulia tulipokuwa na tulipofikia kiukweli tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Ombi kubwa katika hili ni kuhakikisha hawa Wamachinga...
Tanzania haina Wanyonge, hili la kuweka mabanda kila sehemu linasababisha kujenga taifa la wavivu wa kutafutia njia za kipato na kuwaza kuchuuza tu...iliongeza rural to urban migration.. na vijana wengi wakawa hawataki kazi ngumu..anataka laini laini tu. Unaenda dukani unachukua vitu unapanga...
Kwenye hili la Wamachinga serikali inahitaji pongezi, maana ilifikia hatua kukawa kama ni vurugu vibanda kila mahali..Unaamka asubuhi unakuta mtu amejenga kibanda pembeni ya geti la nyumbani kwako na hauna uwezo wa kumwondo kisa ni mnyonge. Tulikosea sana kwenye hili na tunahitaji kuwa makini...
Kwenye hili la Wamachinga nitasimama na serikali yetu. HAIWEZEKANI WAMACHINGA WASAMBAA NA KUFANYA BIASHARA KILA MAHALI..tena tulichelewa sana kufanya uamuzi juu ya hili. BARABARA ZOTE ZA MIJI ZIMEJAA VIBANDA NA HAMANA KULIPA KODI. big NO to Machingas
Safi sana Makala..Kwa hili pongezi kubwa sana. Bado Mwanza..Wamachinga waliharibu maeneo mengi sana..Kuna haja ya kuweka uratibu mzuri kwenye hili tena tunakosa mapato mengi sana.
Siasa ndiyo imechangia kuliharibu jiji..wanasiasa wenye mawazo muflisi kama haya ndio wamesababisha jiji limekuwa la vibanda kile sehemu. Huwezi kutofautisha manzese na posta. Na hii imezagaa maeneo yote,...Mwanza kule ndio kabisa hata gari haliwezi kupita.
Kwa hili la Kuwaondoa wamachinga mjini naungana na Mkuu wa Mkoa wa Dar. Kwa hali iliyopo Dar ya sasa imekuwa vurugu bidhaa zimepangwa hadi barabani. Serikali inakosa mapato mengi sana kuendelea kuweka vibanda kila sehemu. Sehemu nyingine zilikuwa zinatumika kwa ajili ya parking ya magari sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.