Search results

  1. M

    Help! Help ni Mdada wa Ki TZ

    Du!! Difficulty allowance!! Sijawahi sikia kitu km hicho ktk Kiingereza!! Moderator tafadhali saidia hapa lugha gongana!! Huwa tunaita "hardship allowance!! "Kweli nimeamini-"the borrowed garmet always does not fit the buttocks" Upo hapo wewe??
  2. M

    Help! Help ni Mdada wa Ki TZ

    Du!! Difficulty allowance!! Sijawahi sikia kitu km hicho ktk!! Moderator tafadhali saidia hapa lugha gongana!! Huwa tunaita "hardship allowance!! "Kweli nimeamini-"the borrowed garmet always does not fit the buttocks" Upo hapo wewe??
  3. M

    Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    Tindishubila akaba naruga omugombolela!!
  4. M

    Wimbo wa Taifa Ulivyotaka Kunitia Matatani...!

    Hakianani, yaani Madiluu umenichekesha kweli kweli. Na jinsi Mwalimu alivyosepa, na hata askari alivyo kusheet eti mkimbizi, mimi mbavu sina!! Hebu nikumbushe maaana ya maneno haya: 1. Paradiso. 2, Nzere 3, Pie mboyo, 4. Apura. Masongi hayo ya the late Madilu System huniacha hoi sana!! Pia...
  5. M

    Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

    Nobona!! Kyatamila Magufa!! Olikishuma iwe!! Kalyempali!!!
  6. M

    Kudeka na Kuringa

    Simple minds discuss people but great minds discuss issues and events. Shame on you!!
  7. M

    Msaada jamani niko njia panda.

    Funga mkanda, kwani mambo ya imani ni magumu sana!! Pia jiandae kula viporo siku za week end kwani wasabato ikifika Ijumaa jioni hakuna kupika mpaka sabato ya bwana ipite!! Teh, teh, teh, teh!!
  8. M

    Atorokwa na MKE siku moja baada ya harusi!!! Toa maoni

    Du!! Hekaya za Abunuasi!! Katika send off tunakuwa na best mana ama Matron?? Naona kinyaa kuchangia kwani uongo huo hauna mashiko katu!! Muona Erick akupe angalizo katika utunzi wa hadithi!!
  9. M

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Hii Thread nimeipenda sana, pia ina mafunzo megi tu!! Nadhani wakati umefika sasa lazima tuseme BIG NO katika michango ya harusi!! Lazima tuwe na pa kuanzia!! Unadai michango kama uliniwekesha pesa sasa unataka nikulipe?? Tuache upumbavu huo?? Ndo maana wa-TZ tuko nyuma KI-ELIMU sana...
  10. M

    Competence of muccobs graduate!

    Nadhani, ni vyema kabisa tunapochangia kuangalia matumizi ya lugha, la sivyo uchangiaji utakosa maana kabisa!! Kwa nini uandike lugha inayochanganya?? Je, unamaana gani?? Ukiaandika Kiswahili, andika Kiswahili, km unaandika Kiingereza andika Kiingereza!! Tuache mara moja kulete utani wa...
  11. M

    Mzazi yaani baba hatuna thamani kwa watoto wetu

    Absolutely true!! I strongly support you [Mkombozi]. Both parents have equal chance, and whenever a kid / kids succeed s/he must ironically praised her/his parents. A wise kid always remember the contribution of her/ his parents!! Probably, we better asked the former commentor, have you raised...
  12. M

    Kikwete: Hata Nyerere alishindwa ingawa tunamsifu sana

    Wewe unawaza kula kula tu??? Mbona huzungumzii elimu bure alotoa Mwalimu, kila mtu alisoma alivyoweza yeye ndo maana tukapata Ma-Professors, Ma-Doctors tena wengine walikwenda nje ya nchi kupata PhD za kwa jasho, ama kodi yetu!! Nchi ilisheheni viwanda, na rasilimali zetu hazikuibiwa hovyo...
  13. M

    Engineers wa St. Joseph College na GPA kubwa kubwa

    Mkuu, nadhani unachokisema si sahihi kabisa!! Yawezekana una "rely on hear say" As per Institutions of Higher Learning, UDSM being one of them when it comes to administration of examinations there are the following things to be adhered with: 1. Rates for setting examination papers. 2. Rates of...
  14. M

    Kenyan Airways Flight With Stranded East African's Lands at JKIA

    Thanks a lot our neigbour Kenyanians for helping our colleagues stranded at Tripol - Libya. But i would like to ask one question specifically to those goverments related to countries whereby our stranded colleagues originates. Where were they before our Kenya counterparts intervene into the saga...
  15. M

    Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

    Mkuu wajua kuna watu wanafikra finyu sana!! Yaani wao wako very negative kwa kila kitu!! Hawa twawaita Pessimistic!! Huwa wanaupeo mdogo sana wa kufikiri. Huwa wana mtazamo wa pua!! Pia wameridhika hata kama wanageuzwa manamba katika nchi yao wenyewe!! Hao watu ni hatari sana!! Yatakiwa uwe na...
  16. M

    Eti 'kuoa' ni gia babkubwa inayong'oa visiki vilivyoshindikana?

    Hapo kwenye red ink, je waweza fafanua?? Hujui suala la kuoa/kuolewa ni katika mila na desturi!! Huko mbeleni kivipi? Labda uwe India kwa Maponjoro!! So longer as you are in African traditions, that will never happen!! Upo hapo??
  17. M

    Manesi nao wanatutega mahospitalini...!

    Hiyo yote ni kutozingatia viapo na maadili ya kazi. Ma-nurse hao na ma-doctor hao hawafai kabisa katika jamii. Kwa nini hamuwareport katika vyombo husika na nyie mwabakia kusawajika tu??? Au mwapenda wanavyo wafanyia, kuwatomasa-tomasa?? Kuna mwana-JF mmoja kaulizia hata hospital gani yenye...
  18. M

    kesho udsm mgomo kwenda mbele

    In order to solve students crisis in Institutions of Higher Learning, you better use the win-win negotiation tactic rather than win-lose [a very unpopolar] negotiation tactic! It is a high time now the goverment through the responsible ministry should sit down and negotiate with students and...
  19. M

    kesho udsm mgomo kwenda mbele

    Haya jamani makubwa tena? Mbona vyuo vikuu migomo tena?? Kulikoni?? Au jamaa wamekanusha HAZINA katika kampeni za kuchakachua na kuwapatia wadanganyika viji-Tisheti vya chama cha XYZefgHI!! Msikimbie kivuli chenu, solve matatizo ya watoto wa wakulima hao!! Wenu, wako majuu, mkiwaandaa eti waje...
Back
Top Bottom