Search results

  1. herzegovina

    Kwanini Mdee na wenzake hawatathubutu kwenda Mahakamani

    Sema mwendazake bwana....Yani yeye ni kila kitu alikuwa anatumia maguvu!!
  2. herzegovina

    Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015

    Na ule uchaguzi wa kuzimiana mitandao ili tu ajitangaze 84% ndio unaona poa??
  3. herzegovina

    Sasa ni dhahiri ndani ya CCM kuna kundi la Rais Samia na la Hayati Magufuli

    Hayati mwenyewe alituachia legacy ya ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI. Hakuna atakayempinga MWENYEKITI
  4. herzegovina

    Zitto: Wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato, alikuwa Rais fisadi zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Kwamba Mungu hakupanga AFE ila binadamu ndio walipanga?? Hiyo nguvu ya Mungu ipo wapi sasa????
  5. herzegovina

    Kigezo cha Rais bora hakipimwi na wanyonge, Wanyonge hawaelewi chochote kuhusu siasa wala uchumi

    Hizo level kubwa si ndio watakuwepo kina Kabudi, Kitila, Madelu na Kigwa!!??
  6. herzegovina

    Kigezo cha Rais bora hakipimwi na wanyonge, Wanyonge hawaelewi chochote kuhusu siasa wala uchumi

    Bado watatokea watu kama Kabudi, Kitila, Mwigulu, Kigwa watapewa weight kubwa.
  7. herzegovina

    Kigezo cha Rais bora hakipimwi na wanyonge, Wanyonge hawaelewi chochote kuhusu siasa wala uchumi

    Ccm wataanzaje kukubali??? Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  8. herzegovina

    Kigezo cha Rais bora hakipimwi na wanyonge, Wanyonge hawaelewi chochote kuhusu siasa wala uchumi

    Na rais bora anatakiwa awainue wanyonge. Yani idadi ya wanyonge iwe inapungua siyo kuzidi au kubaki pale pale. Mfano yule jamaa miaka 6 ilitakiwa kusiwe tena na wanyonge Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  9. herzegovina

    CHADEMA kukubali kupokea ruzuku na kupeleka wabunge wengine wa viti maalum?

    Suala la kina Mdee linanikera sana. Mpaka nahisi kuna baraka za chama kimya kimya
  10. herzegovina

    CHADEMA kukubali kupokea ruzuku na kupeleka wabunge wengine wa viti maalum?

    Naambiwa kwamba RUZUKU inaingia na WANAILA. NAAMBIWA!!
  11. herzegovina

    Bungeni: Luhaga Mpina amtoa jasho Waziri wa Nishati kutokana na tatizo la kukatika umeme

    Alifanya kazi kubwa sana ya kupima Samaki kwa rula Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  12. herzegovina

    Kama Hayati Magufuli alikuwa anaipeleka nchi shimoni tujuzwe. Watendaji wengi aliowafurumusha wamerejeshwa huku wake wakifurumushwa

    Mafuru alisema ana uzoefu na sekta ya kibenki kwa miaka 20 na hakuna tatizo lolote kwa serikali kuweka fedha kwenye fixed deposit...ndio mjomba ake Dotto akakosa simile.
  13. herzegovina

    Jinsi Mzalendo Magufuli alivyofanana Sana kimtazamo na Idd Amin Dada

    GOTCHA Wote walikuwa washamba, japo AMIN alikuwa mshamba katika zama sahihi. Sasa hayati kukumbatia fikra za miaka ya 70.....mmmhhh tuishie tu hapa hapa Shujaa wa ANALOJIA katika kipindi cha DIJITALI
  14. herzegovina

    Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

    Ndio basi tena, yale matrilioni sasa yatakuwa salama...Hakuna mtu atachunguza HAZINA wakati aliyekuwa waziri wa fedha kawa MAKAMU WA RAIS
  15. herzegovina

    Tafakuri: Mimi ni kiongozi wenu, nayajua mengi

    WIZI WA KURA hauwezi kumwacha mtu salama.
Back
Top Bottom