Search results

  1. C

    Mazishi ya Wapigania Uhuru wa TZ huko Arusha waliouawa kidhalimu 5 January 2011

    Mie nakubali michango kuchangwa teana niko mstari wa mbele, ILA naamini tutawaenzi mashujaa wetu vizuri zaidi kwa kuendeleza mapambano ya kuikomboa Tanganyika kutoka utawala dhalimu wa CCM na mafisadi wakiongozwa na JK na genge lake. Mashujaa hao majina yao ni 1. Dennis Shirima na 2. George...
  2. C

    Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

    Do not tell us where right can be obtained! We know more than you LAYMAN. nikikuuliza haki ni nini unaweza kunijibu? Au unadandia mada usizo na ujuzi nazo?? Acha tutumie nguvu za umma kwani tumechoka kuchezewa mchezo wa kuigiza. Kama mnadhani mna haki miliki ya kuongoza nchi hii mtakavyo SORRY...
  3. C

    Waziri Selina Kombani (Katiba na Sheria) na Hatima ya Katiba Mpya

    Kombani! kama anatoa kauli hii anetutia kichefuchefu, hivi hawa viongozi wataendelea "kutuchukulia poa" mpaka lini, dont they know that now we are serious??? shame on them! Yaani hawa viongozi wanakera kweli na wakiendelea na upuuzi huu...... It is high time wajue tuke aware of everything lol
  4. C

    Police kauwawa vurugu za Arusha

    Polisi wetu hawana elimu, wanaishi maisha ya kimaskini pengine kuliko kada zote tazama mazingira wanayoishi, ila kwa upumbavu wao wanamlinda mtu anayewanyonya (JK, RA, EL na wezi wote wa CCM), kukosa akili ni utumwa ndio hao maafande wapuuzi. Hivi wewe Mwema utaficha wapi sura ya 2015 tukichukua...
  5. C

    CHADEMA, anzisheni TV/Radio Station!

    I really support because Chadema sasa kimekua na kinahitaji kuwafikia wanachama na mashabiki wengi zaidi, pia hayo yatakuwa maandalizi muafaka ya kukamata nchi 2015. Wenzetu CCM wanvyo vingi tu kama Uhuru, Mtanzania, nagazeti yote ya "serikali", Cloudsfm, radio Uhuru, ITV, na vingine vingi...
  6. C

    UVCCM walaani Maandamano ya CHADEMA

    "Gossip is easy, politics is hard". Kwama yana ukweli atatoa tamko rasmi tusipoteze nguvu kujadili mambo ya baa/vilabuni. CDM ni chama cha wasomi wenye uwezo wa kujenga hoja sio jsut nonsense talks
  7. C

    Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema: HUYU MZEE KACHANGANYIKIWA

    Stupidity from brainless Secratary of Party, hivi CCM wamelaaniwa! Kiongozi mwandamizi wa chama anaongea rubbish kama hivi, kweli inasikitisha sana. Hebu tazama Cv za makatibu wa vyama utaona maajabu mfano mtazame Dk Slaa (Chadema), Seif S. Hamad (CUF), Makamba (CCM) kweli CCM wanatia aibu...
  8. C

    CHADEMA sasa YATIKISHA NCHI..Idara zote serikali hapashikiki!!

    Wapenda amani wote tunasikitishwa na mauaji ya Arusha, RIP wote na pole kwa familia zao. CDM tunatakiwa kuweka majina hayo ya mashujaa wa ukombozi wa Tanzania toka kwa madhalimu CCM katika vitabu vyetu vya kumbukumbu. Safari ya ukombozi ndio imeanza. Personally nitatunza hayo majina for future...
  9. C

    Orodha ya Makabila ya Uingereza

    To me hizo tofauti ni lahaja tu (Accent) kwani hutofautiana zaii katika matamshi ya maneno (pronounciation) zaidi kuliko miundo ya sentensi na maana, hivyo huwezi kuziita lugha tofauti isipokuwa lahaja, ila Scottish accent, na Irish accent zimatofauti kubwa na "Queens English". kwa mfano...
  10. C

    Clouds Radio na KIPINDI CHA JAHAZI KINAZIDI KUBOMOKA

    Ninawasiwasi na uelewa wa mambo wa Kibonde, hajui lolote kuhusu siasa,uchumi wala sheria, nimekuwa nikimsikiliza muda mrefu nikagundua alipata umaarufu kwa bahati mbaya tu, uelewa wake umeishia hapo na njaa zake ndio zinamsumbua. hajui hata kupiga propaganda za kisomi zaidi ya kuongea utumbo...
  11. C

    Breaking news:hali ya majeruhi wa maandamano ya chadema arusha

    Nice updates, wadau wa JF tuzidi kuwapa moyo mshujaa wetu wa demokrasia ya kweli, siku zote utawala ulioshindwa kwa hoja hutumia nguvu kuzima vuguvugu, CHADEMA KITAENDELEA KUTUMIA NGUVU YA UMMA KUDAI HAKI, USAWA NA UTAWALA WA SHERIA, ndugu zetu ANC walipambana kwa miaka mingi hatimaye waliondoa...
  12. C

    Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

    Naamini sas mapambano rasmi ya kuung'a utawala dhalimu wa kimabavu yameanza..ndugu zetu wana CDM Arusha tuko pamoja, tunajipongeza kwa ushindi dhidi ya dhuluma za waziwazi. Mungu awajalie nafuu haraka. JK na madhalimu wenzie wasidhani nguvu ya umma wanaweza kuizuia kirahisi asilani, tena...
  13. C

    Kongamano la Katiba Mpya - Nkurumah Hall Jan 15, 20011

    Ni muhimu kuhusisha wanaharakati mbalilmbali walio mstari wa mbele katika kupigania Katiba Mpya, nawakusudia Mch Mtikila, njelu Kasaka na kundi la G55 enzi zile, Kituo cha Sheria na haki za binadamu, wanafunzi wasomi, n.k. Binafsi napendelea mjadala uwe wa wazi tena kama ikiwezekana uwe live...
  14. C

    Magufuli aanza kulewa madaraka?

    Japokuwa mimi nina uchungu na nchi hii, ila sikubaliani na hatua za kienyeji kama vile nchi haina sheria... kwenye mkataba huo wa ujenzi kuna "sanctions" iwapo upande wowote utakiuka masharti ya mkataba, amao mara nyingi huwa ni fidia y fedha na adhabu zingine, sasa iweje Magufuli amweke lupango...
  15. C

    IKULU: Kikwete si mmiliki DOWANS!

    Sikutarajia Salva atoe kauli tofauti na hiyo.. zaidi ya yote sikutarajia aje na ufafanuzi wowote [ kwa kuwa hana jipya], anachosahau ni kuwa sasa kila kitu kipo wazi na mengi yatazidi kufichuka mpaka atachoka kutetea uwongo. Huku Wikileaks ikiendelea kutuletea habari zaidi za uozo wao...
  16. C

    Werema: Nilichoongea ni maoni yangu si msimamo wa serikali

    Werema umedhihirisha jinsi gani ulivyo kilaza, Mwanasheria huwa haongei bila utafiti wa kutosha unaropoka halafu unaanza ku -justify. Nonsense sijawahi kuuamini uwezo wako, sitakuamini asilan, we endelea na ufisadi ila fani ya sheria ishakushinda...
  17. C

    Nchi imemshinda na Chama chake kimemshinda; aombe wawekezaji?

    "You can cheat some people all the time... and you cheat all the people at some...BUT YOU CANNOT CHEAT ALL THE PEOPLE ALL THE TIME! Naomba tukumbuke quote hii toka kwa Abraham Lincoln. JK na CCm walitegemea propaganda kudanganya umma ndio maana walibadili nyimbo kila mara mara Mkukuta...
  18. C

    hukumu kesi ya Chenge

    But we have not talked about driving vehicle without insurance. Was he convicted as well, because I can see only convicted with reckless driving and causing death! Vipi suala la bima ni hiyohiyo laki 7!! Lazima to review sheria zetu
  19. C

    DOWANS yaibwaga TANESCO; TZ kulipa gharama na adhabu Bil. 185!

    Mkataba wa ubia baina TBC na kampuni ya Wachina ya Star Com uliyopelekea kuanzishwa kwa kampuni ya Star Media umebainika kuwa na kasoro nyingi na serikali ipo kikaangoni, inatakiwa kuidhamini kampuni hiyo ikope ili ipate fedha za kujiendesha.. Kibaya zaidi taratibu za kisheria kupitia PPRA...
  20. C

    Hakika ni dr slaa wa watanzania......

    :target:it is the price we pay for electing mafisadi only dr was rightful candidate for TZ
Back
Top Bottom