Search results

  1. wasumu

    Kwako Pascal Mayala natanguliza msamaha

    Kiuhalisia nimetenda mambo ya kuidanganya nafsi kwa kumfikiria mambo vibaya huyu ndugu mfano nilijua ni kilaza. Kumbe nikajidanganya kumbe kuna watu wamechaguliwa na MUNGU ukimsema vibaya yeye hapati madhara wananzengo tuwe makini na watu kama hawa AM SORRY MAYALA
  2. wasumu

    Niishi kwa akili ipi kivipi na mwanamke huyu

    Kwa kutopeteza wakati nina mke ila kuna makando makando anayaongea .1.tuna mtoto mmoja ila lawama ni kuwa yeye alikuwa hayuko tayari kuwa na mtoto ivyo nimemuharibia maisha yake .2. Mara anasema tafuta mwanamke mwingine yeye hatak kusex sana kwa mwezi anasema ni mara nne au asifanye hajisikii...
  3. wasumu

    Natangaza kujinyonga

    Kama alipita mwaka 2015 atapita na mwaka 2020 Mie ni muhehe najinyonga asipopita maamuzi magumu Jo ni jembe na mwamba wa taifa
  4. wasumu

    kumbe Bbc nao ni Makanjanja

    Bbc swahili kwa bandiko lenu (waongo siwa kweli) nimesikitishwa na maelezo yenu juu ya illuminat jinsi gani uandishi wenu si wa kiutafiti .(kanjanja) Kusema kundi la illuminat Lipo au kuliongelea ni propaganda ya watu wenye msongo wa mawazo si kweli . kwamba eti sababu nyingine ni umaskini ndio...
  5. wasumu

    Watumishi wastafishwe

    Ndugu mheshimiwa kama bandiko linavojieleza ni kuwa watumishi hawana wa kuwasemea wanafanya kazi masaa mengi wakati shughuli nyingine za maendeleo zinalala Lengo la bandiko hili ni kuleta hoja ambayo ni ya msingi sana hasa utawala wako huu watakaopenda kustaafu na walipwe chao ili uajiri...
  6. wasumu

    Bado una imani na utawala huu

    Kiukweli mimi binafsi sina imani na utawala huu hasa kauli zao zilivo ni kama hawaishi nchini hapa yaaan ni kama wamevaa miwani ya mbao hawaoni ? .Yaan jameni tuungane wale buku 7 hawana hoja yaan wao wapo kupaka rangi tu .tuungane kuitoa CCM ni bora tujaribu upande mwingine tupambane ni bora...
  7. wasumu

    Ushauri kutoka kwenu waliopitia haya

    Nina mpenzi anaitwa anna sasa kapata ujauzito na yeye anamuogopa baba ake sana sasa anataka atoe iyo mimba ila mie sijamuunga mkono je nimsaidiaje maaanake anasema nikanunue vidonge au ni mpeleke kwa doctor ila mimi moyo mgumu sana namwogopa MUNGU .je ni msaidiaje ? Wandugu mliowahi kutoa mimba
  8. wasumu

    Raisi wa ghana asema hela zinatengenezwa na sekta binafsi sio serikali .

    Money is made in the Private Sector and not the Public. - President Akufo-Addo #GHInaugurationUpdate #AFCON2017 on Twitter
  9. wasumu

    Namba zinasomwa sana sikia hii...

    nilikuwa nipo kijiweni kijiwe cha draft tukaanza kuzungumza kuhusu siasa sasa watu wengi walikuwa wanaponda sana kuhusu uchumi ikatokea mwingine wanasema kuwa mambo mbona mazuri daaah kilichotokea matusi hadi kutishiana kupigana Ngumi bhasi mimi nikasema jamaaan siasa sio ugomvi unaweza ukawa...
  10. wasumu

    msaaada wa hii computer

    msaaada computer yangu imekufa kiooo display aina ni ...hp elite book ...
  11. wasumu

    kwa wenye tatizo la software au program kwa kasulu

    kama una tatizo la software na programe yeyote kwenye computer kwa wilaya ya kasulu (kigoma) tutafutane nitakuwekea kwa bei ndogo kwa mawasiliano namba zangu ni na nyingine ni Napatikana nipo likizo
  12. wasumu

    Waliokuwepo kipindi cha azimio la Arusha 1967, maisha yalikuaje!

    Nimesoma kwenye vitabu tu ila waliokuwepo kipindi cha azimio la Arusha maisha yalikuwaje? Nataka niandae notes juu ya azimio la Arusha, nahitaji kuongeza uelewa.
  13. wasumu

    dawa ya trafiki ni hiii

    Nashangaa mtu akikamatwa na polisi lazima mara aanze kusema yeye ni anafahamiana na mkuu labda mkuu wa polisi ,au mkuu wa mkoa wengine wanafikia hadi kusema wanafahamiana na waziri na hili halipingiki na ukweli huwa na namba kabisa ya hao wakuuu wao .SASA DAWA YENYEWE NI KUWA AKIKUKAMATA...
  14. wasumu

    kwa anayejua kuhusu 2pac

    Kama bandiko linavojielezanaomba kama unajua vitu mbalimbalina mambo yanayomuhusu 2pac naomba kujua ,......kwa sababu kuna kibao kimoja nimepitia mashairi yake nikajua jamaaa alikuwa ni zaidi ya great thinker shair lenyewe ni hili . "I Wonder If Heaven Got A Ghetto" [Chorus:] I wonder if...
  15. wasumu

    Msaada wa ndoto hiii inajirudia jirudia

    Yaaan nimeota ndoto anga zima limebadilika na viumbe wengi wanakimbia huko na huko inatisha zaidi ya horror movies. Sasa hiii ndoto huwa inajirudia sana ila kwa mtindo tofauti mfano unakuta kuwa naota kuna vita anga zima limetekwa na ndege na kuna tisha sanaaaaa ..... Why this? Je ni ndoto au...
  16. wasumu

    Utofauti wa Bob Marley, Lucky Dube na Senzo huu hapa

    raggae ni tofauti na miziki mingine ni mziki ambao hauchuji hata kidogo hasa ukiwasikiliza lucky dube .Dube alikuwa mtaalamu sana wa kinanda sikiliza wimbo .Back to my root vinanda humo unakisikia ,,,,,,,tuje kwa bob marley yeye na wimbo wake wa redemption song ..hatari sana kwa gitaaa na...
  17. wasumu

    Maisha ni ujanja ujanja, tupeane ujanja

    Wewe ujanja gani unaofanya kuishi ujanja, dili gani umepiga hadi unajiona wewe ni mjanja, tupeane dili ujanja ujanja. [emoji102]
  18. wasumu

    siamini kama kweli adhabu hii iko inatoka moyoni

    kama kweli mnapinga adhabu ya kifo kwa nini wanauawa wezi mitaaani wanachomwa moto wakati mahakama ipo unafiki huwa sipendi sikuzote maishani chagua moja kukataa kujichukulia sheria mkononi wakati mahakama ipo sio unapinga hukumu ya kunyongwa wakati mtaaa umenyonga watu wengi ambao hawana hatia...
  19. wasumu

    Kwanini CHADEMA mnajiita Makamanda?

    chadema mnajiita makamanda wakati hata mgambo hamjapitia why nataka kujua ukamanda upi huo wakat kila kitu mnapinga sijawahi ona mmesifia kitu chochote kile katika utawala wa ccm na hata magufuli why ..
  20. wasumu

    Nimeibiwa simu usiku huu msaada

    msaada nimeibiwa simu aina ya nokia lumia jamaaan mnisaidie
Back
Top Bottom