Search results

  1. R

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Ok ndugu yangu japo nilifikiri hilo lakini nahitaji biashara nitayowez kuitrack kwa wepesi maana ajira yangu inanihitaji kila siku kwa masaa 14 kasoro j2 na kaZ za genge nikahisi itakuw vgumu kupata mtu nitayewez kumtrace
  2. R

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Niko mjini mkuu hizi biashara za kibenki mtaji wake hua ni bei gani kwa mtandao?
  3. R

    Makontena kukamatwa inamsaidia nini mwananchi?

    Mimi ni mvivu sana wa kupitia comments za watu ila imenilazimu kuzipitia hizi kutokana na swali lenyewe. Kuna wa2 wamemtusi huyu jamaa, kuna wa2 wamemuunga mkono huyu kamanda ila pande zote mbili wengi wametumia ushabiki wa vyama kujibu swali. Mimi nadhani kabla ya kujibu hili swali nijiulize...
  4. R

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Hey guys, Iam new to this society but nimekua nikiona wa2 mnapeana ushauri, i liked and told my self 'kwa nn nisiombe ushauri.' Am 22 yrs male, just got a job although it sucks. Natamani kujiendeleza nitoke hapa na kupiga hatua nyingine, niko kazini mwezi wa 6 now nimejaribu dunduliza pesa and...
Back
Top Bottom