Search results

  1. pambe samanini

    Je! Mahari ni suala la kisheria?

    Nataka kufahamu zaidi kuhusu utoaji wa mahari kwenye masuala ya ndoa kama:- 1. Mahari ni nini? 2. Mahari ni muhimu katika ndoa? 3. Bila mahari ndoa hiyo ni batili? 4. Nani anahusika kupokea na kutoa mahari? 5. Je,! Wasiotoa mahari wanatenda kosa gani kisheria? Karibuni ndugu kwa msaada wenu
  2. pambe samanini

    Nimeamua kuachana na dini, nitamuabudu Mungu kwa utaratibu wangu mwenyewe

    Vitabu hivi vinabainisha dini na Mungu, kama unataka dini nzuri ni kusaidia hao wenye uhitaji na siyo vinginevyo. Mungu kimsingi hana dini ila anaishi kwenye watu wanaoamini dini hizo basi.
  3. pambe samanini

    TASAF ni mali ya nani?

    Serikali yetu ya Tanzania ina mipango na malengo mazuri ya kukwamua wananchi wake katika wimbi la umaskini na kuna mashirika mbalimbali ya kiserikali na yasiyo ya serikali yanayoshughulikia jambo hili. Lakini cha kushangaza TASAF ambayo ni shirika moja wapo sijaelewa wanufaika wake na ni mali ya...
  4. pambe samanini

    Sikutegemea kauli ile ya waziri wa elimu dhidi ya uhaba huu wa walimu.

    Walimu hawana baba wala mama Kila mmoja ni mzazi. Heshima ya walimu inabagazwa sana na watu wanaodharau taaluma ya walimu na walimu. Ujinga huu ukiruhusiwa taaluma hii pamoja na vyuo vyake watakuwa wameshushwa hadhi yao km taasisi za kitalaaluma na kuwa kikundi au genge la wahuni tu
  5. pambe samanini

    Spika Ndugai: Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem

    Hata mm siwezi sema mtu wa kongwa Sent from my TECNO L9 using JamiiForums mobile app
  6. pambe samanini

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    True brother, wao hudhani wanaakili sana na siyo wa majaribio
  7. pambe samanini

    Dini zimechangia kudumaza ufahamu wa mwafrika

    Mtoa mada yeye mwenyewe anamini maandishi asiyoyaleta mwenyewe. Matusi yanayoelekezwa kwenye Dini na waumini wake hayafanani na mafanikio ya watu kimaisha hata China wapo maskini km walivyoa Africa
  8. pambe samanini

    Mpira kwapani

    Nimefurahishwa sana na maelekezo ya TAMISEN chini ya waziri Jafo kuwa awamu hii hakuna kuweka mpira kwapani bali gozi litegwe uwanjani lipigwe Nina maswali kadhaa 1 nani kaweka mpira kwapani kati ya Wapinzani na Chama cha dola 2 kuna shida gani ya kumlazimisha aliyeweka mpira kwapani kudunda...
  9. pambe samanini

    Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Ulishawahi kumuuliza baba/mama ako kwani nini walishiriki ngono, kwanini mama ako alipewa mimba na baba ako, kwani nini walikuzaa? You can't challenge the creator by your own person thoughts. Mpiga kristo yupo na anatumia watu kama ww. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. pambe samanini

    Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    Wapumbavu husema moyoni mwao hakuna Mungu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. pambe samanini

    Haile Selassie: ‘Masiha’ aliyeuawa na kutupwa chooni, kutukuzwa na kupingwa

    Iwe ya dar24 au siyo; bado mm nimejifunza kitu juu ya Rastafarians Sent using Jamii Forums mobile app
  12. pambe samanini

    VIDEO:Hatimaye wabunge "MAKASUKU" wa CCM "wajianika" leo kumjibu Zito ...

    Ccm porojo tu kwani hayana hoja bali pumba tu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. pambe samanini

    Dkt. Tulia A. M katika ubora wake

    Wanasema wao wanapenda kusifiwa sana halafu ndo wanafanya kitu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. pambe samanini

    Ungekuwa wewe Tundu Lissu - Baada ya kumiminiwa risasi zote zile ungefanyaje?

    Injinia soma hiyo????? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. pambe samanini

    Uamuzi wa Spika kwa CAG katika jicho la Prof. Albert Venn Dicey

    Tukiendelea kuwa na maprofesa km ww nadhani taifa hili litaanguka na kufa maana mchango wako hata chaekechelea anaweza kosoa kwa hoja na siyo pumba zako hizo; pole Sent using Jamii Forums mobile app
  16. pambe samanini

    Kwanini Makao Makuu ya Kanisa Katoliki yasihamie JERUSALEM(Israel)?

    Loading......... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom