Search results

  1. CompilerZeCoder

    INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

    So zote n bei sawa si ndio??
  2. CompilerZeCoder

    Ueneaji wa magonjwa ya kuambukiza

    Nakiri kukosea hapo, turud kwenye mada Mchango wako n upi?
  3. CompilerZeCoder

    Ueneaji wa magonjwa ya kuambukiza

    Hello Jf Doctor, Kuna jambo linanipa utata wa majibu kila napolifikiria. Kwanza kabisa pongezi kubwa ziwafikie wahusika wakuu na waanzilishi wa Project ya Mwendokasi Dar (UDART) Ila tukiangalia uwiano wa mabasi na watu n wazi kwamba mambo hayajakaa sawa maana watu hujazana kiasi kwamba hewa...
  4. CompilerZeCoder

    Rais Magufuli kuomba kujengewa msikiti na uwanja wa mpira wakati Kagera watu hawana makazi

    M ndo nishatia sahihi ivooo, nna mikataba isiyopungua saba had sasa Chezea mgeni wewe
  5. CompilerZeCoder

    Vazi la suti linahitajika

    Habari za mda huu wana JF, Yeyote mwenye kufanya biashara ya nguo hususan suti please anipe muongozo km naweza kupata suti yenye :- 1 Single button 2 Blue Coat 3 Black trouser
  6. CompilerZeCoder

    Aliyetolewa macho yawezekana yeye ndiye mkosaji

    Kiukweli hili suala si dogo km raia tunavyoliona Tunaamin sheria itajitahid kufikiria mambo km hayo na kutoa hukum kwa haki maana wengi wetu hatukuqahi kujiuliza maswali km hayo kabla ya kuhukum
  7. CompilerZeCoder

    Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

    Daahh umakini mkubwa unahtajika maana yawezekana hukuwaelewa fresh, kila la kheri ndgu na umakini pia wasijekufunua buti
  8. CompilerZeCoder

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Very sure mkuu, uko very intelligent na mwenye kujali, tuelimishe kuhusu hayo km una ufaham nayo
  9. CompilerZeCoder

    Ukimpata mpenzi kama huyu utaishi maisha ya raha sana aisee

    Hehehehehe kweli madungaembe Yanataka penye mkwanja na ukiwepo utawekewa beki tatu
  10. CompilerZeCoder

    Mwalimu Frank Msigwa aomba radhi mtandaoni, nasisitiza Sheria ifuate mkondo wake

    Tushamsamehe ila sheria iwepo pia dhidi yake,msamaha wa maneno hatutaki sisi Km ndivyo mambo yanavyokwenda wengine watajifunza kwa nan au kwa lipi?
  11. CompilerZeCoder

    Niko dilema nishaurini

    Duuhhh eehhh bwana eehh Sasa hyo ndo mitihan ya maisha kjana achilia mbali ile ya kwenye karatasi darasan Cha msingi n kusubiri mtoto akue utamlea yeye km yeye na wala sio kulea team usiyoifaham ndgu yangu
  12. CompilerZeCoder

    Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

    Daahh ukahaba upo na mwendo saana kwa Taifa lakn sababu bado haijajulikana HUENDA :- 1 Ugumu wa maisha 2 Raia wamekua wavivu ktk utaftaji 3 Michongo na deals zao zimegoma 4 Ulemavu wa akili(block minded) 5 Kutegemea vya wazaz na sasa havipo
  13. CompilerZeCoder

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    GUYS, DAWA NILIIPATA HOSPITAL ILA PIA NTAKUPA MAELEKEZO MAZURI IKIWEZEKANA HATA PICHA ILI UWE NA WEPESI WA KUIELEWA JE, WEWE N MHITAJI? KARIBU INBOX
  14. CompilerZeCoder

    Nani wa kuoa? 1st part

    Yanini kuhangaika kuangalia ukubwa wa mguu, makalio na namna matiti yalivyokaa kwa mwanamke unayetaka kumuoa?Kwanini usiangalie ukubwa wa moyo wake katika kupenda na kustahimili? Usisahau kwamba baada ya miaka kumi unaweza kukuta hana tena hilo kalio, wala huo mguu au matiti yaliyokuvutia ila...
  15. CompilerZeCoder

    Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

    Pole yako ndugu, ila pia ujue ukifika mda utawatafuta na utakua nnje ya mda Nakushauri uwe tu makini usijiue maana type yako huwa wanakua wameathirika kisaokolojia(psychological)
  16. CompilerZeCoder

    Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

    N kweli unakuta mwanamke kajitwisha mzigo wa katan had u ajiuliza analala vipi, bahat mbaya ana mwili/umbo dogo basi unaogopa hata kumgusa huenda akakosa balance na kuanguka kwa uzito aliobeba Ts boring sio urembo tena
  17. CompilerZeCoder

    Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

    Kushangaa huko ujiulize n kwann anakosa concentration kwako na ujiongeze Lazima uwe na udhaifu
  18. CompilerZeCoder

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Nashkuru saana wandugu kwa msaada wenu ila nlishapata dawa, kuna hospital nlienda wakanichek kwa kupima damu ila pia ushauri wenu umekua msaada saana kwangu Nawaheshim saana
Back
Top Bottom