Search results

  1. P

    Heslb: tumaina makumira main campus: wanufaika wa mkopo mwaka wa pili 'bedmath', 'bedpe' na 'beece'

    Wanafunzi mwaka wa pili kozi tajwa hapo juu ambao ni wanufaika wa mkopo HESLB wameshindwa kupewa stahiki zao baada ya bodi kutuma majina bila allocation. Tunahitaji msaada wa mawazo tu jamani. BED, NA LAW WAMESHASAINI BUM TAYARI LAKINI MENGINE HAYAJATOKA JAPOKUWA KUNA HALI YA UVUMILIVU NA UTULIVU
  2. P

    Naomba kujulishwa jina la mwimbaji huyu wa zamani

    Jamaa aliimba hivi Juli mi nakonda kwa mawazo juu yako mama........ Ninakupenda penda.....Nijibu kama wanipeeeenda......
  3. P

    Loan officers mlio vyuoni msiwanyanyase wateja wa NMB

    Kuna dhana ya upendeleo katika kugawa boom linapoingia chuoni. Wateja wengi wa NMB hatutendewi haki na loan officers. Ni jambo la kushangaza sana pale unaposign boom lako, ukathibitisha kwa macho yako kuwa pesa zinafanyiwa mchakato wa kutumwa kwa njia ya mtandao na loan officer kwenda bank...
  4. P

    Msaada: Tatizo la ku-appeal mkopo heslb.

    Kuna tatizo linanisumbua sana, nimeappeal mkopo wangu, nimechunguza sehemu zote zimejazwa vzr, cha kushangaza zaidi nikiangalia application status ninaambiwa INCOMPLETE! Tatizo ni nini wakurugenzi? Nahitaji msaada wenu.
  5. P

    Msaada: (HESLB 25%) walioacha chuo na kujiunga na chuo kingine

    Kwa waliotimiza vigezo vya 25% HESLB mkopo wao utatokalini jamani? Tunaomba msaada wakurugenzi.
  6. P

    Msaada basic maths, anayeweza kuprove fomula hizi

    Jamani kwa anayejiweza kuprove fomula atusaidie 1.MEDIAN 2.MEAN 3.VARIANCE 4.AP&GP 5.SETS
Back
Top Bottom