Search results

  1. C

    Waziri Mkuu aagiza kaburi la Faru John lifukuliwe

    Huu ni usanii tu faru John kafa Acha cinema iendelee kwa gharama ya kodi zetu
  2. C

    Kweli Max Ndiye Yeye: Kwanini Sina Hofu

    Jf ikifungwa waathirika wa mwanzo polisi kitwa wanashinda humu Bora wamuachie max tu
  3. C

    Pembe ya faru John yapelekwa kwa Waziri mkuu

    Gambo alimuingiza pm chaka
  4. C

    Masyaga Matinyi: Kibaraka wa Waarabu (OBC) Loliondo

    Ukisoma makala yake UTAJIONEA aibu kama mtanzania
  5. C

    Rais Magufuli, Waziri Ndalichako na wengine, acheni kuchezea elimu yetu

    Vice cv yake mbona ni hizo hizo za kuunga mwaka huu kila mtu atakunywa maji
  6. C

    Songea: Aliyekuwa mgombea Ubunge Joseph L. Fuime afukuzwa uanachama wa CHADEMA

    Muwe mnaweka akiba ya fitna na majungu Mtu anauza ubunge bei gani? Wakati akiingia bungeni kuna mamilioni yapo yanamsubiri 90 ya gari anaweza kukopa mpk 200 m kwa udhamini was bunge sasa muuza ubunge hulipwa bei ipi?
  7. C

    Girlfriend wangu ananiendesha kweli,Kichwa kinanivuruga sasa

    Endelea naye jaza mafuta passo mjini kila kit ujasiri
  8. C

    Mke wa Mbunge Lema ashtakiwa kwa kumtumia ujumbe Mkuu wa Mkoa wenye neno 'Shoga'

    Siasa rahisi hizi ni nani wa kuzibadilisha agrihhhhh
  9. C

    Viongozi CHADEMA(W) Karatu watafuna mamilioni ya harambee ujenzi wa ofisi

    Aliyekula michango kama wanamjua c wamchukulie hatua hays ni matatizo ya kutumia nguvu badala ya akili
  10. C

    ‘’Mpemba’’ amponza DCI, Diwani Athumani

    Wkend vinywaji vya mwendokasi vinakuharibu akili ulichoandika hakieleweki labda kesho utatufafanulia
  11. C

    Lema amgomea Mrisho Gambo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa Hospitali ya mama na mtoto

    Gambo amuulize Magesa aliingia arusha kwa mbwembwe akaondoka mpole Sasa unawezaje kuzindua mradi bila kutaja waliofanikisha kufikia hatua hiyo?!!!
  12. C

    Uhakiki wa vyeti ufike kwa wabunge

    Acha wakaguliwe sifa ni kujua kusoma na kuandika kwa nini wanadanganya na mivyeti yao feki
  13. C

    Mbatia: Uhakiki wa vyeti feki uanzie kwa Rais na viongozi wengine

    Kweli likifanyika kwa mtiririko huo kuanzia juu litakuwa na ufanisi sana ila wataumbuka wengi ha ha iuna cv za vigogo ukiziangalia unajua ni famba Hawa watatoka povu kuzuia zoezi kwa wanasiasa
  14. C

    NIDA: Madudu Cheti kimoja watumishi zaidi 3, Watumishi watumia majina ya marehemu

    Kizungumkuti kwa wabunge zoezi likihamia huko lazima wakwamishe. Kuna walioishia o level lakini kwenye web ya bunge unaona ana masters
  15. C

    Mahakama ya Rufaa yawarejesha kazini waliofukuzwa kazi BoT miaka 22 iliyopita

    Mara nyingi uchelewaji huu huwa ni mkakati/ goli l mkono huwa kuna makubaliano na hao mawakoli wazembee ili kusaidia upande mwingine ushinde
  16. C

    CHADEMA yajipanga kujenga ofisi

    Jengeni makao makuu acheni ubabaishaji mnapeleka wapi ruzuku hasa wkt huu shughuli za siasa zimetulizwa
  17. C

    Ule mkanda wa mlipuko Soweto mbona chadema hawautoi?

    Kama kweli mkanda wa mauaji upo no bora utolewe wauaji wajilikane wachukuliwe hatua kuendelea kiuficha inamfaidisha nani?
  18. C

    Waziri Ndalichako awatimua Chuo walimu wa mafunzo waliompiga mwanafunzi shule ya Kutwa Mbeya

    Hii nchi kila mtu anawahi atokee vipi . Hakuna mamlaka za kuwasikiliza na waadhibiwe kwa mujibu wa sheria kanuni na taratibu?
  19. C

    Zitto Zuberi Kabwe ni Mchochezi. Akamatwe, Ashitakiwe kwa Uchochezi, adai Rais Magufuli ni...

    Rais hasemi uongo kawa Mungu kujipendekexa kwingine kunatia kinyaa
  20. C

    Jacob Nchimbi apigwa baada ya kuhisiwa anampeleleza Lipumba

    Vyama vya siasa tz ni kama vya kigaidi mtakumbuka wale wa ccm iringa waliomfyatua bega mbunge rose kamili
Back
Top Bottom