Search results

  1. G

    Serikali kuwabeba wanaofeli Kidato cha Pili na Darasa la Nne

    Ungekuwa mwl ungejua kuwa mwl ana kaz gan..nyepes au ngumu? na je malipo yanakidh mahtaj? leo umwambie afundishe muda baada ya kaz kwa mshahara upi unaomfanya aridhke abak kufanya kaz nje ya ratba yake ya kilasik wakt huo familia yake inakula nin? shaur hlo liende sambamba na malipo ya muda huo...
  2. G

    Serikali kuwabeba wanaofeli Kidato cha Pili na Darasa la Nne

    Umenena vyema..muda wa kaz wa kawaida mfano kwa shule za msing huku kwetu ni sakumi na nusu...huo muda wa ziada ni upi still walimu wanalia njaa..aache kwenda kutafuta hata 2000 kwa hayo masaa2 akae tena kusaidia walofel! labda kama watalipa na muda huo itawezekana
  3. G

    HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    Wewe mimi npo OUT hakuna cha mkopo wala kopo
  4. G

    Mawaziri Sita wameachia nyadhifa Zanzibar

    Wakubali yaishe tu ccm wamezidiwa kwan lazma wao milele jaman? kila chenye mwanzo kina mwisho wake na mwisho huwa hauandaliwi wakubal mwisho wao umefika wakajipange kwa upya..mabadiliko...
Back
Top Bottom