Search results

  1. R

    Shinikizo la juu la damu (High blood Pressure) Fahamu chanzo, kinga na tiba ya tatizo hili

    Nina miaka 30 kwa jana nimeenda hospital tena kucheck jioni presha ikawa 148 /121 doctor akashangaa kama dakka5 akaja doctor mwingne akanipima pale pale majibu tena 135 /95 sasa wakasema nirudi leo please naomba ushauri kuwa je machine inaweza kukosea majibu? Make nipo njia panda mkuu!!
  2. R

    Shinikizo la juu la damu (High blood Pressure) Fahamu chanzo, kinga na tiba ya tatizo hili

    Nina miaka 30 kwa jana nimeenda hospital tena kucheck jioni presha ikawa 148 /121 doctor akashangaa kama dakka5 akaja doctor mwingne akanipima pale pale majibu tena 135 /95 sasa wakasema nirudi leo please naomba ushauri kuwa je machine inaweza kukosea majibu
  3. R

    Shinikizo la juu la damu (High blood Pressure) Fahamu chanzo, kinga na tiba ya tatizo hili

    Mkuu nina miaka 30 kwa jana nimeenda hospital tena kucheck jioni presha ikawa 148/121 kama dakka 5 doctor mwingne akanipima pale pale majibu tena 135/95 je inaweza kuwa machine hiyo mbovu au laa?
  4. R

    Shinikizo la juu la damu (High blood Pressure) Fahamu chanzo, kinga na tiba ya tatizo hili

    Naomba ushauri Hali imenitokea ghafra juzi coz ndo mara yangu ya 1 nikapimwa presha 154/93 nikapewa dawa jana nimeenda wanasema bado 150/91 je niendelee kutumia dawa na nipumzike mda wote na niendelee kupumzika?
  5. R

    Vyakula vya kula kila siku ili kuidhibiti presha ya kupanda

    Vyakula vya kula kila siku ili kuithibiti presha ya kupanda Vyakula vya kula kila siku ili kuithibiti presha ya kupanda
  6. R

    Vyakula vya kula kila siku ili kuidhibiti presha ya kupanda

    Swar nirudi mara nyingne kupima presha? Na je dawa alizo nipa doctor za tumbo inaweza ikawa ndo chanzo cha ugonjwa wangu na je niendelee na doz ya tumbo hiyo au la?
  7. R

    Vyakula vya kula kila siku ili kuidhibiti presha ya kupanda

    Habr mkuu naomba ushauli nilikuwa naumwa tumbo nikaenda hospital nikapimwa zaidi minyoo nikapewa dawa nikatumia but tumbo linaendelea kuuma nikarudi mara 2 hospital wakapima vidonda vya tumbo nikawa sina akanipa dawa flan inaitwa zosec +Co trimoxazole na panado nikatumia tumbo halikuuma tena but...
Back
Top Bottom