Search results

  1. M

    Mkutano wa ccm unavyoendela sasa, dar

    - Mkutano umetawaliwa na mipasho badala ya kueleza maudhui ya mkutano kama walivyotangaza. - Kina mama wakiongozwa na H. Kopa wanaonekana ndio washangiliaji wakubwa na wengi wao wanaonekana wanakula mali za wakubwa. -Wanaume wametulia na wanasikiliza huku wanahuzunika, naona bado hawajalipwa...
  2. M

    Kulikoni sherehe za muungano wa Tz?

    Leo nimeshangaa, kwenye sherehe za muungano hakuna kiongozi aliyetoa hotuba angalau kuelezea chochote mfano mafanikio ya muungano wetu na mambo mengine yanayoamabatana nayo. J.K kaiishia kukagua gwaride ikifuatiwa na viburudani tu. Imekaaje hii, hasa kwa kuwa wametumia gharama kuendesha sherehe hii.
  3. M

    Hivi ni mambo haya ni Tz tu?

    Unanunua gazeti la Nipashe. Unasoma habari muhimu zilizokuvutia kulinunua gazeti, halafu unaendelea kwenye matangazo mbalimbali. Unakutana na tangazo hili ''NZOGANILWA: Ni dawa ya mvuto, kupandishwa cheo, kutafuta kazi, kurudishwa kazini, kushinda kesi, kumvuta mchumba, kuvuta wateja kwenye...
  4. M

    Interview UDOM

    Leo nimepigiwa simu kuhudhuria interview tarehe 18/7/2011 pale CHAS_UDOM. Kwa hiyo wengine mlioomba kazi pale jaribuni kufuatilia kama mmekuwa shortlisted.
  5. M

    Je kwa kutotamka Ndugu, Mh au Dr; mtu huyu amekosea?

    Wakati watu wengi wakipewa nafasi ya kumkaribisha Rais wa Tz wanaanza na maneno kama vile, ... Ndugu, Mh, Dr. ....... Leo kwenye sherehe za kumsimika Askofu Ndimbo pale jimboni Mbinga, kiongozi (Askofu) mmoja alipewa nafasi ya kumkaribisha Rais, kaanza kwa kusema "sasa namkaribisha J....K...
Back
Top Bottom