Search results

  1. henry wilson

    Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Tumaini Letu Na Imani Yetu Tumekuamini Tukitegemea Ufatiliaji, Uwajibikaji, Uadilifu Na Uchapakazi Kwa Serikali Ya Awamu Ya Tano. Hongera Kwa Ushindi Na Tunakutakia Maazimisho Mema, Mazuri Kwa Ushindi Na Siku Yako Ya Kuzaliwa Mheshimiwa Rais Mteule Wa Awamu Ya5 Wa Jamhuri Ya Muungano Wa...
  2. henry wilson

    NEC Hapana Mmemuonea Kipenzi Changu Lowassa Kwani HAIWEZEKANI Kabisa Kwa Jinsi

    Kujaza watu cyo tatzo, je! Wajiindikisha kupiga kura au walikuwa wanaeda kumshangaa anavyo ongea sera zake
  3. henry wilson

    ITV wanapotosha matokeo ya uchaguzi

    Siyo kweli, je! Ushaid upo?
  4. henry wilson

    Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Hoja:~ Swali ni kwamba kama uchaguzi wa zanzibar umefutwa ina maana kura za visiwani wagombea wa bara hawazipati ~ Kwa mjibu wa Katiba ya tz (1977) ibara ya 96 kifungu cha 2 kipengere cha 6 (a) endapo uchaguzi utafutwa Zanzibar hata Tanzania bara pia utaonekana batili manake Rais huchaguliwa na...
  5. henry wilson

    Lubuva: Kufutwa Uchaguzi Zanzibar, hakuhusiani na Tanzania nzima

    Kama uchaguzi wa zanzibar utakuwa umefutwa kwa sabababu haukuwa wa huru na haki swali langu kwa wazanzibar ambao wana haki ya kumchagua rais wa jamuhur ya muungano wa Tz je uharali wa kura zao uko wapi?? Binafsi hicho kitu ninaona kina madhara tena makubwa kwa uchaguzi katika upande wa...
Back
Top Bottom