Search results

  1. H

    Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Toyota Wish New Model

    Mimi ninayo namba E Changamoto ya hzo gari ni COIL ikifa haichomi na gari inakua na mis na kutetemeka coil used moja ni elfu 80 na ikiqnza kufa moja utabadilisha zote. Ukiondoa hilo ni gari nzr kwa familia ndgo na safari inatumia 16km/L Kwa 2ZR ENGINE ambayo ni 1.8 valvematic....changamoto...
  2. H

    Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

    Mkuu kijibomba kinachoingiza maji kwenye pump au kinachotoa maji kwenye pump? Asante sana Engineer kwa majibu yako! Mungu akubariki sana!
  3. H

    Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

    Nina tatizo la automatic pressure pump kujiwasha kila muda pasi na kufungua bomba la maji nimetizama leakage hakuna nimejaribu kufunga gate valve za kila choo bado mchezo wa kujiwasha unaendelea inaweza kua nini Injinia
  4. H

    Orodha ya mabasi, routes zake na wamiliki wake

    Rahaleo Tashriff Tahmeed Tayassar Bembea Falcon Simba Mtoto Simba Modern Moa Class Tawakal Air bus Mbeya city Coast Bus
  5. H

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ___________________________________
  6. H

    Huyu Michael Jackson alipata matatizo gani kiakili?

    Kwanza sahihisha hapo huyo si mswahili au kila aliyekuwa mweusi ni mswahili?
  7. H

    Basi la Tahmeed lililokuwa likitokea Tanga likielekea Dar es Salaam, lateketea kwa Moto

    Chanzo cha ajali ni baada ya abiria kutaka kukojoa alibanwa sana na haja ndogo likasimama kwa ajili ya abiria wake kujisaidia ndipo moto ulipoanzia nyuma kwenye sysytem za break maana ilisimama ghafla mpira wa nyuma ukapasuka ukazibua floor ya ndani ya basi ykaanza kushika seat na plastic...
  8. H

    Majambazi yaua watu wanne Tanga

    Imeniuma sana mmoja kati ya wateja waliouwawa ni Fundi wa magari madogo anaitwa Athumani garage yake iko old korogwe road maarufu kwa Sb jiwa ni mtu wa morogoro maisha yake yote alikuwa Tanga. Inasemekana alichungulia baada ya kukuta mikiki ndani ile kugeuza tu akamiminiwa za shingo ni mmoja...
  9. H

    Windows 10 overtakes XP and 8.1, still lags behind 7

    Hivi chief ukitaka nina hp core i7 ina Amd gpu nasukuma ma game makali kama gta v dirty 3 euro truck simulator latest version but ni crack version na steam zote. Windows yangu ni 8.1 pro inaniletea ku update to windows 10 pro je programs zangu za game zitakuwa vile vile kama unavyo update...
  10. H

    Roketi inarudije katika kinu chake? Je, inarudi kinyunyume au?

    Rocket ikiruka hairudi tena inachanguka na kurudi kama ndege ya kawaida mabaki yana baki kwenye Space na kupotea humo humo hakuna rocket inayorudi wanatudi wana anga na ndge iliyowekwa pembeni ya rocket kazibya rocket ni kukufikisha tu na si kukurudisha kama ikitokea kurudi ni bomu sehemu itakayotua
  11. H

    Wakurugenzi na wakuu wa Mashirika na idara hizi wangeachia ngazi tu mapema

    Watanzania kwa chuki za wahindi na waarabu hamuwaoni wachaga walivoiba na kujilimbikiza nyumba 73
Back
Top Bottom