Search results

  1. K

    Wakati Dirisha Dogo likifungwa Novemba 15, hakuna mpinzani wa maana aliyehama

    Hadi sasa hakuna hata mchezaji mmoja wa kiwango cha Messi au Ronaldo aliyesajiliwa. Nilitarajia Mwenyekiti au Katibu mkuu hivi au outspoken MP from their strongholds. Kwangu zoezi ni failure, total failure.
  2. K

    Baada ya EU,USA na sasa Denmark kusitisha misaada au kutishia kutokana na kauli na matendo ya Governor.

    Je,Governor ataondolewa ili kuwaridhisha wakubwa kwamba dola haipo naye kwenye kauli zake?
  3. K

    Kipindi cha Michezo cha Magic FM kipindi kibovu kabisa

    Nadhani TCRA wawe pia wanatathmini ubora wa kile wateja wanachopewa.Hiki kipindi kina Quality ndogo sana.Nusu nzima wanaweza wahoji masao bwire na Tobias kifaru.Hakuna maandalizi kabisa.Kipindi cha leo ni mfano halisi.
  4. K

    Hivi BASATA na TCRA ni kwa ajili ya wasanii wa kike tu?

    Le Mutuz alipostiwa akiwa uchi.Hivi karibuni Sultan.Mbona sijasikia wakiitwa kokote?
  5. K

    Je Malinzi anafaa kuongoza TFF

    Huyu ndugu alipoondolewa yeye na Wambura hoja ya ubovu wa katiba ilipoanza.Hata Makala ndipo alijitokeza. Mtandao alioanzisha unafanana na ule dhidi ya akina Sumaye na Salim Ahmed Salim wakati ule kutumia magazeti na tv kuchafua washindani wao.Clouds sports extra na sports bar wanaimba kila...
Back
Top Bottom