Search results

  1. E

    Bodi ya mikopo (heslb) inanitesa!!!!!!!!!

    Mimi mwenyewe nimekomaa kama ww tena zaidi yako ,,,na hata chuo waligoma kunipa usajili mpaka nilipe ada ,,nikatumia akili na miundo mbinu mikubwa bila kuwa na msaaada sehemu yoyote lakini ,matumizi ya akili nyingi yakanipa maarifa nikapata hiyo milion moja nikalipia ada nikapata udahiri ,,then...
  2. E

    Joyce Ndalichako yafuatayo usiyasahau

    Unajua humu ndani na mtoa mada hamjielewi ,,mnajua tofauti ya TCU na NACTE???? Anasema form four wasiende diploma direct nazani nachanganyikiwa sababu tangu enzi za nyerere vyuo kama MTC,DTC,ATC,vilikua vikitoa FTC na diploma kwa ujumla
  3. E

    Bodi ya mikopo (heslb) inanitesa!!!!!!!!!

    Tumia matumizi ya akili nyingi uweze kusurvive jina litakuja tu wiki hiyo inayokuja ,,,sababu hata sisi ni kama ww ila tunakomaaa kibishi na maisha yanasonga
  4. E

    Hivi Magufuli majipu Board ya mikopo huyaoni?

    Sasa si muandamane kwenda loan board ,,kwani huku wanawasikia
  5. E

    Mkopo wa elimu

    Acha uboya wakati ww upo pspf ,nssf,gspf ,lapf,mifuko yote hiyo inatoa mikopo ya elimu kwa waajiriwa sasa kwa nini ubanane na sisi huku bodi ya mkopo wakati una means tayari
  6. E

    Mungu mkubwa hatimaye lot ya 5 na 6 zimetoka

    Mimi nilichosikia alhamic ya wiki ijayo ,inaweza toka lot nyingine ya watu kama 600
  7. E

    Mungu mkubwa hatimaye lot ya 5 na 6 zimetoka

    The student with Index number 'S0314.0019.2002' did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year in the Lots 1, 2, 3, 4, 5 & 6 (New) of allocations.
  8. E

    Mungu mkubwa hatimaye lot ya 5 na 6 zimetoka

    The student with Index number 'S4117.0060.2014' did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year in the Lots 1, 2, 3, 4, 5 & 6 (New) of allocations.
  9. E

    Mungu mkubwa hatimaye lot ya 5 na 6 zimetoka

    Bado kuna lot nyingine kama ya watu kama 600 hivi xo subirini vijana next wiki itatoka,,,ila kama ulikua na tatizo wasumbue Mara kwa Mara ,,Mimi nimekomaa kama Mara 1000 hadi leo nimefanikiwa hakuna kukata tamaa
  10. E

    Mungu mkubwa hatimaye lot ya 5 na 6 zimetoka

    Lot ni za freshas ,,hapa ni kazi tu ni kupiga msuli mpaka kielewe na nikimaliza tunaurudisha mkopo wao na vizazi vingine vipate na vyenyewe ,huo ndiyo uzalendo kwa taifa langu tanzania
  11. E

    Mungu mkubwa hatimaye lot ya 5 na 6 zimetoka

    Mungu mkubwa hatimaye lot ya 5 na 6 zimetoka na nimepata mkopo 88% jina la bwana lihimidiwe na hongera magufuli kwa kusikia kilio chetu
  12. E

    wote TULIOKOSA mkopo tukutane hapa!!!!

    Nyie wandugu mambo yenu yanashugulikiwa na vijana juzi nasikia waliandamana na waziri mkuu mpaka bodi xo nasikia wapo kwenye awamu ya mwisho ya kurekebisha matatizo theni watarelease lot nyingine soon
  13. E

    Loan board 2015/2016 with mistake zao sema sio mwisho wa maisha(hesbl)

    Hayo majina ya nini hata Mimi cijayaelewa ,,,,tueleweshe mkuu alafu nicheki kwa no hii tupeane mautundu na njia mbadara sio unakata tamaa kirahisi hivyo ,,0765-434638
  14. E

    Mwenye kujua tujuzane kuhusu masters

    Engineer anaweza soma masters ya IT,,ila wewe huwezi
  15. E

    Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (heslb) iwe chanzo cha kuinua elimu yetu

    Mashart ya nini sasa? Kama mtu kaisha chaguliwa na chuo kikuuu maana ake amekizi vigezo vyote ,,swala la bodi wao ni kutoa mkopo tu ,,ndiyo kazi yao
  16. E

    HESLB yatoa Awamu ya Nne na ya mwisho wanafunzi waliopangiwa mikopo

    ,,yap cijapata kulikua na matatizo ambayo Mimi cijahusika nayo moja kwa moja nj wao wenyewe
  17. E

    HESLB yatoa Awamu ya Nne na ya mwisho wanafunzi waliopangiwa mikopo

    Mimi nimeuliza leo loan board wakasema wanategemea kutoa mpaka lot ya tisa
  18. E

    heslb

    Bado hawajaiachia mkuuu punguza pressure
  19. E

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    nyie wandugu ,,nilicho gundua sio kwamba bodi wanaupendeleo ila kuna missing of information ,,maana ake kuna makosa mengine ambayo hayapo kwetu kabisa ,,na kitu kingine bodi hawana office mikoani sababu wangekuanazo ni virahisi kwa watu kufatilia na kupata mkopo ,,kwa mfano Mimi imenilazimu...
Back
Top Bottom