Search results

  1. Selwa

    Biashara kukodisha magari Mbeya na taxi

    Yakiweza patikana alphard itakuwa vema sana aise
  2. Selwa

    Biashara kukodisha magari Mbeya na taxi

    Ikifika saa moja hamna usafiri mjini ni nadra sana. Hii ni maeneo posta. Mabasi na bajaji mpaka uende mafiati kabwe au mwanjelwa Sasa fikiria mtu ambae yuko posta anatembea umbali gani kufika vituo vikuu afu fikiria ni mgeni hata hajui hivi vituo.
  3. Selwa

    Biashara kukodisha magari Mbeya na taxi

    Kama una gari binafsi hauwezi kuelewa sisi ambao tunatoka mikaoni na tunakaa uyole ikifika saa moja hauna usafiri
  4. Selwa

    Biashara kukodisha magari Mbeya na taxi

    Ulitumia usafiri gani?
  5. Selwa

    Biashara kukodisha magari Mbeya na taxi

    Mkuuu Mbeya ni ushamba tu. Hili hitaji lipo. Nimekuja huku mara nyingi na makampuni kibao wote tunapata shida hio, inatugharimu million 20 usafiri mbeya kwa mwaka, nikicheki na wenzangu wa kampuni nyingine nao hivyo hivyo, ilifika wakati tulipanga kununua gari likae huku ila sasa unaweka kwa...
  6. Selwa

    Huwa unasafirisha vipi mzigo wako kutoka Kariakoo kwenda mikoani kwa urahisi na nafuu?

    Jaribu hawa jamaa, nawatumiaga kwa mizigo yangu yote
  7. Selwa

    Biashara kukodisha magari Mbeya na taxi

    Ataenzisha biashara ya Uber au Bolt Mbeya atapata pesa sana, pamoja na magari executive ya kukodisha. Mimi kila nikiwa na kazi kule inagharimu ofisi yangu million 5 kusafirisha dereva na magari mabosi yaende kule ili kuwazungusha, sasa sisi wafanyakazi wengine tukifika tunabaki hohe hahe...
  8. Selwa

    Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

    Kama hamna mtoto wa kiume wazazi wafe? Nyi ndo mnawafanya wazazi wajute kuzaa watoto wa kike
  9. Selwa

    Msaada: Jaji kahongwa

    Ni vema Ujue kwamba nia yangu sio kutoamini mwansheria bali kutoamini mahakama. Nadhani mnafahamu fika kwamba mahakama nyingi hazina haki. Usipindishe maana yangu tafadhali. Hata mwanasheria wangu naona anapata shida na kupotezewa muda ilhali anafuata kanuni vema kabisa. Anaweka vikwazo...
  10. Selwa

    Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

    Mwache mkeo aheshimishe kwao. Kwasababu hata wewe mwanaume lazima ujenge kwenu. Utazikwa wapi? Na yeye asipoendeleza kwao familia yake itamwonaje. Msingi ni kwamba asiiosahau familia yake ya sasa.
  11. Selwa

    Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

    Kosa la mke wako ni kukwambia matumizi ya pesa yake. Wazazi wake wamemsomesha uliwakopesha? Kwanini na yeye ashindwe kujenga kwao
  12. Selwa

    Msaada: Jaji kahongwa

    Shukrani mkuu umenisaidia sana. Kweli JF ni great thinkers.
  13. Selwa

    CRDB wamekuwa ovyo sana

    Kwa kweli
  14. Selwa

    CRDB wamekuwa ovyo sana

    Nsekela kama kazi imekushinda acha. Crdb wamekua hovyo sana jamani. Customer service unapiga unasubiri dakika 10 kuongea na mhudumu. Hela zinatolewa kwenye account hazirudi ukipiga simu kureport hamna majibu wala msaada aise. Leo rasmi nimehama benki. Naomba kwa usalama wako msiweke pesa crdb...
  15. Selwa

    Wenyenyuma Wasumbufu watajwe

    Habari Wananchi, nimekuwa na wazo kwamba tuweze kuwareport wenyenyumba wasumbufu either hapa hapa au tufungue telegram. Mtu akiwa anapanga nyumba acheki telegram na thread afanye maamuzi sahihi ila tuwe na uthibitisho pia. Nimekutana na sakata moja la mwenyenyumba msumbufu sana. Ana lugha za...
  16. Selwa

    Weusi kati kati ya mapaja (dark inner thighs) chanzo cha wanaume wengi kutmbea na wasichana wadogo

    Doh sijaona mwanaume mjinga kama huyu. Haya yote ni madhara ya kutokua na hela. Weusi aina wowote mapajani kwapani ni aina ya skincare anazotumia. Mpende mwenza wako. Mpe hela kila mwezi ya matunzo ya ngozi yake. Aende spa kufanyiwa scrub na waxing anakuwa mweupe uko chini mpaka unaweza kula...
  17. Selwa

    Swali la wanawake wanatoa nini kwenye mahusiano zaidi ya ngono ni la kipuuzi

    Nimesoma uzi wako nimepata hadi mshtuko. Hivi kuna wanaume rijali kabisa hawajui thamani ya wanawake? Wamezaliwa na nani na wanatunzwa na nani majumbani mwao? Wala usibishane nao wewe wapite kule dada mzuri. Aiseyefunzwa na ***** atafunzwa na ulimwengu. Nina miaka kadhaa ndani ya ndoa...
  18. Selwa

    Kuna mwenye undani wa ROSE & NICK SHABOKA?

    Mke wangu anasali hilo kanisa. Nisikilize mimi, kama unataka kukua kiimani nenda kasali pale. Hawana longo longo na wanakupa za uso, ukizingua unaaambiwa wewe hamna pekecha pekecha mimi naona kabisa wife kakua kiakili na kiroho baada ya kusali pale ni kanisa zuri na wanajielewa. Pili sio...
  19. Selwa

    Je, ni sahihi kwa Sarah kudai mgawanyo wa mali ambazo hakuhusika nazo kuzichuma? Tuendelee kukataa ndoa?

    Nasema hivi wewe hao watoto wanaolelewa na dada wa kazi wape miaka mitatu utapata majibu ya maswali unayouliza hapa. Nawahurumia mno watoto wako hawadeserve baba kama wewe usothamini wanawake
Back
Top Bottom