Search results

  1. M

    Shikamooooo CAS, Ikifunguka wajuze na wenzako hapa.

    Wadau habari zenu,poleni na kibarua cha elimu ya Tanzania... kwa wale ambao wanataka kuhama vyuo kupitia TCU nadhani mpaka sasa CAS haifunguki...katika page hii tunaomba tujuzane itakapofunguka,au Kama hutoweza kutujuza humu ndani basi tuma sms kupitia 0676476546 namimi nitawajuza wengine...
  2. M

    NIPENI MSAADA: kwa mliokwisha jisajili mzumbe university mbeya campus au kwa yoyote anayejua.

    Wadau mliochaguliwa mzumbe university mbeya campus Na mliokwisha maliza usajili je mpaka kumaliza process zote umegharamika Tsh.ngapi? Ukichanganya Na ada Yao uliyotoa mpaka kukupokea? Nataka nijue Ili nijipange nisije kwenda kuumbuka mwisho wa siku nikose kupokelewa.
  3. M

    Kwa waliochaguliwa Eckenforde Tanga university, maisha ya Tanga mjini.

    Wadau,Kama umechaguliwa Eckerniforde Tanga university au Chuo chochote kilichopo jijini tanga,Mimi Ni mwenyeji ambaye nimezaliwa Na kuishi Sana jijini tanga,,,,, maisha ya tanga hayatofautiani Na ya mbeya kwa bei ya vyakula,tofauti yake ipo kwenye upatikanaji wa pesa Tu. Tanga tuko nyuma katika...
Back
Top Bottom