Search results

  1. D

    Nasikitika sana kupoteza jimbo la Segerea, sikufikiri kama Mtatiro atashindwa

    Hiyo ni mbaya sana mnatakiwa kujifunza sio tu nafasi za Ubungebali pia nafasi za Udiawani kwani hata kata niliyopigia kura nimeonamajina ya mgombea kutoka CUF na CHADEMA na hivyo kuwachanganyawapenda mabadiliko wachague nani kati ya hao.Hiyo imefanya mgawe kura na kuwapa CCM kushinda kirahisi.
Back
Top Bottom