Search results

  1. ungasulwa

    Corona: Nilichokiona jana pale FQ Hotel, tutakwisha kwa udhaifu wa kushughulikia waliowekwa Karantini

    Yes upo sahihi.....shida aliyeleta hii mada kama aliingia eneo la karantini na kutoka ......inapoteza maana ya karantini
  2. ungasulwa

    Viongozi wa dini zingatieni kujali mda katika ibada mnatukwaza waumini wenu.

    Mungu kakupa siku sita za kufanya shughulu zako lkn anataka ckumoja kwa ajili yake ....sasa hata hiyo cku moja unataka kumuibia muda wake hicho ni kiburi cha uzima, Muombe msamaha Mungu faster.....
  3. ungasulwa

    Waandamanaji zaidi wameuwawa Venezuela

    Kwa Jina la Yesu hayatatokea
  4. ungasulwa

    Vifungu mbalimbali vya Biblia vinavyopingana na ndoa ya Flora 'Kusekwa'

    kuimba ni jambo rahisi kidogo lakini kuweza kuyaishi yale unaimba inakuwa ngumu sana bila msaada wa Mungu.....alitakiwa kuvumilia kwa kweli.
  5. ungasulwa

    Maandalizi AFCON U17 : Serengeti boys waichapa Cameroon

    upo sahihi mkuu kuwaendeleza hawa madogo ni kazi kweli....coz mchezajia analelewa kwenye timu sasa timu zetu za kuwalea hawa madogo ndo simba,ndanda,yanga.......
  6. ungasulwa

    Nusrat Hanje wa CHADEMA alistahili ubunge EALA

    upo sahihi mkuu wa kiasi flan
  7. ungasulwa

    Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

    nadhani hii ni kimjini mjini
  8. ungasulwa

    Inanisikitisha sana pale USA kumuogopa Kim Jong Un wa Korea Kaskazini

    Cdhani kama wamarekani wapo tayari kiuchumi kuanzisha vita nyingine ambayo haina faida kwao kiuchum katika muda ambao uchumi wa china unaendelea kukua kwa kasi na kuatarisha ushawishi wa USA dunia ...... me nadhani ilikuwa gun boot diplomacy ..... kumtikisa dogo
Back
Top Bottom