Search results

  1. N

    Lissu: Makinikia yameshaondoka, Hatujalipwa kitu, Acacia bado wanasafirisha dhahabu, Bombardier siyo mpya, Dreamliner haina kibali cha kuruka nje

    hujachelewa ombila lako limekubaliwa, utakufa na utazaliwa ulaya kama mbwa, happy??
  2. N

    John Mallya: Fatma Karume ndio zawadi kubwa ambayo wajumbe wa TLS wanaweza kujipa wenyewe

    Hata Prof. Lummumba ni mwanachama halali wa TLS lakini ni Mkenya, so na yeye agombee???
  3. N

    Vijembe na maaskofu halafu ushinde vita sahau!

    mimi naomba kuuliza hivi ni tanzania tu ndio kuna maaskofu? mbona Italy ambako makao makuu ya baba mtakatifu yapo hatujawaji sikia anaingilia habari za siasa, huwa anombea tu amani! au Ujerumani ambapo ndipo chimbuko la walutheri hamaga hizi story za nyaraka za kisiasa? sisi waTZ tumepata wapi...
  4. N

    CV ya Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius Kahyarara inatisha

    sasa mchumi mzuri kama huyu kwanini JPM hakumpa U Governor wa BoT badala yake akampa mwanasheria!
  5. N

    Bloomberg: Rising Political Violence Stalks Tanzania

    kwa mtaji huu, nahisi yule mtoto aliye mcheka baba yake aliye kuwa uchi baada ya kulewa mvinyo atakuwa na asili ya Tanzania, maana sijaona nchi nyingine ya africa yenye watu wanaoshtaki nchi zao kwa wazungu kila kukicha! kuna nchi zina matatizo lakini wanakomaa kivyao, angalia jirani zetu kenya...
  6. N

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amepata ajali na kupelekwa hospitali ya Mount Meru

    Boaz, ukitaka kujua umuhimu wa police, nenda kituo cha jirani yako, kaa kwa robo saa tu utajua umuhimu wao! yaani na kama hospital! usipoenda mwenyewe basi utapelekwa! hawa jamaa ni wa kuheshimu sana sii wa kubezwa hata kidogo! wangeruhusiwa kugoma japo kwa masaa sita tu, hakuna ambaye...
  7. N

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    jamani pamoja na picha zote hivi bado hamja gundua tatizo???, ni nchi gani Highway ipo kama hizi zetu ambapo gari zinakutana? vibarabara vyembamba gari zinapishana utafikiri bado tupo kwenye 60s? kwa wenzetu magari yanayoenda upande mmoja haya kutani na yanayorudi! hivi hatuoni kwamba design ya...
  8. N

    Fund computer anahitajika

    kuna battery (CMOS battery) ndogo kama ya saa hukaa karibu na Processor, itoe kisha irudishie, computer itasahau kila kitu including that password!
  9. N

    Sheria ya Uchaguzi ni mbovu! Kuendelea kuitumia sio Ujinga? Kuwabebesha masikini gharama za Uchaguzi sio Dhambi?

    suluhu ya huu uhuni ni kama watajitokeza wanasheria wazuri waaandae hoja hawa wabunge woote washatakiwe kwa kosa la uhujumu uchumi! sababu zipo wazi za kuwatia hatiani na hata wakishinda, mara nyingine mtu atafikiria mara mbili kabla ya kujiuzuru kwa sababu za kipuuuuzi!
  10. N

    Mbunge wa Kakonko aitaka serikali kuongeza mshahara kwa wafanyakazi

    subira ipi? maana hata mafao yameota mbawa maana baada ya kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii, mafao yatakuwa kiduchu ile mbaya formula ime badilishwa yaani maumivu yataanza mara moja baada ya sheria kutiwa sahihi! mbaya zaidi ssra wanasema wafanyakazi ndio wameomba na kushinikiza hivyo...
  11. N

    Kwanini Wakulya Hadi Leo Wanapigana Vita?

    wee murisya kama hii UNCRUMCISED yako una maanisha "UNCIRCUMCISED" ukome kabisa wakurya koo zoote ulizoambiwa hapo juu tuna tahiriwa kwa kisu tena bila ganzi so watch your language kenge wee! kwanza shule yenyewe hujaenda tafuta watani zako mambo yetu hayakuhusu nyambafu we!
  12. N

    Kwanini Wakulya Hadi Leo Wanapigana Vita?

    wee murisya kama hii UNCRUMCISED yako una maanisha "CIRCUMCISED" ukome kabisa wakurya koo zoote ulizoambiwa hapo juu tuna tahiriwa kwa kisu tena bila ganzi so watch your language kenge wee! kwanza shule yenyewe hujaenda tafuta watani zako mambo yetu hayakuhusu nyambafu we!
  13. N

    Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    yaani unaamini hivyo? kuna kitu kinaitwa "mole", jerico nyere atakufafanulia siku moja. that is a smart and calculated move! just like in chess!, "check and mate"
  14. N

    Millard Ayo, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania, analipwa Mil 50-80/month na Youtube

    Mwingine atakaye kuwa billionea wa ukweli ni huyu mtani wangu Max mwenye JF, kwani by 2025 hivi Google watanunua vyanzo vyote vya data kwa ajili ya "Big Data" business ambapo data zitakuwa na value kuliko mafuta ya mwarabu so mtani kaa mkao wa kunywa rubisi ki ulainiiii! vumilia tu na uache kale...
  15. N

    Lissu na LHRC waungana kupinga kitendo cha kuchomwa ofisi za IMMMA Advocates

    kumbe kuna ACACIA nyuma ya pazia? sasa naanza kuona kazi ya wale military strategists, kazi yao imeanza sasa tusipoangalia soon tutashuhudia vurugu nyingi tu! kuna wataalam wa wanaitwa crisis makers na kuna wale wa kufanya sabotages so tuwe macho! Learned brothers and sisters angalieni sana...
  16. N

    Umafia katika Usajili: Simba SC yamsainisha Niyonzima kwa Mil.100 huku Yanga FC ikipigwa butwaa

    TRA kachukueni kodi yetu huko! millioni mia tutapata kodi sii haba. jifunzeni kwa Ronaldo na Messi.
  17. N

    This Kenyan street kid anaongea Kiingereza kizuri kuliko Magu na watanzania wote

    kiingereza cha the mboy andi the ngal! rubbish! kwanza kwenye ranking ya mataifa ya ki afrika yanayo ongea kiingereza kizuri hampo!! you ngal! what you are good at is aping and nothing more!
  18. N

    World most famous people with their QUOTES from their great SPEECHES

    Every nation gets the government it deserves - Joseph de Maistre
  19. N

    Josephine Lemoyan na Pamela Maasay wachaguliwa kuwa wabunge wa Afrika Mashariki kutoka CHADEMA

    wote ccm na cdm wapo sawa hujui ni lini wana dhamira njema na nchi, kudhihirisha hilo ni hayo matokeo ya uchaguzi na ikifika wakati wa kupigia kura bajeti utaona wabunge woote wa ukawa wanapiga HAPANA na wale wa kijani NDIYOOOO! so usiumize kichwa chako bure maana jogoo awike asiwike kutakucha...
  20. N

    Lushoto: Mawe yaserereka na kuangukia magari, Nyumba zajaa tope, Majeruhi wapelekwa Hospital

    Ni kweli kabisa. vipi watu wa Rock City kwema? angalieni yale mawe yetu yasije shuka! na wale wa milimani muwe makini, it seems mvua bado imo ya kutosha.
Back
Top Bottom