Search results

  1. Mwenzetu

    Naomba kujuzwa jinsi ya kupata nylon nyeupe ngumu (0.5mm)

    Nenda NABAKI AFRICA wanazo hizo materials
  2. Mwenzetu

    Naombeni ushauri: Je, ninunue simtank nihifadhie maji au nijenge Kalo?

    Ushauri,unapoanza ujenzi ni muhimu sana kuanza kujenga kisima cha maji au karo tena karo hilo au kisima hicho kiwe kikubwa cha kutosha kuhifadhi maji kisi cha malori yasiyopungua matatu.Kiwe cha chini ya ardhi kwa maana hiyo utahitaji kuchimba na kujenga. Faida mojawapo ni kwamba kifusi...
  3. Mwenzetu

    Hivi ni kwanini watu huzungusha mabati site wakati wa ujenzi?

    Tajiri Tanzanite,..................nianze kwa salamu kwako.................Na hakika swali zuri sanahili. Swala la kuzungushia mabati au uzio katika site ya ujenzi iwe wa jengo au structure nyingine yeyote ni la kitaalam zaidi na huwa kitaalamu huitwa (site hoarding) pia sababu kubwa ni...
  4. Mwenzetu

    Dawa ya kuondoa mvi kichwani

    Discreet,ipo SH Amon
  5. Mwenzetu

    Msaada: Laptop lenovo haisomi CD driver au drive E

    nimekwenda kwenye device manager sijaiona mkuu.je nifanyeje zaidi
  6. Mwenzetu

    Msaada: Laptop lenovo haisomi CD driver au drive E

    Wadau naomba msadaa nina laptop lenovo awali nilikuwa ninaweza ku play cd bila shida. Juzi kati nimejaribu kuweka cd ila imekataa kusoma cd. Nimejaribu kila namna haionekani hata kwenye my computer. Naombeni.msaada Mwenzetu
  7. Mwenzetu

    Baby Kabae ana mvuto mno ni kati ya wanawake wa daraja la kwanza Tanzania

    Baby akiwa ktk.kipindi na askofu Gwajima Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mwenzetu

    Contagion Movie(Film)

    Contagion is a 2011 American thriller film directed by Steven Soderbergh. Its ensemble cast includes Marion Cotillard, Matt Damon, Laurence Fishburne, Jude Law, Gwyneth Paltrow, Kate Winslet, Bryan Cranston, Jennifer Ehle, and Sanaa Lathan. The plot concerns the spread of a virus transmitted by...
  9. Mwenzetu

    Unaweza kuamini picha hii ni ya kuchora kwa mkono

    Mkuu kuna huyu dogo anaitwa NIXON ni hatari kwa kuchora hebu angalia picha zake.................... Mwenzetu
  10. Mwenzetu

    Ramani za nyumba na ujenzi

    Samahani mkuu je wewe una taaluma gani na Je, umesajiliwa na waratibu wa taaluma yako? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mwenzetu

    Mhe. Rais unapoteza muda wako

    Naomba kushauri kuwa fupisha hilo andiko lako kwani ni refu sana pamoja na kwamba lina maudhui mazuri na ya msingi Mwenzetu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mwenzetu

    Harusi bila mchango

    Shalom,.... Mosi,kwa uzoefu wangu ni kwamba usipowashirikisha waalikwa kwa ama njia ya kuimba michango au mipango ya maandalizi ya harusi,wengi huwa hawahudhiriihata kama utatoa mwaliko. Pili,gharama kubwa za harusi huwa ni Chakula,vinywaji na mapambo.Gharama nyingine huwa ni fixed kama bei ya...
  13. Mwenzetu

    Kwenye ndoa kosa la usaliti linastahili msamaha?

    Kwa ufupi sana,Ukitaka kujua thamani ya kusamehe au kusamehewa uwe umetenda kosa ndiyo utajua......
  14. Mwenzetu

    Natafuta Electricity Invented 3000 watts ya 24 Volts Dc to AC 240Volts

    Salamu kwenu wote. Nahitaji kununua Electricity Inverter yenye capacity ya 3000 watts yenye uwezo wa kuconvert dc 24volts to ac 240 volts. Kwa yeyote mwenye nayo au mwenye kujua wapi naweza kupata naomba tuwasiliane kwa PM. Wasalaam, Mwenzetu
  15. Mwenzetu

    Wapi zinapatikana rejeta za magari mpya za jumla na rejareja?

    Kwa taarifa ni kwamba Afro mech ltd ni watengenezaji wa radiator za magari hapa nchini na wamekuwa na bidhaa zenye kiwango kikubwa sana kiasi kwamba wanatengeneza radiator za magari ya landrover na wamekuwa na mkataba wa supply radiator kwa miaka mingi sana.Hawa jamaa wapo tabata dampo.Mmoja wa...
  16. Mwenzetu

    Nichomoe betry ?

    Mkuu Champagnee,nakusalimu ....................alafu.................................fikiria pia kama huyu jirani yako angekuwa ni dada au ndugu yako,je ungechomoa betri......................... Betri............................ Mwenzetu
  17. Mwenzetu

    Natafuta fundi wa kushona Nguo-Kaunda Suti

    Wadau habari za leo, Natafuta fundi wa kunishonea Kaunda suti. Itapendeza zaidi kama atapatikana kwenye mojawapo ya mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma au Morogoro. Nitashukuru sana kama nitapata mawasiliano yake. Wasalaam, Mwenzetu
  18. Mwenzetu

    Msaada tafadhali: Jinsi ya kuondoa/kuzuiya matangazo ya biashara (Pop up Ads) kwenye simu

    Asante sana kwa taarifa Mkuu,je nalipia kwa nani na ni kiasi gani? kwa jinsi ninanyokereka niko tayari kwa lolote.hebu nisaidie MWENZETU
  19. Mwenzetu

    Msaada tafadhali: Jinsi ya kuondoa/kuzuiya matangazo ya biashara (Pop up Ads) kwenye simu

    Wadau nawasalimu wote, Naomba msaada wa jinsi ya kuondoa au kuzuiya (ku dis-able pop up ads) kwenye simu. Ninatatizwa na kukuwaza sana na matangazo hasa yanayojitokeza kwenye simu wakati ninapokuwa na peruzi nyuzi humu jamvini. Niseme ukweli mfano wa hili tangazo la TALA linanikera sana na...
  20. Mwenzetu

    Macho Yanayoongea....

    ....................................Chonde chonde,Bibi weye,.......................hala hala, hayo macho yawe na mipaka,ujue kuwa "Mume ni Mume hata akiwa gumegume ana sifa za mtume".................................. ............................................Asante kwa sifa hiyo ya...
Back
Top Bottom