Search results

  1. kipindupindu

    Yani utamu unakuja na utamu unakata

  2. kipindupindu

    Watu wazima wakodisha wanawake wa kuwanyonyesha maziwa..

    GAZETI la Morning Post la China Kusini limeripoti kwamba watu wazima nchini humo wanawalipa wanawake fedha ili wawanyonyeshe maziwa yao ya kifuani! Wanawake wanaojitolea kutoa maziwa yao hulipwa kiasi cha dola 2,700 za Marekani (kama sh. Milioni 4) kwa mwezi ambapo watu wazima hao huweza...
  3. kipindupindu

    Kuna Kadawa Muhimu!!!!!!!!!!

  4. kipindupindu

    Au Mmegoma Nilianzishe!!!!!

  5. kipindupindu

    Destruction of the Trade Centers: Occult Symbolism Indicates Enemies Within Our Own Government

    Destruction of the Trade Centers: Occult Symbolism Indicates Enemies Within Our Own Governmentby Robert Howard Hard Truth/Wake Up AmericaORDO AB CHAO (ORDER OUT OF CHAOS)Albert Pikes Masonic Master Plan 9/ 11 9+1+1=11 Twin Towers =11 Flight 11...
  6. kipindupindu

    Maaskofu Wakemea wanasiasa kutumia matusi majukwaani; Wasema usikivu, umakini wapungua kwa viongozi

    Wakemea wanasiasa kutumia matusi majukwaani Wasema usikivu, umakini wapungua kwa viongozi Askofu Msaidizi Eusebius Nzigirwa wa Kanisa katoliki la St Joseph, jijini Dar es Salaam, akitoa mahubiri wakati wa ibada ya Pasaka jana. Maaskofu wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini...
  7. kipindupindu

    natoa password yangu kama zawadi ya iddi

    nimeamua kutoa password yangu ya jf kwa member waaminifu.sharti ni moja tu:usiwe umepigwa ban kwa muda wa miaka miwili iliyopita.hii ni zawadi katika sikukuu ya idd el hajj. ni pm ujipatie password.nawatakia sikukuu njema!!
  8. kipindupindu

    boda boda na bajaji marufuku kuingia katikati ya jiji

    kuanzia tarehe saba mwezi huu ni marufuku kwa pikipiki maarufu kama bodaboda na bajaji kuingia katikati ya jiji la dar es salaam.kauli hii imetolewa na sumatra.abiria watatakiwa kupanda bodaboda au bajaji kutokea pembezoni mwa mji na baadae kupanda mabasi yanayohudumia katikati ya jiji. my...
  9. kipindupindu

    tususie kuangali mechi za EPL!

    kama ni kweli watanzania tunachukia ushoga ambao unaonekana kumiliki madaraka huko UK basi hatuna budi kususia kushabikia ligi ya uingereza ambayo ina mashabiki wengi hapa nchini.hii ni vita dhidi ya udhalilishaji wa mtanzania.kauli za kupinga ushoga ziendane na matendo yenye msisitizo.mods...
  10. kipindupindu

    madocs ya mitumba halahala na wake zetu!

    Wakuu habari za usiku.kwa mara ya kwanza leo hii nimeamua kuongozana na mwenzi wangu na mke wangu mpendwa ili nikajionee sehemu anayonunulia vi-top,skin jeans,mapande manane na vimin skirts vya mtumba. Si mnajua vimwana wa kisasa wanajipendezesha kutoka kwenye viduka vidogo vya mitumba...
  11. kipindupindu

    jk atimiza miaka sita kama rais?!

    baada ya misukosuko mingi,maandamano ya kumtaka ajiuzulu,mfumuko wa bei na hali mbaya ya uchumi.hatimaye mkulu anatimiza mwaka mmoja wa ngwe ya pili ya uongozi wake.
  12. kipindupindu

    washabiki wa man u chekini faul hii

    ipe maneno picha hii!
  13. kipindupindu

    Jengo la TANESCO Arusha lakosa umeme

    hii nimeikuta juzi wakati nikiwa kwenye foleni ya kulipia bili yangu pale makao makuu ya Tanesko mjini arusha.huduma kwa wateja zilisitishwa kisa umeme umekatika. my take;kumbe mgao unawagusa wagawaji wa umeme??!!!
  14. kipindupindu

    tangazo la biashara

    kwa mawasiliano piga namba 07414290202
  15. kipindupindu

    Sasa ni zamu ya Chenge!

    baada ya wahusika wote wa sakata la uvuaji gamba kuzungumza,kuna taarifa zisizo rasmi kwamba mzee wa bariadi Andrew chenge anajiaandaa kutoa dukuduku lake hivi karibuni.
  16. kipindupindu

    TBC na Dr Benson Bana

    hivi TBC wameingia mkataba na Dr Bana?ni mara nyingi sana TBC wanamtumia kama mchambuzi wa mambo ya siasa.ina maana hakuna wasomi wachambuzi wa mambo ya siasa zaidi ya Bana?
  17. kipindupindu

    kwa nini wafanyabiashara hawaikubali coin ya shilingi moja?

    kwa muda wa miezi 6 iliyopita nimekua katika harakati za kukusanya coins za shilingi moja za kitanzania na kufanikiwa kupata jumla ya shilingi mia mbili,niliamua kwenda dukani kununulia sabuni bila mafanikio kwa sababu kila duka nilililopita niliambiwa hizi hela hazitumiki.katika kumbukumbu...
  18. kipindupindu

    Ni upi ujumbe wa mchoraji huyu??

    huu ni mchoro unaoonekana katika moja ya junctions mkoani arusha,hivi huyu mchoraji alitaka kutoa ujumbe gani?
  19. kipindupindu

    Elections 2010 Hujuma:star TV wagoma kurusha habari za Igunga

    wakuu nimemaliza kuangalia taarifa ya habari ya saa nne asubuhi katika kituo hiki cha televisheni,nilitegemea habari ya kwanza ihusu uchaguzi wa igunga,lakini hakuna habari yoyote iliyorushwa kuhusu igunga.watanzania tunanyimwa haki ya kuhabarishwa sijui kwa maslahi ya nani? Jk katika mambo...
  20. kipindupindu

    JKT oljoro:mwanga mpya kwa soka la arusha

    kama ilivyotarajiwa timu ya Jkt oljoro imekuwa kivutio kwa wapenda soka wa arusha na Tanzania kwa ujumla,matarajio ya wengi ni kwamba JKT oljoro watarudisha heshima ya arusha katika soka.yanga na simba wasitegemee kununua mechi kutoka kwa vijana wenye nidhamu ya jeshini.kila la kheri vijana wa...
Back
Top Bottom