Search results

  1. ANCIENT FROM EGYPT

    UTAPELI DODOMA

    Kuna hiyo Kampuni hapo kama kwenye picha inavyoosha, Anatapeli watu kwa Kuwaaminisha kuwa inafanya biashara ya kuuza Laptop hapo mjini Dodoma. Ukichat nae ukimuuliza kuhusiana na eneo ilipo Ofisi, anatuma Location ambayo Ofisi haipo na walishafukuzqa hapo. Jamaa anayetapeli watu kwa kutumia...
  2. ANCIENT FROM EGYPT

    Picha ya siku

    Bibi Teresia Andrea Ghuliku mwenye Umri wa miaka Sabini na Tatu (73), mkazi wa Kijiji cha Siuyu, kata ya Siuyu Mkoani Singida kwa Umakini akisikiliza na kuandika kwenye Daftari lake Hotuba Nzima ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu. Daniel Chongolo aliyoitoa leo Mkoani Singida.
  3. ANCIENT FROM EGYPT

    Asali Ya Tabora Yakidhi Viwango vya Ubora Vya Kimataifa

    Kupitia Kongamano la ufugaji nyuki la Apimondia la Bara la Afrika linalofanyikia Durban nchini Afrika Kusini kuanzia tarehe 21-24 Machi, 2023, ambalo limekutanisha wadau wa asali kutoka duniani kote. Mkoa wa Tabora ulifanikiwa kutuma wajumbe wake ambao wamefanikiwa kuitambulisha asali ya Tabora...
  4. ANCIENT FROM EGYPT

    TANZIA Shabiki kindakindani wa Yanga, Rebeca Miyeye afariki dunia Wilayani Sikonge

    Tawi la WanaYanga Wilayani Sikonge, Mkoani Tabora Wameondokewa na shabiki wao aliyekuwa na mapenzi ya dhati na Timu ya Yanga ambaye alifarikia siku ya jana katika ajali ya basi iliyotokea wilayani Sikonge. Mwanamama huyo aliyefahamika na wengi kwa jina la Rebeca Miyeye, alikuwa shabiki...
  5. ANCIENT FROM EGYPT

    Hapo Zamani Nchini Uholanzi-1931

    Bwana mmoja ambaye hakufahamika jina lake , huko nchini Uholanzi, aliokenekana akipewa faini (ambapo haikufahamika ni shilingi ngapi) kwa kosa la kutokuvaa kwa heshima. Tukio hili lilitokea miaka ya 1931, ambapo wakati huo watu hawakuruhusiwa kujivalia wanavyotaka. Na badala yake watu...
  6. ANCIENT FROM EGYPT

    Hapo Zamani Nchini Marekani.

    Huko mjini Los Angels nchini Marekani, miaka ya 1930, bwana mmoja ambaye hakufahamika jina alionekana akisimamishwa na askari wa usalama barabarani kwa kosa kuendesha kwa kasi kubwa, mkokoteni wake unaovutwa na Mbuni. #History Is Great#
  7. ANCIENT FROM EGYPT

    Manara ndani ya Bunge

    Nimeuona Khaji Manara Mbungeni Leo. Kunani huko Bungeni Kaenda kumtembelea nani?
  8. ANCIENT FROM EGYPT

    NIDA na TCRA litazameni kundi hili, lina changamoto kubwa katika kukamilisha usajili

    Habari ya Muda huu wana JF. Bila kupoteza muda naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada yangu. Ni kwamba kuna kundi hili la Wahudumu wa vyombo vya Usafiri hapa najumuhisha Madera wa Malori na Mabasi. Wahudumu wa mabasi na wengineo wenye kuhusika na kundi hili ambao kwa namna moja ama nyingine...
  9. ANCIENT FROM EGYPT

    Kumbe Iran kuna vivutio vingi sana

    Kumbe Iran kuna vivutio vingi sana. Vya Utalii. Hakika nimetokea kuvutiwa sana na vivutio hivyo na jinsi wanavyotangaza. Kwa kweli mwaka huu lazima niande nikashuhudie utajiri wa Utalii mchini Iran. *Kama upo tayari tuungane*
  10. ANCIENT FROM EGYPT

    North Korea wanasemaje juu ya vuguvugu la vita kati ya usa na Iran?

    Habari ya muda huu wachambuzi wa masuala ya dunia hasa yanayoendelea huko Mashariki ya Kati. Kufuatia vuguvugu la vita kati ya Iran na Marekani, mpaka wakati huu Adui wa Marekani North Korea Ametamka nini au kasema nini? Maana najua North Korea yupo na mgogoro mkubwa sana na Marekani. Sasa...
  11. ANCIENT FROM EGYPT

    Nani huyu?

    huyu jamaa kama namfananisha na Yule jamaa wa South Sudan
  12. ANCIENT FROM EGYPT

    Kwa mtazamo wako umepata ujumbe gani?

    Habari ya Jumapili WanaJF. Kwenye picha hii kuna ujumbe zaodo 1000 Kwa mtazamo wako umepata ujumbe gani?
  13. ANCIENT FROM EGYPT

    MSAADA

    Samahani sana Wadau. Kuna dogo namuombea chuo. Lakini majina yake aliyotumia kidato cha 4 ni tofauti na majina aliyoyatumia kidato cha 6. Na kwenye kuaomba vyuo mambo yamegoma. Naomba kufahamu namna ya kutatua tatizo hili.
  14. ANCIENT FROM EGYPT

    Agot Gabriel Riak Generali Mwenye Umri Mdogo Zaidi Afrika

    Hii ni picha niliikuta kwenye Account ya Mtu fulani hivi Kutoka Huko Sudani Kusini. Akilalamika Umri na Uzoefu wa Bwana Mdogo huyu (ambaye hakutajwa jina) na Mavyeo aliyokuwa nayo. Rais Salva Kiir wa Sudani Kusini, amempandisha cheo Kanali Agot Gabriel Riak kuwa Brigedia Jenerali. Kufuatia...
  15. ANCIENT FROM EGYPT

    Picha yangu ya leo

    Kama yupo unamfahamu hapa mtaje.
  16. ANCIENT FROM EGYPT

    Walikuwa wanacheka nini hawa?

  17. ANCIENT FROM EGYPT

    Waafrika tuna safari ndefu sana

    Hii picha inaongea mengu sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. ANCIENT FROM EGYPT

    Nahitaji sana kuzipata Filamu hizi. Naomba msaada WanaJf

    Watanzania habari ya Muda huu. Naomba Msaada juu ya Hili suala. Miaka ya 2000 hivi kulikuwa na Filamu za Kitanzania Zilizokuwa zikionyeshwa TBC, wakati huo Nadhani ilikuwa TVT. Kulikuwa na filamu nyingi sana Ila naomba Mnisaidia filamu hizi. Nawezaje kuzipata aidha kwa Hard copy au kwa...
  19. ANCIENT FROM EGYPT

    Ajali ya pikipiki Burundi

    Huku Bujumbura, Burundi mtu mmoja amefariki hapo hapo baada pikipiki mbili kugongana. Mashuhuda wamesema kuwa , kulikuwa na pikipiki mbili. Moja ndio ilikuwa inatumika kwa Wizi na ndio mmoja wao aliyekufa na mwingine Mahututi. Na pikipiki nyingene ilikuwa ni mtu binafsi ambaye pia ameumia...
Back
Top Bottom