Search results

  1. M

    Pata maji safi

    pata maji safi delivered nyumbani kwako gharama :tshs 15,000 per 1000lts guarantee : Refund usiporidhika na ubora wa maji yetu contacts :0782468639 competitive edge: Super clean water, timely delivery
  2. M

    PPF PPF, msaada wa taarifa wanajamvi

    WAKUU SALAAM. Naomba mwenye ufahamu anijulishe je inachukua muda gani kupata fao la kujitoa PPF baada ya kusubmit documents zote zinazohusika ofisini kwao? asanteni sana.
  3. M

    Ufisadi Mkubwa: Tanesco yaibiwa Mamilioni ya fedha kupitia minara ya simu!

    USER mwanaHAKI iombe radhi UMMA kwa uwongo ulokithiri
  4. M

    Ufisadi Mkubwa: Tanesco yaibiwa Mamilioni ya fedha kupitia minara ya simu!

    Watanzania mnatia aibu kwa kushabikia mambo msoyajua Huyo mtu anaepiga hesabu za kimbumbumbu eti minara 1700 then cost ya mnara mmoja anazidisha kwa 1700, seriousl tanzania tuna hardly penetration ya grid ya 25% nchi nzima, sasa hiyo asumption ya umeme kuwepo allover imetoka wapi, Secondly hivi...
  5. M

    Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    Hapa kuna bwana mmoja kaletwa kama expert wa power hybrid systems alikuwa anasupport five accounts huko kwao (as in five countries) kuna issue uya kutest battery strength (backup batteries) anapewa multimeter polarities tu hajui katoa macho, its boring Hizi tunaripoti kwenye mamlaka husika but...
  6. M

    Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    Tanzania tunakoelekea siko, Nikicheki jinsi wahindi walivyojazana maofisini, kila mmoja akiwa na job title ya expert ,wakilipwa thrice our salaries huku tukiwafundisha kazi, it pains aiseee
  7. M

    Siri ya matusi bungeni

    Hapana aisee, inaudhi enzi za silaa hatukuua na spika oovyo kiasi hiki ndo maana hali ilikua tulivu, Hivi wazee mnasikiliza bunge kweli au ni ushabiki tu usio na msingi? Kuna mada mpaka aibuu, ile 29 billioni ya inovation imeniuma sana, and Mhe Mnyika anajaribu kuwaelimisha kwa calmness kubwa...
  8. M

    ICT Registration board

    Currently kwenye ICT world kuna a very big issue ya breach of ethics, ethics ziko bound kwa professionals not any smartass with a pc, we need a board ya kufatilia mambo kama hayo, Issue ya certifications hakuna alokataza zitabaki kuwepo, lakini certifications ziko very vendor based in a way...
  9. M

    Are you competent!!!!!!!

    What is competence? How do you measure competence? What is opportunity? How do you take hold of an opportunity? Connect the two
  10. M

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Mwanasiasa komavu mwenye shahada husika , this is a challenge to all those Unqualified politicians, Politics is a career not some deal every mropokaji can do!!!!!!:rockon:
  11. M

    Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

    aah sasa nimeeelewa kwa nn mtu anataka tusimuliane isidingo afadhali, kuliko kisikiza upuuz:nono:i huu
  12. M

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    :target::target::target:
  13. M

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    :israel::israel: Pipoooooz , leo tunakodi treni ,huo msafara wa ushindi
  14. M

    Adui yetu Namba Moja ni Umasikini!!

    Reading all your comments inatosha kuonyesha kwa nini Tanzania ni masikini, Almost Kila mtu anamlaumu someone, if not CCM, then some fisadi somewhere up the chain WATANZANIA SISI NI WAVIVU, HATUNA NIDHAMU YA KAZI ,NA TUNAPENDA STAREHE THATS WHY SISI NI MASIKINIII:eek2:
  15. M

    Graduate recruitment programme

    competitive program for competitive pipo, hakuna kamlete hapo, good work Anglogold
Back
Top Bottom