Search results

  1. Afrika Furaha

    Hoja ya Shossi juu ya sh. 500/- ya babu

    Pia fahamu kwamba njia za Mungu (nakushauri uwe unaanza na herufi kubwa kila unapoandika jina la Muumba wako) hazina cha kuwa great thinker wala thin thinker, sisi sote ni mali yake. Hata babu nae ni mali ya Bwana. Mbele za Mungu hakuna anaefanana nae kwa kufikiri wala kumkaribia. Uwe great...
  2. Afrika Furaha

    Hoja ya Shossi juu ya sh. 500/- ya babu

    Ni lazima ushangazwe na sisi maana hata rekodi yako ya kutunga thread haifanani hata kidogo na utakatifu unaohubiria na unaotaka babu afanye. Ulituletea thread yenye mbinu za utongozaji tena kwa mwanaume na mwanamke, leo hii useme unafahamu vizuri maandiko na utakatifu wake...
  3. Afrika Furaha

    Hoja ya Shossi juu ya sh. 500/- ya babu

    Nikiangalia hizo comment za blue na nyekundu natamani hata kulia. Hivi kweli kutoa msaada kwa wajane na yatima ni kuchezea neema ya Mungu??? Judith, ulisoma sawasawa ulichokiandika?????? Kuchangia kanisa ni kuchezea neema ya Mungu???? Na ukiangalia hata huo mchanganuo uliouweka inaonyesha yeye...
  4. Afrika Furaha

    Hii imekaaje wapendwa

    Ngoja nisome alama za nyakati
  5. Afrika Furaha

    Kwako mpenzi . . . .

    Daah! Nimekosa mtu wa kuniita SWEET humu ndani, wewe ndo wa kwanza. Ngoja nikuandikie kweli . . . maana umenipa hamasa tayari
  6. Afrika Furaha

    SIMBA NA YANGA FINAL SIMBA BINGWA kwa goli 3

    Hawa Simba wakifungwa utasikia "Kaseja hayupo, kilikuwa kikosi B, subilini ligi ianze" Subilini mcheze Alaji Alaji
  7. Afrika Furaha

    Kwako mpenzi . . . .

    Dia Miss Judy mi nakupenda sana Judy, si unakumbuka tulivyocheza kombolela. Si ulikuwa unasikia raha?? Kule ktk michongoma anakujaga John andunje, atatuonea donge njoo kwetu basi, unajifanya unakuja kwa best wako Jeni. Halafu jeni ataitwa na mama, si tunaingia bafuni. Sema basi, shosti hajui...
  8. Afrika Furaha

    unamuombaje Penzi mwenzio

    Daah . . . mshikaji, we mmasai nini?
  9. Afrika Furaha

    SIMBA NA YANGA FINAL SIMBA BINGWA kwa goli 3

    Umesahau ngao ya Hisani
  10. Afrika Furaha

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Mapinduzi Cup, Yanga 2-1 Mtibwa
  11. Afrika Furaha

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Jamani, tuzo ya kwanza ya kuonganisha Uefa na Fifa imeenda kwa Messi. Lakin je, ni kweli Messi alistahili tuzo hii kwa kazi za mwaka 2010?? Kama kweli World Cup ina uzito mkubwa ktk tuzo, Xavi, Iniesta na Sneijder walikuwa ndo right candidates. Ukiunganisha na ngazi ya club, hakuna kama Sneijder.
  12. Afrika Furaha

    Tuzo za FIFA 2010: Messi mchezaji, Mourinho kocha bora

    Nakubaliana na wewe 100 kwa mia. Sneijder alistahili tuzo hii. Alipata mafanikio makubwa ngazi zote, club na timu ya taifa. Ajabu hata top 3 hayumo. Messi hakumfikia Sneijder kwa ngazi ya club wala taifa
  13. Afrika Furaha

    Kwako mpenzi . . . .

    mi namtaka Miss Jud
  14. Afrika Furaha

    Kwako mpenzi . . . .

    Enzi hizo najifunzaga mambo makubwa
  15. Afrika Furaha

    Ndoto za kisiasa

    Ukitaka kujua walinda mwili sio malaika, basi jikumbushie Bush alivyokoswa na kiatu.
  16. Afrika Furaha

    Ndoto za kisiasa

    Nipate matatizo mangapi??? Watu tuna matatizo mpaka matatizo mengine yanakimbia yenyewe
  17. Afrika Furaha

    CCM: Tuna madiwani 16 Arusha

    Sijajua vizuri, diwani akihama chama ana hama na kiti chake au ndo inakuwaje???
  18. Afrika Furaha

    Polisi wafukuzwa kwenye nyumba waliyopanga na mwenye nyumba: Kisa? Mauaji ya raia

    Kwani siku hizi ulisikia watu wanaita polisi wakivamiwa usiku?? Hata wakiwaita wanakuja asubuhi. Polisi wetu hawakamati mhalifu ambaye ulimtaarifu kwa kupiga sim, wanakamata wapiga debe stendi na madaladala
Back
Top Bottom