Search results

  1. C

    Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Kwa maelekezo yako huko nyuma kuwa wewe upo na umejitolea kwa ajili ya kusaidia watu katika Tatizo FEKI hili walilo karirishwa....Sasa unapokuja na hoja za KUFIDIWA MUDA nashindwa kukuelewa ni katika ujanja wa kukwepa amma nini?? Mi nina kuhakikishia Katika Harakati zako ambazo mwenyewe umeamua...
  2. C

    V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    NAKUFATA NA HUKU Mi nishasoma maelezo yako mengi. Kwa sasa nataka tufunge vitabu,makala,majarida na machapisho. Twendeni katika Uhalisia wa Mambo. Namuomba Deception na nipo seriuos kwa hili TUKUTANE KISHERIA TUKIWA NA SECURITY. NIMU INJECT DAMU YA MGONJWA WA UKIMWI JAPO 1CC kisha...
  3. C

    Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Mi nitaamini vipi kama ni mtu umempanga wewe......Mi nimekuomba hivyo kwasababu mada zako nimehudhurisha katika Group langu la Afya la Whatsapp nimeona Tufike Tamati kwa hili kwa kukufanya wewe uwe GUINE PIG kwa kukubali TUKU INJECT damu ya Mgonjwa wa UKIMWI kisha tukupe miezi sita TUJE HAPA NA...
  4. C

    Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Nimefatilia maelezo mengi sana ya Bwana Deception. Mi naomba kwa sasa tufunge vitabu,makala,majarida,maabara tuje katika uhalisia. Yeye anapinga uwepo wa kirusi kiitwacho HIV ambacho kinasababisha UKIMWI. NAMUOMBA YEYE BINFASI AJE AU TUKUTANE NA MIMI NIMU INJECT DAMU YA MGONJWA MWENYE...
  5. C

    JK kutosaini muswada kuwa sheria

    Kwa khotba yake hii kusaini ni MUST!!!!!! Haya nyie Mademu mnaosusa jiandaeni na Maji ya Upupu!!!
  6. C

    Mkakati wa maandamano ya kupinga kusomwa kwa mara ya pili kwa mswaada wa kuunda katiba mpya

    Acheni Ujinga nyie,Mnaweza Mziki walioanzisha waarabu,Nyie upupu tu mnakimbia hovyo ,ngedere nyie!!!!
  7. C

    Ni kweli chadema inafadhiliwa na ujerumani kugomea muswaada wa katiba mpya na kuleta vurugu?

    Nyie CHADEMA lazima mtashutumiwa hvyo kwa sababu habari za yule Kameroun mlikaa kimya!!!!!! Kama kweli mna mabwana zenu Ulaya,msituletee masuala ya kis*ng* hapa!!!!!!!
  8. C

    JK kutosaini muswada kuwa sheria

    Jk tunakuomna usaini Muswada huo!!!! Na wakiandama Hawa Mafala tuta wamwagia maji ya upupu na kuwapiga Virungu vya ugoko na utosi!!!!Mapaka shume wakubwa!!!!!
  9. C

    Elections 2010 Chama gani kitatikisa uchaguzi mkuu mwaka 2015

    Mi si mtabiri ila historia na mazingira halis yanaweza kutupa picha kamili chama gani kitaongoza. Kwanza:mara zote wapinzan wanagombea nafas ya pili ktk matokeo ya uchaguz na si kushika dola. Pili:Inategemea CCM watamsimamisha nani?kama itamsimamisha Mkatoliki maaskofu watamuunga mkono na...
  10. C

    Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

    Naunga mkono tamko mia fil mia.
  11. C

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Mi nashukuru kuona mjadala wa katiba mpya unafika mahal pazuri sasa kwan kila mTZ ana toa maon yake kuhusu kutengeneza katiba mpya hata wale ambao vichwa vyao vilikuwa na kutu za KIJANI.Napenda kukipongeza CHAMA CHA WANANCHI(CUF)na Mwenyekiti wao Prof.Lipumba kwa kuwaonyesha watanzania mara...
  12. C

    Bila Kutekeleza Matakwa ya Waislamu Hakuna Katiba Mpya

    Nina wasiwas na huyu KIUMBE alieanzisha hii THREAD kama ni muislam kweli na kama ni muislam basi ni JAAHIL wa dini yake au Myahud ametumwa!!!Kuna aya nyingi ndan ya Qur'an Tukufu zinazotufundisha waislam kutowalazmisha wengine kuingia ktk din yetu. Allah anasema ktk surat Baqarah"HAKUNA...
  13. C

    Elections 2010 Kumbe Maalim Seif ni sawa na mkuu wa wilaya?

    Nakupongeza mwenzangu unaweza kuropoka kwa kuandika!Lakin sishangai sana kwasababu watu wa dizain yenu huwa wana MWILI MKUBWA AKILI GOROLI!We ulifikiria msafara niliokusudia mimi nikama hiyo uliyoitaja kama ndio hivyo mbona hata SIAFU wanamsafara.Misafara ya kiongoz haiwez kufanana na msafara...
  14. C

    Why religious university in our country? hasara yake ni nini in the long run?

    Hapa nimeona tatizo sio jina kwan huyu bwana mkubwa anajua kabisa kama kuna vyuo ving Tz vya kikristo na vina majina ya kikristo,tatizo hapa ni chuo chenyewe maana waislam walipopea majengo na serkal ya awamu ya tatu wakristo walikuja juu kwanini waislam wapewe chuo ilihal wao wanapata maruzuku...
  15. C

    Hizi sherehe X-Mass Tanzania...?

    Mara nyingi huwa jambo hili linanishangaza sikukuu za kidini hasa za kikristo utakuta ofis za serikal(wizara,shule even hospitals)kupamba maua na wakati mwengine na kwaya zinapigwa.Na hiyo inayoitwa television ya taifa(TBS1)inaadhimisha krismas wiki mbili kabla na baada na inabadili mfumo wa...
  16. C

    Je, Kikwete ni mdini?

    Kaka sokomoko usikatishwe tamaa na Drugs victim na sex hawa wamekosea ilibidi waende kwenye tovut za kushauriwa ili wakae sawa maana wanaonekana ni wamechanganyikiwa.Ngoja uchaguz ujao ccm itakapomuweka mkatolik sijui watakua chama gani na nani atakuwa chaguo la mungu kati ya Dr.SILAHA na huyu...
  17. C

    Elections 2010 Kumbe Maalim Seif ni sawa na mkuu wa wilaya?

    Ingawa kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake lakini kufikiri kabla ya kutoa maoni ni jambo la busara.Kutotoa zawadi kwenye MICHEZO ndio mtu aporomoke cheo chake?Hebu niambie Mhe.ulimuona mkuu wilaya gan anamsafara?ameingia bungeni kama kiongoz wa juu ktk ufunguz wa bunge?amehudhuria sherehe...
  18. C

    Elections 2010 Hivi Zanzibar ile ni selikali ya umoja wa kitaifa au ya vyama viwili?

    mara baada ya makubaliano ya viongoz wawili wapenda aman na hatimaye kuundwa kwa serikal ya umoja wa kitaifa na wazanzibar kuwa kitu kimoja nilijua watatokea mashetwan rajim wafitin kutaka kuwagawa wazanzibar hebu achana iblis zenu!Mnapenda waendelee kuuana bt mi sishangai sana kwan weng...
Back
Top Bottom