Search results

  1. S

    Anna Elisha Mghwira anarudi ACT? CCM atakaa kama mwanachama wa kawaida? Vitawezekana kweli?

    Waliotolewa ni pro-magufuli only. Case closed.
  2. S

    Ujumbe kwa vijana wanaotumia mitandaoni kumtetea Mzee Baba

    1. JK - "mimi sina chuki na JPM" 2. Press conference kupitia chuo cha dini ya kiislamu morogoro 3. Who's next?
  3. S

    Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

    1. JK - 'mimi nilikuwa simchukii JPM' 2. Press conference kupitia chuo cha dini ya kiislamu 3. Whos next?
  4. S

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    1. Jamaa wa skinny ? - Hii ni grave mistake ya Boys2Men wangetanguliza maslahi ya nchi haya yasingetoa. 2. Mothertounge hawajui - Shukrani kwa IDed them. 3. Slim thug has us by the ball - Hii ni grave mistake ya Boys2Men wangetanguliza maslahi ya nchi haya yasingetoa. 4. Sayyid Ali Bin Hamud...
  5. S

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Kuuliza siyo uzembe mkuu. Hizi nondo nzito sana. Nipe majibu mkuu
  6. S

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Duuh hatari 1. Una maana sultan hayupo upande wetu? 2. Au wana nguvu kuliko sultan? 3. Au sultan hana taarifa? Ngachoka mimi
  7. S

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Haya majangili nadhani yanajulikana kabisa, sema kila kundi linawatumia kwa maslahi yao pale wanapohitaji. Huenda hata yule ndugu tuliyenaye hapa Nairobi alipigwa shaba na hawa hawa majangili
  8. S

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    1. Oohh, unamaanisha alienda kuwaleta hao secret agents? 2. Wabongo hatujui kazi? Kazi zipi mkuu? 3. Bado siamini kwamba TZD haiwajui kabisaaa hawa secret agents
  9. S

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Well trained secret soldiers? 1. Wapo ndani ya jeshi letu? 2. Wanaishi TZ? 3. Sys ya TZ inashindwa vp kuweka utaratibu wa kuwaondoa?
  10. S

    Miili ya askari 14 waliouawa Congo kuwasili leo Uwanja wa ndege Dsm saa 12 jioni

    Wawili hawajulikani walipo!!! Una majina ya hawa wawili?
  11. S

    Ukuta wavuka mipaka: Can confrontation and violence be avoided on Tanzania’s “Day of Defiance”?

    Can confrontation and violence be avoided on Tanzania’s “Day of Defiance”? Can confrontation and violence be avoided on Tanzania’s “Day of Defiance”? Tensions are rising ahead of this Thursday’s opposition protests against President Magufuli’s “dictatorial” leadership. There will be a solar...
  12. S

    Rais Magufuli: Askari wa Usalama Barabarani aliyetukanwa na Mke wa Waziri apandishwe cheo

    Ni askari kichaa tuu atatumia hii fursa kukandamiza raia, lakini mwenye akili atajitahidi kuwa fair katika kazi zake. Huu ni mtego mkubwa sana kwa askari wenyewe, wanawezapoteza vyeo vyao kirahisi sana kama watatumia hii kitu kama rungu la kukandamiza raia. Kumbuka Mahiga siyo mtu mdogo...
  13. S

    Rais Magufuli: Askari wa Usalama Barabarani aliyetukanwa na Mke wa Waziri apandishwe cheo

    Kama ni mke wa Mahiga basi huyo polisi ali mprovoke tuu. Mahigas hawana hizo mbwembwe.
  14. S

    Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Kiapo unaapa kwa Rais mpya.
  15. S

    Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Are you serious? Hata PM wengi walidhani atakuwa PAULO, lakini Magu akamleta JUMA. Huyo ndiyo magu. By the way, unaonekana mrembo sana.
  16. S

    Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Are you serious? Hata PM wengi walidhani atakuwa PAULO, lakini Magu akamleta JUMA. Huyo ndiyo magu.
  17. S

    Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Are you serious? Hata PM wengi walidhani atakuwa PAULO, lakini Magu akamleta JUMA. Huyo ndiyo magu.
  18. S

    Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Are you serious? Hata PM wengi walidhani atakuwa PAULO, lakini Magu akamleta JUMA. Huyo ndiyo magu.
Back
Top Bottom