Search results

  1. C

    Tuambiane ukweli: Ni kweli Kuna Petrol station zenye mafuta masafi na zenye mafuta machafu.

    Petrol stations nyingi zinazomilikiwa na wazawa hawazingatii matakwa ya kusafisha matank kila baada ya kipindi fulani.Zoezi hili ni gharama na wanalikwepa tofauti na vituo vya mafuta vinavyomilikiwa na kampuni za kimataifa daima hufuata viwango bila kujali gharama zake.
  2. C

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Meter yangu ni ya single phase toka kampuni ya Wasion.Nimejaribu kuwaomba Tanesco kama kuna aina nyingine tubadilishe imeshidikana.
  3. C

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nina tatizo sehemu ya biashara,mpangaji wangu wa saloon akitumia hand drier meter inakata umeme,hiyo drier ina 1600 W na current ni 16amp.Tanesco wamemwambia asitumie.Hivi hakuna solution nyingine mbadala? Meter
  4. C

    Kutoka JamiiForums: Salaam za kuuaga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018

    Tunashukuru kwa salaam ya sherehe za mwisho wa mwaka. Ombi langu ni moja tuu kwa wale wanaotoa breaking news, waonyeshe umaturity zaidi mwaka ujao. Usilete habari bila source na hasa kama issue ni sensitive, ikibidi moderators muiondoe faster kabla ya sumu kusambaa.
  5. C

    Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

    Usafiri wa ndege ni salama sana kuliko aina nyingine za usafiri,wengi wameongelea turbulence na wengi nimeona hapa bongo wanaogopa sana hivi vi turbulent vidogo vidogo.Kiufupi turbulent hazi crash ndege kiurahisi tena siku hizo, kutokana na technolojia.Kuna turbulent kubwa jamani,watu wanarushwa...
  6. C

    EWURA wafuatilieni wasambazaji wa gesi za kupikia

    Kawaida gas ya kupikia ya LPG hukaa kwenye mtungi ktk hali ya kimiminika yaani liquid form na pale unaporuhusu kutoka ndani ya mtungi kupitia ole koki au kwa kizungu regulator kile kimiminjka hubadilika na kuwa gas ambayo hupita kwenye mpira hadi ndani ya jiko lako.Majiko mengi ya gas hasa yale...
  7. C

    Waziri Kigwangalla aagiza kampuni ya Uwindaji ya OBC ya Loliondo kurudi walikotokea kabla ya Januari 2018

    Maliasili zetu lazima zilindwe sana,Masai wa Loliondo wamenyanyasika kwa muda mrefu,ni wakati wa kufurahia maisha yao walioishi hapo tokea enzi
  8. C

    Waziri Kigwangalla aagiza kampuni ya Uwindaji ya OBC ya Loliondo kurudi walikotokea kabla ya Januari 2018

    Maliasili zetu lazima zilindwe sana,Masai wa Loliondo wamenyanyasika kwa muda mrefu,ni wakati wa kufurahia maisha yao walioishi hapo tokea enzi
  9. C

    Tanzania yapunguza safari za Kenya Airways

    Nauli ya KQ Dar Nairobi ni ghali zaidi ya Dubai.
  10. C

    Njia 10 za kupunguza matumizi ya mafuta kwenye gari lako

    Useful topic, La kuongeza ni kubadilisha air cleaner mara kwa mara,kupenda kutumia multgrade oils,kwa wale wanaotumia magari ya petrol yenye distributors wanashauliwa kubadilisha zile waya zinazopeleka umeme kwenye spark plugs baada ya kipindi fulani kwani husababisha plugs zisiwe na ufanisi...
  11. C

    Ajali kubwa daraja la mto Nduruma - Arusha

    Taarifa za awali kuhusu waanga wa hii ajali ni kwamba dereva wa Lori aina ya fuso kvunjika miguu na Hali yake si nzuri sana,yupo hospitali.Msaidizi wake ana majeraha si makubwa sana. Wale wa malori yaliyobeba makontainer wote wamenusulika.
  12. C

    Ajali kubwa daraja la mto Nduruma - Arusha

    Ajali mbaya za malori 3 ya mizigo Arusha imesababisha barabara kufungwa na hakuna uwezekano wa kuyatoa hayo magari mapema. Inasemekana truck moja ilifeli brake na ndipo ilipojaribu kulipia Lori jingine na kujikuta likigongana uso kwa uso na Lori aina ya fuso lililobeba machungwa kuelekea...
  13. C

    Makamu wa Rais Dk. Bilal, Afande Kova, Mkuu wa Mkoa wa Dar na Dk. Magufuli wanusurika ajali ya helikopta

    Inasemekana engine ilifeli wakati wa take off na ikapoteza lifting force ikiwa chini ya mt.100 from the ground.
  14. C

    Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    Chadema sio riziki inapaswa kuoverhaul uongozi wake na kubadili strategies ili iendelee kupata popularity, nje ya hapo tegemea timu ndogo zaidi bunge lijalo.
  15. C

    Orodha ya Majina ya Wajumbe wa Bunge la Katiba hii hapa

    Tamthilia tamu naona imezinduliwa leo,tusubiri episode inayofuata.
  16. C

    BA Kutua Tena JNIA

    Afadhali,connections zinabore sana.
  17. C

    Hatimaye gesi imeshuka bei

    Hongereni Oryx, U rock :A S thumbs_up:
  18. C

    Ndege ya Precision Air yapasuka matairi yote manne huko Arusha!

    Yawezekana ni Pilot error hasa wakati wa kutua,mfano endapo hakuibalace ndege na akagusa ardhi na tyre 2 badala ya nne za nyuma,impact ya load balancing itajionyesha pale pale.Muhimu ni uchunguzi makini kwa ajili ya kunusuru safari zijazo.
  19. C

    MAZURI ya Kikwete ambayo hayajawahi kufanywa na marais waliomtangulia HAYA HAPA

    Ningefurahi mambo mawili yafuatayo ameyakamilisha kabla ya 2015. 1.Train inachukuwa mzigo wote wa bandari ya Dar na kuhamishia Chalinze,msururu wa malori usionekane tena mjini. 2.DSM tunapata maji ya uhakika
Back
Top Bottom