Search results

  1. Masasaa

    Tanesco Mtatuunguzia Vitu Vyetu vya Ndani

    Kumekuwa na huu mchezo wa Tanesco toka majuzi wa umeme kukatika na kuwaka baada ya dakika 4 au 5 hivi, then baada ya masaa 2 au 3 unafanya hivyo, nikihesabu toka ulipoanza mpaka hapa ninapoandika nadhani hii ni mara ya 15, ukiondoa usiku mkubwa ninapokuwa nimelala, mkiendelea hivi mtatuinguzia...
  2. Masasaa

    Vibao vya 50 viongeze Kongwa Ranch

    Jana nimepita hapo, naona wameweka vibao ya 50 speedunapoingia ranch na kingime unakikuta unapotoka ranch, sina uhakika ni km ngapi, lakini nadhani ni zaidi ya 20km pale, na katikati huku kuna traffic wamejificha mahali. Natatiziko na hivyo vibao 50km/h iweje kuwe na 50 day and night kwenye...
  3. Masasaa

    Utapeli wa wastaafu je mashirika ya hifadhi za jamii yanahusika?

    Kumekuwa na hii shida siku za hivi karibuni kwa wastaafu, hasa ambao tayari wameshalipwa mafao yao, wanaofuatilia mapunjo hasa kwa mkoa wa Morogoro. Hawa matapeli wanakuwa na details zote za mstaafu kuanzia mshahara wake wa mwisho, check namba yake, namba yake ya simu, kiasi cha mafao...
  4. Masasaa

    Airtel Mnakera na Meseji Zenu za Bando Limekwisha

    Hii sijui ni kwangu au na kwa wengine pia, sielewi airtel waseti vipi mitqmbo yqo kila siku saa 7 usiku lqImq nipqte meseji ya bando kuisha, "You have finished your data bundle, you will not be able to browse using airtime, please dial *149*99#, select 5 to subscribe or proceed using airtime."...
  5. Masasaa

    Hii sheria ya 50 za nyongeza, polisi wanaitia wapi, TANROADS tusaidiane

    Habari wana jamvi Nimekumbana na hii kitu mara mbili, jana mara baada ya kuto cha tra cha misugusugu kuna vibao vilikuwepo zamani ya kumaliza hamsini, halafu mbele kidogo cha kuanza 50, sasa kile cha kumaliza hamsini hakipo, kimebaki cha kuanza 50, so nikapigwa tochi kabla ya kile kibao cha...
  6. Masasaa

    App nzuri kwa kupiga simu kwa internet

    Habari wanajamvi, samahani naulizia app ambayo ni nzuri kutumia kwa ajili ya video call mbali na whatsapp na vibe
  7. Masasaa

    Hivi hizi fine za trafic zilnalipwaje

    Habari wanajamvi, Wakuu nisaidie jinsi ya kulipa hizi faini za.mashine tunazopewa barabarani na trafic, nina kijikaratasi hapa cha fine ila nashindwa kulipa Msaada please
  8. Masasaa

    Kumbe balimi ndogo ni nzuri hivi?

    Wakuu nipo hapa nakula balimi ndogo, sikuwa najua ni tamu kiasi hiki na bei yake ni reasonable
  9. Masasaa

    Mbona ving'amuzi bado hawaonyeshi channel tano za bure?

    Habari wana bodi. Kirushi changu cha azamu kimeisha ila naona kuna channel moja ya tbc1 tu, hivi hili agizo la juzi lililotolewa pale TCRA lilikuwa geresha, au?
  10. Masasaa

    Hivi mwanamke rijali ni yupi?

    Wanabodi naomba mnieleweshe mwanamke akisema yeye ni mwanamke rijali anakuwa anamaanisha nini?
  11. Masasaa

    Hivi hakuna kibao cha kuonesha makazi ya watu kwenye barabara?

    Hivi katika sheria za barabarani hakuna kibao kinachoonyesha hapa ni makaxi ya watu, maana hii kauli imekuwa kero kwa madereva, mtu barabara hata hujawahi kupita, trafic wanajificha mahali, hakuna kibao cha 50km/h lakini wakikusimamisha utasikia wanakuambia umeoverspped hapa ni makaxi ya watu...
  12. Masasaa

    Demu wangu katoa namba yangu ya simu kwa bwanake ili anifuatilie

    Za uck huu wana jamvi, nina demu wangu yaani haniamini, hapa tunagombana kishenzi, katoa namba yangu ya simu kwa bwanake anayesema wameachana ili anifuatilie eti kama nina michepuko. Yaani nimeshindwa kumsoma kabisa huyu demu na tumegombana sana. Hivi hii ni sawa wanajamvi, nataka kumtosa, ushauri
  13. Masasaa

    Hivi huyu demu anamapenzi ya kweli na mimi

    Wanajamvi za asubuhi Naomba niende kwenye mada yangu moja kwa moja, nina demu niko naye miezi saba sasa, mm nakaa dar na yeye kwao ni dar ila kikazi yuko morogoro mjini, ni mwalimu wa primary. Toka tuwe kwenye mahusiano huwa muda wote tuaonana akija dar tu, ila huwa hapendi niende moro...
  14. Masasaa

    Natafuta mke

    Mimi ni mwaname mwenye umri wa miaka 45, divorced, mtoto mmoja, mkristo, natafuta mwanamke mwebye umri kuanzia miaka 27 mpaka 40, mwenye sifa zifuatazo: Mkristo, ila asiwe mlokole Elimu kuanzia form 4 Awe na kazi au taaluma yeyote Asiwe na mtoto Awe tayari kuishi sehemu yeyote tanzania Aliye...
Back
Top Bottom