Search results

  1. REJONGO

    Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

    Mchezo wa kubahatisha au Ubashiri........
  2. REJONGO

    Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

    Hizi ni kati ya mada ambazo huchoki kuzisoma humu JF asante mtoa mada mshana jr maana zina mafundisho makubwa na ni tiba
  3. REJONGO

    Salim Hassan Turky: CHADEMA walilipia gharama za Ndege iliyomsafirisha Lissu

    Alichokifanya Mh ndyo uhalisia wetu wa KITANZANIA upendo na umoja ila kwa AMANI ndyo kana mashaka kwa sshv Mwenyezi Mungu atuepushe kwa hilo
  4. REJONGO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Man City Mungu anawaona khaaa
  5. REJONGO

    Suma JKT, askari wenu wakorofi mitaani

    Hapana mkuu hawa si km askari wa JWTZ au JKT(VIJANA WAKUJITOLEA AU WA KWA MUJIBU WA SHERIA)hawa nia askari waliokwisha shiriki mafuzo ya JKT wakaajiriwa na JKT SUMA GUARD,hvyo sidhani km wana haki ya kutolipa nauli wanajifananisha na kipindi wakiwa km wapo JKT kumbe walishatoka huko na ss wapo...
  6. REJONGO

    Dollar to tsh exchange rate

    Hahahahahahaaaaaaaaa
  7. REJONGO

    Living the dream: Jokate akiwa na Jay Z na Beyonce kwenye NBA all star game

    Duuh kweli humu kuna watu wabishi ila picha zimewaumbua,nilimuona pia katuma pic yupo na vice president wa world bank hkohko USA
  8. REJONGO

    NBA 2016/2017 Season Special Thread

    Jones Jr yes!now we see
  9. REJONGO

    NBA 2016/2017 Season Special Thread

    Whaaaaaat!!!!!!!
  10. REJONGO

    Pombe gani mtu ukinywa haiachi harufu mdomoni?

    Anafanyaje kuacha kwa mfano
  11. REJONGO

    Mnamkumbuka Tola mchoyo?

    Mkuu hii kitu angetoke msomi wa kitambo hcho wa kwenda na wakati utandawazi angeokoa kizaz cha tom and jerry,kungekuwapo na katuni za kina Juma na Rosa ila ss ndyo hvyo hahahaaa
  12. REJONGO

    MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

    Kwa hyo mkuu udukuzi ni mbaya?,hv unajua kuwa ni fani za watu hzo so km ww halikuhusu hili somo unatakiwa ukaushie tu kuna mengi sn humu ya kuyajadili jf ni uwanja mpana hvyo unaloona halikuhusu pita kushoto mkuu c lzm kila kitu uchangie
  13. REJONGO

    MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

    Kweli Mkuu naona wengi wamewaza mapenzi ila ni somo zuri sn hili
  14. REJONGO

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Huu ndiyo mwaka nilioanza kuifuatilia JF mkuu,nikawa najiuliza kuna nn huku kwenye huu mtandao kupelekea hawa jamaa kukamatwa,toka kipindi hicho nikawa naingia km guest maana kujiunga ilikuwa ngumu sn tofauti na ss,hv kwa nn kipindi ile ilikuwa ngumu kujiunga jf tofauti na ss mkuu?.
  15. REJONGO

    Ukweli wabainika ,Babu Tale ana pesa chafu kuliko Diamond

    Na mondi naye hakuwa na pesa kiasi hichi alizonazo leo
Back
Top Bottom