Ni kweli tuko nyuma Sana. Yaani sheria za kifedha za nchi zinaruhusu pesa kutoka nje ila pesa kuingia hazitaki.
Hii kitu inawanyima fursa Sana vijana waliojiajiri kama freelancers.
Mbona anachokifanya Mange si kigeni, alishafanya Sana huko nyuma.
https://www.jamiiforums.com/threads/mange-kimambi-anatumwa-anatumika-na-nani.1403085/
Hahaha ila watanganyika mna unafiki Sana, Leo jamaa Kawa mtu mwenye akili tena, si juzi tu mlikuwa mkitukana kuwa kilaza alipokuwa wizara ya nishati hapo.
Alafu hii kitu inashangaza, hii nchi ina border nyingi tu na muingiliano wa watu.
Ila watu wanaotoka kwenye mipaka ya kigoma na kagera ndiyo wanaonekana wakimbizi, wanaonekana siyo raia.
Kuna watu wanaotoka Malawi wako mbeya hawazungumzwi, Kuna watu wanaotoka msumbiji wako mtwara hawazungumzwi...
Yaan mkuu tatizo la plot moja kuuzwa kwa watu watatu Hilo nalo linahitaji kutatuliwa na Raisi ?
Sasa Kama waziri au mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya wameshindwa kutatua hizo shida, wanaendelea kuwa viongozi kwasababu zipi Sasa?
Alafu hivi vitu vinaonekana Kama vipo kwenye DNA ya mwafrika.
Kwa tabia hizi, nchi za Afrika kamwe hazitakuja kupata viongozi walio bora na maendeleo endelevu iwe chini ya mfumo wa vyama vingi au chama kimoja.
Hahahaha, mkuu umewaza Kama nilivyokuwa nawaza. Nadhani kutoka 2005 kwenda 2015 ndiyo ulikuwa wakati sahihi wa Lowasa kugombea uraisi kwakuwa alikuwa Yuko strong Sana na hata kuzungumza alikuwa anazungumza vizuri.
Inawezekana labda walikubaliana na mkwele agombee mkwele then after 10 years...
Hii policy Safi Sana hii, ingetumika Afrika huku, maana Kuna nyumbu nyingi zinawaza dini tu kuliko chochote.
Yaani mwafrika anaona muisrael au mwarabu ndugu yake kuliko mwafrika mwenzake kwasababu ya tofauti ya Imani tu, stupid Africans.
Tafsiri ya mtu katika nchi hii ni mwanasiasa na mwandishi wa habari.
Hao wanaotekwa na kuuwawa si wanasiasa wala waandishi wa habari, that's why watu wanatake easy tu kwakuwa wanaotekwa na kuuwawa ni raia wa kawaida tu.
Ila ingekuwa ni wanasiasa au waandishi ungeona hata kituo Cha haki za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.