Barua pepe kama hii hapa chini huwa nazipata nyingi sana kama spams. Ila inmegundua pia kwamba watumishi wengi wa umma wanashiriki hizi semina na zinga gharama kubwa kuanzia ada mpaka gharama za malazi.
Je semina hizi huwa zina tija kwa taifa letu au ni namna tu ya kuzipa pengo la mishahara...
Pamoja na kwamba haujakuwepo utafiti wa kina katika hili, nimejiridhisha kwamba hili limeanza kuwa tatizo sugu na kuna sababu ya kuliangalia swala hili kwa kina ili kunusuru elimu yetu.
Pengine kutokana na ufinyu wa kipato na mfumo duni wa ukaguzi, waalimu wengi haswa wale ambao ni degree...
Nimekuwa nikijaribu kufuatili mwenendo wa udhibiti wa sekta ya mawasiliano nchini. Tulianza na mfumo wa usajili wa namba za simu lengo likiwa ni kuimarisha usalama na kudhibiti ugaidi. Sina hakika kwamba hii ilikuwa sababu kuu au ni mapokeo tu ya miongozo ya ITU. Hili kama lile la digitali...
Kuna vita nzito ya kipropaganda inayoendelea baina ya hawa Jamaa wa mashariki ya mbali na wale wa magharibi. Ni ukweli usiofichika kwamba uchumi wao unakuwa kwa kasi ya ajabu na hivyo kuwa tishio kwa ulaya na marekani.. Si kusudii kujadili hilo.
Ila nimeguswa na uhusiano kati ya nchi yetu na...
Ndugu zangu wanajamvi.
Leo nimeguswa kutoa mawazo yangu juu ya mijadala mingi kuhusu kiini cha matatizo ya watanzania.
Yamesemwa mengi na pengine si vibaya nikayarudia kumi bora kati ya yale yaliyonigusa zaidi.
Kukithiri kwa rushwa kiasi cha kupoteza usawa na haki katika utoaji wa huduma...
Wadau nimekua nikijiuliza mara nyingi umuhimu wa hizi bodi za taasisi zetu za umma. Ni dhahiri kwamba bodi zinapaswa kuwa na wataalam wa kuzishauri na kuzipa mwongozo taasisi zetu
Hata hivyo napata shaka pale mtu mmoja anapokua mjumbe wa bodi zaidi ya nne,
Hivi huwa wanakaa na kuandika mambo...
Naamini nimeiva kiasi cha kutosha kuchangia jamvini. Naamini kwa namna moja au nyingine nitashiriki kuijenga nchi yetu niipendayo.WanaJF naomba ushirikiano wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.