Kweli Mungu anatuepusha na mengi hapo unakuta watu wa hilo eneo wala hawaumwi ila wewe ambaye tayari umejiwekea mawazo ya ukila hizo chapati na maandazi utaumwa na kweli utendeshaa balaa.
Ni kweli wametuharibu ila na sisi tunapenda geza unakuta mtoto kavalishwa diaper moja from asubuhi mpaka jioni unadhani huyo mtoto vipele,UTI N.K hazitampata mtoto kweli??? wakati hao wazungu mtoto akivalishwa diaper akikojoa tu kidogo inatolewa sisi hatuwezi hivyo? na ni bora kumvalisha mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.