Search results

  1. I J NJOVU

    Wanaume wenzangu hii ikoje

    Habarini! Kuna bidada, tulikutana December 20 mkoani ,tukawa Safari moja iliyotulazimi kutumia 48hrs together. Tukaangukia kwenye mahusiano baada ya chemistry yetu. Tulikuwa Safari moja maana tunaishi mkoa mmoja wilaya tofauti. Since December kutokana na ratiba zangu kubana tulikutana mara moja...
  2. I J NJOVU

    nahisi maumivu yanatembea mwilini

    habarini jamvini
  3. I J NJOVU

    Ushauri kati ya hizi gari wanajamvi

    Habari wanajukwaa. Kutokana na hali ya kiuchumi kuyumba wengi tunashindwa kununua gari za gharama. Husika moja kwa moja kwenye mada nahitaji ka luxury car ya bei ya kawaida. Nimetumia week na zaidi katika kuchagua gari ninayoitaka ila nikapendezwa na hizi gari apo chini na bei zinafanana kwa...
  4. I J NJOVU

    Biashara ya kusafirisha petroleum Tanzania

    Habari maswahiba, sio jambo baya tukipeana mawili matatu kwenye fursa na ujuzi wa biashara ili endapo mmmoja wetu atahitaji kufanya biashara hiyo awe na mwanga kidogo. twende moja kwa moja kwenye mada husika. Hii ni biashara ninayofanya na inalipa vizuri, na ukiwa unatafuta fursa kwenye...
Back
Top Bottom