Search results

  1. LadyAJ

    Msaada wa kujaza kipengele cha TIN namba ya mwajiri

    Rejea hapo juu, naomba msaada wa kupata /kuelekezwa jinsi ya kujaza TIN namba Mwajiri ambae ni Manispaa ya Temeke ili tukamilishe kujaza maombi ya TIN -TRA online Asanten
  2. LadyAJ

    Polisi Dar tusaidieni kuondoa wimbi la wezi mitaani kwetu, wananchi tunaumia

    Hali si shwari mitaani sasa, tena inakua kwa kasi tabia hii ya wizi katika mitaa mbali mbali naomba nizungumzie zaidi mtaa wangu wa Kisewe-Chamazi. Watu tumekuwa hatulali mchana wala usiku maana muda wowote vijana hawa wapo huru kuvamia nyumba za watu na kufanya uharibifu, cha kushangaza Polisi...
  3. LadyAJ

    Walimu hebu mnisaidie hili, hasa wa Manispaa ya Temeke

    Eti walimu mlioajiriwa 2013 na mmepewa barua za kupanda madaraja, hamjabadilishiwa mishahara tu? Nina mdogo wangu ambae nilitarajia nipate nafuu ya kupumzishwa na text zake za "nitoe sister, hali ngumu bado sijarekebishiwa mshahara" Sasa naona kama vile ananiigizia tu, kwa wahusika hebu nipeni...
  4. LadyAJ

    Namshukuru M/Mungu kwa kunijaalia kujifungua Salama

    Sifa zote anastahiki Allah S.W Napenda nimshukuru yeye kwa neema kuu aliyonijaalia mpaka kunifikisha wakati huu wa Leo March 10 kujifungua salama mtoto wa kiume Niwashukuru Madaktari na manesi wa RMC kwa juhudi zao na ujuzi waliojaaliwa na M/Mungu Nimshukuru pia Mwenza wangu amekua na Mimi...
  5. LadyAJ

    Sikujua kumpoteza Baba ni kugumu hivi

    Babangu alizaliwa tarehe 28/12/1958 na alifariki juzi tarehe 25/12/2017 kwa ajali. Kwa hakika katika maisha yangu yote hili ni pigo la pili baada ya pigo la aliyekua mpenzi wangu lakini naona hili ni zito kuliko. Siwezi kulala usingizi bila kulia katikati ya usingizi. Siwezi kula bila...
  6. LadyAJ

    Mwenye Mawasiliano ya Alice Ngoro -Mkufunzi wa mpira wa magongo anisaidie

    Naombq yeyote mwenye mawasiliano na huyu mkufunzi au mwenye mawasiliano ya chama cha Mpira wa magongo Tanzania anisaidie nataka kumpeleka kijana wangu katika kuhudhuria kozi ya ukocha,anapenda sana mpira wa magongo na kupitia Dimba Alice Ngoro ametajwa kua mkufunzi ila hawajaweka mawasiliano...
  7. LadyAJ

    Kuwa mfanyakazi kwenye Serikali hii ni zaidi ya mateso

    Hakika nimepatwa na hali ya kukata tamaa isiyo kifani, TAREHE 24/10/2017 tulipata safari ya kikazi kwenda Zanzibar Ku campaign juu ya Bio gas,namna ya kuandaa na kuitumia 1. Baada ya kipindi kirefu cha mkauko wa safari,kwa kweli hii niliifurahia maana nilijua ukame unaanza kupungua 2. Ni...
  8. LadyAJ

    Mlioko Zanzibar nawasalimu,ama kweli Zenji ni mahali Tulivu

    Nipo Zenji kwa siku ya 5 sasa bado nyingine 5 Kwa hakika Zenji Japo ni Padogo lakini MashaAllah imebarikiwa jaman Unguja kuna vivutio vingi vya kukufanya upende kukaa zaidi, kwa hakika Japo bado sijalipwa fedha za kazi nje ya kituo lakini nimefurahi bwana! Hasa ule mualiko wa Dr. Shein wa...
  9. LadyAJ

    Mapenzi haya, hebu tumshauri huyu mwanaume karudisha mabegi

    Juzi nimepata mtihani kwa kweli sina cha kumshauri huyu ndugu yangu ni mwanamke ana miaka 29 ana mtoto mmoja aliyezaa na mwanaume wa Tanga nimpe jina la X mwenye miaka 40 (Mimi humuita kaka) na kutokana na sababu zao za kikazi mwanaume anaishi Dar mwanamke anaishi Tanga (wote ni waajiliwa). Kwa...
  10. LadyAJ

    Kisa cha Zamaradi na Historia ya Maisha yangu

    Binafsi naomba nimpongeze Zamaradi na nimtake awe na Subira huku akizidisha ibada,huu ni upepo tu na haya yote yatapita na kusahaulika. Naamini Zama alimpenda huyu mtu ajayeitwa Boss wa Shilawadu,ambao kwao wao matatizo yakimgusa boss wao basi wanaona ameonewa na wao wote wamaelemea upande wake...
  11. LadyAJ

    Ushakunaku wa wanaume kujifanya mnaficha watoto ili mtuheshimu wake zenu

    Kitendo tu cha kufungua kufunga mlango na kuvua suruali tayari si heshima tena kwa mkeo! Na kitendo kinachofuata mtakachokifanya ni zaidi ya matusi tutakayo tukanywa mtaani,kazini na mitandaoni. Sasa mnachotuheshimu ni nini? Si upashkuna tu unawasumbua
  12. LadyAJ

    Ndio, nimekubali! Hili neno ni tamu sana

    Miaka 7 imekaribia kufikia September 28 siku ilikua ni ya Jumanne. Nikiwa ndani na siku moja kabla nikiwa nimepambwa mwenyewe. Nilipendeza kwa kweli japo kiroho kilikua kinadunda vibaya mno jioni ile lakini nilikua nikisikilizia kwa ukaribu zaidi kupitia dirishani na hasa yale maneno aliyokua...
  13. LadyAJ

    Mapenzi sio kulala tuu

    Jamani wake wenye waume muinuke mkatafute ili ifike sehemu mwanaume akupende kwa akili yako,akuthamini kwa juhudi zako alipiganie penzi lenu kwa nguvu zote maana atajua kukukosa wewe ni kuikosa Dunia Pamoja na urembo wangu nipo Kilindi Tanga maporini huku tangu asubuhi ya leo nacheka na...
  14. LadyAJ

    Vijana muanzapo kazi mkumbuke heshima ni kitu cha bure

    Subaha ka Salam Watanzania wenzangu, Tumshukuru M/Mungu pamoja na matatizo mengi tunayosongwa nayo ya kijamii, kisiasa, kisaikolojia na kiuchumi lakini bado tunavumiliana, bado tunasikilizana hii ni Tunu pekee tuliyojaaliwa na M/Mungu. Leo ningependa niwakumbushe vijana mnaokuja kuanza kazi...
  15. LadyAJ

    Nawashukuru sana, Asanteni maana shemeji yenu amepona

    Leo siku yangu ilianza vyema na inaelekea kuisha vyema pale ninapokielekea kitanda tayari kwa kujipumzisha,pamoja na yote tunayoyapitia katika maisha tusisahau kuwa watu wenye Iman. Mtume alisema Imani "Ni kumuamini Mwenyezimungu na, Malaika wake , Vitabu vyake, Mitume wake, Siku ya Mwisho na...
  16. LadyAJ

    Nawashangaa wanawake wanaopigwa kama punda na waume zao na bado wanang'ang'ania

    Hii inanishangaza sana, hivi sisi baadhi ya wanawake tukoje? Mtu unapigwa na mwanaume kama punda unakuja kusumbua watu wengine wanakufata wanakuuguza wee ukipona huyo kiguu na njia unarudi huko huko ulikotoka kuumizwa. Hivi kweli mna akili timamu? Hamna kwenu? Mnashindwa kuishi bila ya hao...
  17. LadyAJ

    Nataka kwenda kuchora Tatoo

    Najua ni haramu lakini nahisi nataka hicho kitu,nataka kuweka alama ya ukumbusho wa jina la mtu muhimu sana kwangu!! Hivyo nimevutiwa kwenda kuchora sehemu ya mwili wangu (mkononi) kama ishara yeye kuishi daima mwilini mwangu. Wazoefu naomba mnipe location ya fundi mzuri wa Tatoo na...
  18. LadyAJ

    Wakina mama (wanawake) tuwasaidie wasichana wetu wa kazi kujikwamua kiuchumi badala ya kuwanyanyasa

    Habari za jioni waungwana Mimi na familia yangu Alhamdullilah tunamshukuru M/Mungu kwa neema na Rehma zake. Mimi ni mmoja wa wamama ninayeishi na mdada wa kazi (house girl) ninachotaka kuwaasa wanawake wenzangu na wanaume kwa ujumla ni kua tuishi vizuri na hawa mabinti, kumbukeni kua hata sisi...
  19. LadyAJ

    Katika Miaka 12 ya kifo cha Mpenzi wangu,ningependa kumshukuru Mume wangu

    Tarehe 09/07/2005 M/Mungu alipitisha shani yake ya kumtawaa mchumba wangu Kasim,baba wa Mtoto wangu Abeid (RIP Mwanaume bora wa wakati wote) Alikua ni Mpenzi ambae tulipendana sana, kiasi ambacho niliona bila yeye hakuna maisha ila akaja akaugua ghafla na kufariki Dunia, hapo wakati kifo...
  20. LadyAJ

    Wanaume na wanawake tuna wajibu wa kuishi vizuri na jamii

    Kwa ufupi tu Tabia ya kuwa na mawazo mazuri, kuwaza mema na kulifikiria jambo kwa upande wa uzuri hutusaidia katika namna nyingi. ..........Swali la kujiuliza 1.Je, unaishi kwa kukubalika katika jamii? 2. Je, una maelewano na ushirikiano mzuri na jamii inayokuzunguka? Kama ndiyo unapata faida...
Back
Top Bottom