Search results

  1. Rich Dad

    Nahitaji Pharmacy (duka la dawa) linalouzwa Kigamboni

    Kwa mwenye kuuza duka la dawa kigamboni nahitaji. Iwe ni biashara yenye vibali vyote muhimu na pia unioneshe daftari la mauzo na location iwe nzuri ya kueleweka. Nicheki inbox tuzungumze zaidi.
  2. Rich Dad

    Natafuta madarasa ya kukodisha Kigamboni

    Natafuta madarasa ya shule yaliyokamilika kwa ajili ya kukodisha kigamboni. Kama unayo taarifa yeyote tafadhali nicheck inbox
  3. Rich Dad

    Natafuta Mtaalam wa zao la Kokoa ( Kakao) mkoa wa Morogoro au Tanga

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya aina hii ya kilimo kabla ya kuingia kwenye ukulima wa hili zao. Najua Kyela ni wazoefu zaidi lakini...
  4. Rich Dad

    Breakpoint ya mjini jirekebisheni kwenye Muziki wenu!

    Napenda sana kwenda kukaa pale breakpoint ya mjini siku za ijumaa kusikikilza muziki wa asili. Lakini sifaidi nakereka sana na sauti yao ya juu wanayofungulia, ni kero tupu kwani licha ya kuharibu masikio pia mtu mwenye pressure anaweza hata akazimia kwa kelele za speaker. Breakpoint...
  5. Rich Dad

    Ubaguzi South Africa: White Vs Black women debate

    Jamaa alianza kwa kuomba opinion kama hivi ( bila shaka huyu jamaa ni black) Soma majibu ya makaburu wakizungu hapa chini: Hapa naona black mmoja akajibu mapigo: Mnaweza kuendelea kujisomea wenyewe kwenye hii site hapa chini: m.topix.com/forum/world/south-africa/TBDA7RBRF5BKITF6V
  6. Rich Dad

    Nani wamiliki wa Kampuni ya Zinunula Corporation Ltd?

    Wana JF naombeni kufahamishwa wamiliki wa hii kampuni. Nasikia walishinda kesi dhidi ya TRA baada ya maamuzi ya mahakama kuhusiana na madai ya udanganyifu kwenye VAT. Baada ya court ruling TRA wakaamua kukata rufaa iliyo wagharimu kiasi cha TZS billion moja. Je huu si mchongo ili hata hiyo...
  7. Rich Dad

    note counting machines

    Naomba kujuzwa aina bora ya note counting machines ambazo ni ideal kwa biashara ndogo ndogo. Nitashukuru nikielezwa pia wapi zinapatikana kwa dar es salaam. Shukrani saaaanaaa!
  8. Rich Dad

    Mitandao ya kuagizia magari kwa kutoka dubai.

    Wana JF, Naomba mwenye website za mitandao ambayo inauza gari second hand kwa dubai anirushie hapa. Nasikia gari zipo cheap sana kwa dubai kama ilivyo Japan. Thanks alot.
  9. Rich Dad

    KIgamboni Serikali Imelala: Kuanzia saa 2 Usiku nauli hupanda kuania TZS 500 hadi TZS 1000

    Habari ndio hiyo, Kigamboni haina serikali. Watu wanaendesha maisha wanavyotaka wao. Ikifika saa mbili usiku nauli za daladala zinapandishwa kwa kiwango wapendacho madereva kuanzia TZS 500 hadi TZS 1000. Kiwango hicho hakiangalii unashuka wapi, sehemu yeyote utakayoshuka nauli ni hiyohiyo.
  10. Rich Dad

    Zanzibar itambulike kama nchi Jumuia ya Africa Mashariki

    Sikubaliani na style ya sasa ya watanganyika kuwaburuta Zanzibar kwa mwavuli wa TANZANIA. Nashauri wakuu wetu wa nchi waangalie possibility ya kuipatia zanzibar hadhi ya nchi kwenye uwakilishi wa EAC.
  11. Rich Dad

    Mh. Livingstone Lusinde Kuwa Katibu Mwenezi Taifa!

    Kuna jamaa kanipa nyepesi nyepesi kwamba Mh. Livingstone Lusinde anashawishiwa ili akubali maombi ya kuteuliwa kuwa Katibu Mwenezi wa vyama vya siasa vipya vilivyoanzishwa hivi karibuni ( ADC na CHAUMA). Hivi vyama inasemekana vinashindana kupanda dau ili kuweza kumchukua mpambanaji Lusinde...
  12. Rich Dad

    watanganyika+wazanzibar kitu kimoja! tusigawanywe kwa sababu hizi!

    Naomba Mungu wote kwa pamoja tupate uelewa wa mambo yanayojiri hapa nchini kwetu! Siku hiyo sote kwa pamoja tutakubaliana kutounga mkono hawa wanasiasa! Na sanbaba
  13. Rich Dad

    waziri nchimbi kapima upepo, kaamua kumkaanga Spika wa Bunge baada ya kutoa ukweli wake!

    Nimeangalia video clip iliyorushwa na Star TV leo asubuhi, inayoelezea yaliyojiri bungeni jana baada ya Hamad Rashid kuomba muongozo na kujibiwa majibu ya kifedhuli na Spika wa Bunge ( Namfananisha na Bi-Mkora wa katuni za gazeti la mwananchi). Mara baada ya wabunge wa vyama pinzani kutoka...
  14. Rich Dad

    Wabunge wa CUF washtukia NDOA yao na CCM

    Kwa tukio la jana la Hamad Rashid kukataliwa hoja yake ya kuomba bunge liahirishwe kutokana na dharura ya ajali iliyotokea Zanzibar, na kisha wapinzani wote kuamua kutoka bungeni kuwaacha wale wa CCM waendelee kupitisha bajeti huku wananchi wanakufa maji. Ni dhahiri tukio lile limewafanya CUF...
  15. Rich Dad

    Je, sheria inasemaje kuhusu raia kujitwalia madaraka na kuunda tume huru za uchunguzi?

    Wataalamu wa sheria naombeni muongozo wenu, maana tumeshapoteza imani na Bunge, Jeshi la polisi pamoja na mwenendo wa mahakama juu ya masuala mbalimbali. Je raia wenye nia njema wakiamua kujiundia tume huru ya kuchunguza suala la Dr. Ulimboka, itakuwa ni kosa kisheria?
  16. Rich Dad

    naombeni licence keys za STATA software version 11

    Thanking you in advance
  17. Rich Dad

    Ushauri wa Bure: A. Mahimbo afunge ndoa na Rose Kamili ili kupunguza machungu ya ujane na upweke

    Kwa kuwa wote ( Rose Kamili na A. Mahimbo) ni wahanga wa vitendo vya Dr. Wilbroad Slaa, na kwakuwa hakuna uwezekano kwa Dr. Slaa kumwacha mke wake wa sasa ili kumuoa Rose kamili nashauri A. Mahimbo apunguze machungu kwa kumuoa Rose Kamili. Kwa mawazo yangu naona wawili hawa wanaweza kudumu...
  18. Rich Dad

    RUSHWA: Laini za uwakala wa TiGO-PESA na M-PESA zauzwa na wafanyakazi kwa dau refu!

    HII nchi inakokwenda sijui ni wapi? PCCB wamelala usingizi mzito. Hawana msaada wowote kusaidia kukomesha katabia ka baadhi ya wafanyakazi wa hizi kampuni za simu zenye kuuza laini za uwakala kinyume cha taratibu. Unakuta mtu kakamilisha taratibu zote za usajili, lakini kinachotokea hawa jamaa...
  19. Rich Dad

    Mheshimiwa Mnyaa ndani ya Star TV

    Jamaa kanikuna sana. Kweli sasa CUF mmeanza kuonesha ninyi mnasimamia watanzania. Kipindi cha nyuma mmetaka kudanganywa na ndoa batili ya CCM.
  20. Rich Dad

    Ahadi za JK na Suala la Muungano Lashika kasi ndani ya Bunge

    Bado nawaona wabunge wengi wakiendelea kuikumbushia serikali kuhusu utekelezaji wa ahadi alizotoa JK wakati ule wa uchaguzi mkuu. Kwa upande mwingine wabunge wengi wa Zanzibar wameendelea kuihoji serikali pamoja na kuonesha kutoridhishwa na hatua za utatuaji kero za muungano. Hata hivyo kuna...
Back
Top Bottom