Search results

  1. Mkusa

    CP Simon Sirro Please take Note : Kushamiri kwa Mtukio ya Uhalifu Kata ya Goba

    Kwako Commissioner Simon Sirro, Siku za karibuni kumeshamiri matukio ya Wahalifu kuvamia Makazi ya watu katika kata ya Goba, watu wanaibiwa Mali zao, watu wanajeruhiwa na kuumizwa, Wanaume wanadhalilishwa mbele ya wake zao na wakati Mwingine mbele za watoto wao, watu wanapata usumbufu Mkubwa...
  2. Mkusa

    Engineer's Registration Board : Please Take Note

    Wakuu JF nawasalimu Sana kutoka Malinyi. Nimeamua kutumia Forum hii (Popular Jukwaa la Siasa) kuongea na Body ya kusajili Wahandisi Tanzania (Engineer's Registration Board, ERB) Kumekuwa na a very huge Influx ya The so called Engineers kutoka Nje ya Nchi (Hasa hasa Kenya,China na India) kuja...
  3. Mkusa

    Morogoro: CCM Yabariki tozo la 50,000 TZS Kama ada ya Kuandikishwa STD 1

    Wakuu JF Amani iwe nanyi. Katika muendelezo wa Baadhi ya wana CCM kuhakikisha Wa Tanzania tuna Suffer katika nchi yetu. CCM Morogoro wamekubaliana na kitendo cha kuwatoza wazazi shilingi 50,000 za Ki Tanzania kama ada ya kuandikisha mtoto Mmoja Darasa la Kwanza. Katika kile kilichoonekana kama...
  4. Mkusa

    Too Low For Mwananchi: Uchaguzi wa Kamati za Bunge, Vita Lowassa, Membe yakolezwa

    Just a quote from Uchaguzi wa Kamati za Bunge:Vita Lowassa,Membe yakolezwa - Kitaifa - mwananchi.co.tz So hiyo Vita imekolezwa na Edo kachaguliwa kuwa Chair Wa Kamati ya Bunge kwenye Wizara ionayoongozwa na Membe?? Kama hawa Jamaa wanajua kuwa kuna vita kati ya Membe na Edo, Mbona hawajawahi...
  5. Mkusa

    Dk Slaa: Tuhuma za Lwakatare kuteka waandishi zimepikwa

    KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa amezungumzia video aliyorekodiwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama hicho, Wilfred Lwakatare na kusema ni ya kutungwa na vyombo vya dola. Dk. Slaa pia amelituhumu Jeshi la Polisi kufanya mchezo mchafu kwa...
  6. Mkusa

    Samsung galaxy ace gt-s5830 for sale

    Iko kwenye ubora wa hali ya Juu, running with android GINGERBREAD, only for 400,000 TZS If uoy are interested please PM for further communications and discussion
  7. Mkusa

    Upotoshaji Mwananchi: CHADEMA sasa waanza kulipuana!

    Wakuu, Hawa jamaa wa Mwananchi "wanaingiliwa" nini??? Hebu oneni Jaman Juliana keshavuliwa hiyo title na Uanachama as well. Sasa huko kulipuana CHADEMA ni kati ya nani na nani????? Atapambania wapi sasa??? Mahakamani???, Kigoma ?????mbona hayuko specific!!! Ushauri kwa Juliana Shonza Ni...
  8. Mkusa

    Solution : 404 not found error nginx Unapofungua Google On Windosw OS

    Guys, Sometimes unapofungua google, unaweza ukakutana na hii message 404 not found, this is only kwa Gooogle tu while other sites zinafunguka fresh including Jamiifroums. This is the solution d 7: Click Start and type cmd in the search field Right clicSometimes, the Google...
  9. Mkusa

    NETHERLANDS: Mradi wa Ku Heat Njia za Baiskeli:TANZANIA , Mashangingi!!!!!

    If commuters’ surplus body heat can be used to keep an office building warm, then why not store the heat that beats down on bike paths during the summer and use it to keep them ice-free in the winter months? That, indeed, is precisely the premise behind a test project currently being...
  10. Mkusa

    CHANGE 2013: From Obselete Analogue System (CCM) to new Digital System (CHADEMA)

    Wanabodi, Leo usiku wa Tarehe 31/12/2012 mitambo ya Kizamani ya Analojia itazimwa (Hii ina akisi kuwa, CCM itazikwa rasmi kwenye Mioyo ya Wa Tanzania) Mitambo mipya ya Digitali itawashwa (CHADEMA italipua Mlipuko Mpya wa Matumani kwenye Mioyo ya Wa Tanzania Walio Lala) Ritz , Rejao , TUNTEMEKE...
  11. Mkusa

    CCM: Kumpinga Mwenyekiti ni uhaini

    Wana Bodi, Kila Mara nimekuwa nikijuliza hivi CCM suala la Demokrasia wanamhubiria nani ilhal wao wenyewe hata Maana ya hilo Neno hawaijui na wala hawajui kuishi katika hilo. Kwenye maandalizi ya Uchaguzi wao wa Mwenyekiti kwanza sijasikia ni lini fomu za kuwania nafasi hiyo zilitangazwa kuanza...
  12. Mkusa

    PICHA: Shekh Farid anaikubali M4C ??

    Hebu ichekini wenyewe
  13. Mkusa

    Picha: Nyumbani kwa The Late SACP Liberatus Barlow

    Angalia wanavyojichanganya. Mkuu wa Mkoa: Marehemu alikutwa na umaut alipokuwa anamrudisha Ndugu yake (Na sio Dadaake kama Mwema alivyokurupuka) Home kutoka Harusin (Na sio Kikao Cha Harusi) Akitumia Gari aina ya Toyota Hilux (Na sio RAV4) Akaenda Mbali zaid, wakatokea watu 6 wakazingira...
  14. Mkusa

    Exclusive: Kagame’s Historic Speech In Parliament

    This Man is Intelligent and Brave, Am proud of this Man rather than Mkwe.re. Africa Needs this Man much more than we think Hebu pitia speech yake hapa Exclusive: Kagame PS You will be an Idito of the Year if you will Jump and comment onto this Thread unless you have carefully Passed through it
  15. Mkusa

    Beki 3 Wangu

    Ni Mwezi wa 4 sasa tangu huyu Binti atu join hapa kwetu, mwanzoni siku note but as days goes on, Huyu Bint anazid ku change na kutamanisha, sio mimi tu bali hata washakj wanaonitembelea hawaachi kumwaga comments zao. Nina kama week sasa nafunga na kuomba Mungu aniepushe na shetani Muovu ambaye...
  16. Mkusa

    Mishahara ya Wake Zetu

    Wakuu, Hebu na tu shee Experience zenu especialy nyie wenye wake wanaofanya Kazi namna Pato linavyokuwa Distributed Home. Nataka ku Draw Bonge moja la Conclusion hapa Kwangu
  17. Mkusa

    Peopleeeeeeeeeeee z pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    Wakuu, Naombeni kwa furaha tugongeane cheeeers kwa ku reply kwenye hii thread kwa kujibu" Pawaaaaaaaaaaaaaaaaa" Thats only...
Back
Top Bottom