Hii miaka hamsini sio tunasherehekea kwa kucheza ngoma ,kuvaa tisheti,kubeba mabango ya kupongeza ujinga na kujipatia pa diemu, ukiwa kama msomi ni muda wa kuji evaluati usomi wako umetumikaje kuikomboa jamii, sio unasema tu tuna amani hebu tuache fikra butu, difinisheni ya amani inaanzia kwenye...
ikiwa mtu anaingia tz kwa mara ya kwanza unaweza akasea hakuna wanaojua sheria,tunakuwa fooled ktk mengi.watu wanakuwa charged wrongly ili watoke mfano kesi ya aliyekuwa mkuu wa polisi kanda ..... bwana zo.... eti alichajiwa first degree murder, haya tafsiri yake m2 awe kwenye eneo la tukio sasa...
kazi kwenu wakazi wa mwanza ,ADEM sasa ipo mwanza kutoa mafunzo mbali mbali kwa ngazi ya diploma na sertificate,kwa masomo ya uongozi na utawala pamoja na kozi za kompyuta,chuo kimesajiliwa ni chuo cha serikali. chuo kipo makongoro kliniki karibu na MSD bohari ya madawa ndani ya eneo la...
unajua mpaka msichana anafikia kujichora tatuu huko kwa bibi ni kwamba amemfiili sana labda tu mshikaji amemtosa lakini anampenda sana,kaka piga chini huyo demu fasta,mbaya sana kujua kuwa demu uliyenaye alikuwa anachapwa na nani/
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.