Search results

  1. M

    Msikieni Bwana Benson Bana BBC Swahili

    "Dr." Bana coment zake ni za kutafuta ulaji wa kupewa vyeo vya kuteuliwa na Bwana Mkubwa JK. Imekula kwake kabisaaa. hana jipya kabisa zaid ya kuongea kisichoendana na wakati
  2. M

    MHAVILLE na MSHANA rekebisheni udhaifu huu

    Acha kupayuka payuka wewe. Tupongeze kitu gani hicho? hebu tuambie hicho kizuri unachokiona. lililosemwa ndo ukweli wenyewe. TV hizi hazitupatii ukweli wa mambo! ni kuonesha yale yanayovutia kwa upande mmoja tu bila kuanika ukweli wote hadharani kwa umma wa watanzania. Kama alivyosema mtoa mada...
  3. M

    Sio tishio Arumeru, Nape atimkia Dar akimbia siasa za Arumeru

    kwa hakika mtu mdadidisi na mwenye kujua anachoshabikia akipambanua hiyo picha atabaini kuwa Robo ya watu hao ndiyo wenye sifa ya kuwa wapiga kura wa taifa hili. Wengine na wapiga kura tarajiwa kwa mwaka 2015 au 2020. Hivyo basi nii vema ushabiki ukaendana na hali halisi na mazingira yenyewe. Na...
  4. M

    Mimi na nyumba yangu TUMEAMUA CHADEMA mpaka Kieleweke

    Nimeipenda sana hii. kazana kulea familia iwe na afya tele
  5. M

    Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    kwa hakika umenifurahisha sana na comment yako hii. kwa wataalamu wa uchambuzi wa maandiko ya fasihi natumaini hapo wanasema Lissu kafanikiwa katika uchambuzi huu. Caren big up
  6. M

    Wabunge CHADEMA wamedanganyika?

    Kwa hakika nilipitia kwa umakini makala ya Dilunga lakini nimeona analysis ambayo inaangalia upande mmoja tu wa shilingi! amedandia hoja ambayo haifahamu vizuri! sijui kwa dilunga tatizo la cdm kutoka nje ni nini! ni vema akatueleza kilichomkera yeye! suala ni muswada kusomwa kwa mara ya kwanza...
  7. M

    Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    bado wanaamini wako kutawala milele na kusifiwa na TBC yao! siku ya siku wataumbuka tuuuu
  8. M

    Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    wenzao wa cdm wakiwa wanapekua karatasi kupata hoja makini wao wanafunua glass! sioni aliyeonesha uelewa wa muswada hata mmoja! sijui huko kwa wananchi wanaowawakilisha watawaeleza nini!!!
  9. M

    Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

    ugua pole kiongozi
  10. M

    JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    ha haaaa! hii ni comedy tamu sana! inaonekana kuna harufu ya uanamtandao!! tusubiri mwishi wake au utakuwa wa mbwembwe nyingiii na mwisho wake kama ule wa Richmond?
  11. M

    Tundu Lissu na Wenzake waachiwa kwa dhamana na masharti magumu

    Aisee Mvumbuzi ni siasa za Kimajimbo na Sheria za kimajimbo ambayo inapingana na Sheria mama!!
  12. M

    CHADEMA hopeless

    Kwa mtu ambaye hajui kazi za chama cha kisiasa ataona yanayofanywa na CHADEMA ni tishio kwa Taifa!! Kama chama kinawajibu wa kuishtua dola pale ilipolala na kutotimiza majukumu yake kwani lengo la vyote kwa pamoja is to capture state power!! Is NOT Hopeless kama unavyosema!!
  13. M

    Mazishi ya wanapinduzi wa Nyamongo, TARIME

    Kwa mtazamo wangu ni mapema sana kuwaita "wanamapinduzi" au "wezi" kwani ukweli wa tukio naona bado haujawekwa wazi na wahusika!
  14. M

    Taarifa ya Post motum mauaji ya North Mara-Tarime

    Shukrani kwa taarifa! ila inaonekana vyombo vya usalama vipo kulinda maslahi ya wawekezaji na si usalama wa raia! Hii ndiyo Tanzania yetu!! Mungu Ibariki Tanzania na Watu Wake
Back
Top Bottom