Search results

  1. Oscars

    Ushauri: Hospitali gani Jijini Dar wanapima Covid-19?

    Umenikumbusha maneno ya Mwana "Fa" alipougua corona
  2. Oscars

    Walioitwa interview Africa Princess Casino tujuane

    Lakini ulisema kuna nafasi za Cashier, Waiter, Barman zote hazipo kwenye tangazo... uwe unatoa correct information
  3. Oscars

    Walioitwa interview Africa Princess Casino tujuane

    Search Google Ajira Princess Casino lipo kwa website za mabumbe na unistoretz
  4. Oscars

    Walioitwa interview Africa Princess Casino tujuane

    Nimekutana na HR amenambia leo wanafanya interview ya IT na Dealers... sasa sijui hizo nyingine, then nilienda kwa ajiri ya interview ya Cashier km ulivyoandika wewe kwenye bandiko lako nimeambiwa hakuna hiyo post kwenye tangazo... Labda niapply kwa post zingine, na hao uliowakuta wanachukua...
  5. Oscars

    Walioitwa interview Africa Princess Casino tujuane

    Bado deadline ya application ni 20th Feb
  6. Oscars

    Walioitwa interview Africa Princess Casino tujuane

    Nimefika ila information ulizotoa hazikuwa complete... Leo ilikuwa inafanyika interview kwa watu ya IT TECHNICIANS na DEALERS... ndiomana nilikuwa nataka contact zako ili u specify.
  7. Oscars

    Walioitwa interview Africa Princess Casino tujuane

    Wanatumia jina gani IG?
  8. Oscars

    Walioitwa interview Africa Princess Casino tujuane

    Mbona hamjibu wakuu?? Nataka respond nijue km nimechelewa au naweza kuja muda huu?
  9. Oscars

    Walioitwa interview Africa Princess Casino tujuane

    Islam nipe namba yako pm tafadhali
  10. Oscars

    Nataka kuikimbia Dar es salaam

    Mkuu issue sio sex.. issue ni kuwa na mtu wa kuzungumza na kukupa moyo.
  11. Oscars

    Msaada: Natafuta kazi au kujitolea ya Assistance accountant

    Umesahau Mkuu ni wa Kiume pia.
  12. Oscars

    Nataka kuikimbia Dar es salaam

    Asante maishapopote
  13. Oscars

    Nataka kuikimbia Dar es salaam

    Wakuu Asanteni kwa ushauri.. Baada ya kuweka uzi wangu humu nimeanza kupata madili yaani.. SIHAMI DAR !
  14. Oscars

    Nataka kuikimbia Dar es salaam

    Lakini hivi kumfuatilia mwanamke wako ni wivu wa kijinga? Au mwanamke anaetaka uhuru wake sana ni muaminifu kweli? Au mimi ndie nimekosea kumfumania!!
  15. Oscars

    Nataka kuikimbia Dar es salaam

    Dah hii ndo inaniuma sana
  16. Oscars

    Nataka kuikimbia Dar es salaam

    .
Back
Top Bottom