Search results

  1. Coza Mhando

    King'amuzi gani kiko vizuri kwa Bei na uimara?

    jamani TV yangu inaking'amuzi mojakwa moja Sasa naweza nunua king'amuzi kingine na ikafanya kazi, kama king'amuzi cha azam hivi ?mbona hamnijibu , au hamna ufaham Nazo????
  2. Coza Mhando

    King'amuzi gani kiko vizuri kwa Bei na uimara?

    jamani TV yangu inaking'amuzi mojakwa moja Sasa naweza nunua king'amuzi kingine na ikafanya kazi, kama king'amuzi cha azam hivi ?
  3. Coza Mhando

    Msigwa: Asilimia 80 ya wabunge hawafai

    :a s 20::a s 20::a s 20:
  4. Coza Mhando

    Dr. Nchimbi na urais 2015

    Naheshim mawazo yako. Urais sio Upadri au Usheikh, kuwaza hivyo ni kuwa na fikra mgando, uanamke si kigezo cha kuwa au kutokuwa rais! ni kukidhi vigezo vya kikatiba na kuwa na uwezo wa kutatua kero za wananchi. Unataka kuniambia Mh.Halima Mdee hawezi kugombea urais hata kama amekidhi vigezo vya...
  5. Coza Mhando

    Dr. Nchimbi na urais 2015

    Ameamua kujipumzikia Makinda , ndani ya ccm kuna kambi tatu zenye nguvu, lakini kutokana kambi zote tatu kuwa na mabaka ya ufisadi ni vigumu kuuzika kwa wananchi. Pinda toka awali aliandaliwa kuwa Rais wa 5 wa URT , kwa nature Yake hakupaswa kuwa waziri mkuu kwa sababu si mtendaji kwa viatu...
  6. Coza Mhando

    Dr. Nchimbi na urais 2015

    Kama umewahi kucheza draft utajua ccm wanacheza mfumo upi, hakuna cha nchimbi, maghufuri wala lowasa, Kilichotokea kwenye kinyang'anyiro cha uspika ndani ya ccm ndicho kitakachotokea kwenye urais, Dr Migiro ndio atakayebeba bendera ya ccm
  7. Coza Mhando

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

    ndizo zinazoongoza nji hii, na hii pia unakataa ?
  8. Coza Mhando

    Godbless Lema kuiteka Dodoma leo

    haaa haaa haaa, unaenda kumsikiliza kiranja wa panyaroad!!!!!!!!, Ila tunashukuru Arusha wizi wa magari umepungua kidogo, cdm banha eti kibaka yupo kamati kuu, kaaazi kwelikweli
  9. Coza Mhando

    Jukwaa la Wakristo lapinga Mahakama ya Kadhi kujadiliwa bungeni

    hofu inatoka wapi? asiyeijua umuhim wake anaipinga kwa hoja dhaifu kabisa, waachieni waislam wautumie Uhuru wao wa kuabudu, yaani hilo jukwaa limedhihirisha jinsi udini ulivyojikita kwenye nyoyo zao, Mbona hamkutoa tamko kwenye mgao wa escrow kwa kanisa, mtuambie lini mnazirudisha..
  10. Coza Mhando

    Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    aksante sana, hii kitu nimeipenda sana, itatutoa haswa watu waache kunywa kahawa vijiweni wakatumike tuinue uchumi wetu
  11. Coza Mhando

    Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    bugamba, kigalye, mwamgongo, nyarubanda, nyabutusi-kigoma, bwakila chini,bong'ola, mindu, madaganya, towelo,morogoro
  12. Coza Mhando

    Sheria 13 za mpira wakati tukiwa watoto

    kasheshe ni tunapocheza na watoto wa Manzese morogoro balaa, wanacheza na viwembe mfukoni, mkiwafunga tu kimenuka
  13. Coza Mhando

    Sheria 13 za mpira wakati tukiwa watoto

    dah, nimekumbuka mbali sana, uwanja wa mbuzi vibandani morogoro, baada ya mechi ni ngumi na watoto wa vibandani
  14. Coza Mhando

    Charlie Hebdo: Makanisa yachomwa moto Niger

    Kuna mtu hapa TZ alisema Yesu sio Mungu, alifunguliwa mashtaka na kufungwa miezi 18, hapa napo unasemaje????
  15. Coza Mhando

    Makaidi ajitolea kunusuru 'ndoa' ya Zitto, CHADEMA

    vp umeacha kazi yako ya kuponda kokoto pale Sakina Arusha mkabala na parokia???
  16. Coza Mhando

    Pesa zetu za DECI nani anazo?

    haaa haaa haaa, hadi ije kufika asubuhi ndio watu wakumbuke kujifunika
  17. Coza Mhando

    Hongera Serikali lakini anzeni na huyu mpiga Ramli na Mshirikina mkuu wa Washirikina

    Hivi inakuaje mtumishi wa Mungu anajiita mchungaji then ni shoga au anafumaniwa na mke wa mtu guest?? Hii dini ina walakini!!
Back
Top Bottom