Search results

  1. hydroxo

    Tuwekane sawa jana Simba hawakucheza mpira bali waliruhusiwa kucheza mpira.

    Baada ya mechi ya jana kati ya Simba(makolo) na Al Ahly kuisha kwa kolo kuchomekwa kimoja na kushindwa kukichomoa wameibuka washabiki maandazi wa Simba wasiojua mpira na kuanza kusema jana simba alicheza sana mpira. Kwenye mpira kucheza/kumiliki mpira dhidi ya mpinzani wako kunaweza kutokea...
  2. hydroxo

    Plot4Sale Shamba linauzwa Bagamoyo

    Shamba lipo Zinga kwa Mtoro kilomita moja na nusu kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo(Bagamoyo road). Shamba lina ukubwa wa heka sita na nusu(6.5). Linafaa kwa matumizi ya kilimo, kujenga kiwanda, kujenga shule,kujenga godowns Shamba halina migogoro na document zote muhimu zipo. Bei ni...
  3. hydroxo

    Ajali ya gari Bagamoyo

    Wakuu leo kumetokea ajali mbaya sana Bagamoyo. Mwenye taarifa za uhakika kuhusu ajari hii atujuze. === Coaster inayofanya safari zake kutoka Bagamoyo kwenda Morogoro, imepata ajali kwa kugongana na Canter katika kijiji cha Kiwangwa wilayani Bagamoyo asubuhi ya January 8, 2023. Watu watano...
  4. hydroxo

    Mwenye past papers za A-level za Physics, Chemistry, Biology na Geography za mwaka huu

    Mwenye past papers za A-level za Physics, Chemistry, Biology na Geography za mwaka huu.
  5. hydroxo

    Njoo tufanye biashara.

  6. hydroxo

    Unamtambua mwanafizikia yupi kati ya hawa?

  7. hydroxo

    Dondoo mbalimbali kuhusu chafya

    1. Mwanadamu kamwe hawezi kupiga chafya akiwa usingizini. 2. Mtu anapopiga chafya vijidudu vya magonjwa, vumbi na hata majimaji yaliyomo puani hurushwa kwa nje kwa spidi ya; 161 kilomita kwa saa. 3. Iguana ndiyo wanyama wanaoongoza kupiga chafya kuliko wanyama wote. 4. Chafya iliyodumu kwa...
  8. hydroxo

    Aina za msingi za mapacha(twins) na jinsi wanavyopatikana

    Mapacha ni viumbe(watoto) wanaozaliwa kwa pamoja, mmoja baada ya mwingine na mama mmoja. Kuna aina mbalimbali za mapacha, lakini zilizo za msingi ni mbili,ambazo ni; 1.Mapacha wanaofanana(monozygotic twins). -Mapacha wanaofanana hupatikana kwa yai moja la mama(ovum) kurutubishwa na shahawa...
  9. hydroxo

    Fahamu yafuatayo kuhusu vipepeo(butterflies).

    1.Wakati mwanadamu anatumia ulimi kutambua ladha ya vyakula na vitu mbalimbali,vipepeo utumia miguu yao kutambua ladha za vyakula. 2.Wakati mwanadamu anakadiriwa kuwa na misuli zaidi ya 600,viwazi(larvae) wa vipepeo wenye urefu kati ya sentimeta moja mpaka tano wanakadiriwa kuwa na misuli mara...
  10. hydroxo

    Kuoza kwa vitu(chakula) na kutokea kwa funza

    Kuoza kwa vitu ni badiliko la kikemikali linaloambatana na kuvunjika vunjika kwa maada za kioganiki na kuzalisha kampaundi ndogo ndogo kama vile asidi,gesi na baadhi ya elementi kama kaboni na nitrogeni. Kuoza kwa vitu ni jambo muhimu linalofanya maisha yaendelee,kwani kuoza husaidia kurusha...
  11. hydroxo

    Usiyoyajua kuhusu pweza

    1.Pweza wote wana kichwa kinachoitwa mantle kilichozungukwa na mikono nane inayoitwa tentacles. ogani zote muhimu za pweza kama vile ubongo na moyo hupatikana kichwani. 2.Sehemu ngumu kuliko zote katika mwili wa pweza ni mdomo anaoutumia katika kulia. 3.Damu ya pweza ni ya rangi ya bluu...
  12. hydroxo

    Sababu kwanini mbu hawezi kubeba/kusambaza virusi vya UKIMWI

    Nafikiri ni wengi miongoni mwetu tumeshawahi kujiuliza hili swali, kwamba ikiwa mbu ana uwezo wa kuambukiza malaria kwa kukupa mate yenye vijidudu vya malaria pindi anapokung'ata, je itawezekana kuambukiza virusi vya ukimwi kwa kumng'ata muathirika na baadaye kumng'ata asiye mwathirika. jibu...
  13. hydroxo

    Yafahamu yafuatayo kuhusu meno ya mwanadamu

    1.Mwanadamu uanza kuota meno,kabla hajazaliwa,na meno huchomoza juu na kuonekana baada ya miezi 6 mpaka mwaka baada ya kuzaliwa. 2.Wastani wa urefu wa jino la mwanadamu ni sentimita 2 3.1/3 ya jino la mwanadamu huwa chini ya fizi na 2/3 ya jino huchomoza juu ya fizi,hii ni sawa na kusema...
  14. hydroxo

    Zijue hatua 5 za usingizi

    Wana jamii habari zenu, Nimeanzisha uzi huu kwa sababu ya mwanajamii mwenzetu aliyeniuliza kuhusu rapid eye movement(REM) nami nikaona ni vema kumjibu kupitia uzi huu kwa sababu REM ni moja kati ya hatua 5 za usingizi. Usingizi ni kitendo cha asili cha kulala ama kupumzika kinachoambatana na...
  15. hydroxo

    Yajue yafuatayo kuhusu ubongo wa mwanadamu

    1.Ubongo wa mwanadamu unachukua 2% ya uzito wote wa mwili . 2.Kwa wastani ubongo wa mtu mzima una kilo moja na nusu(1.5Kg)) 3.Ubongo wa mtoto wa miaka miwili una ukubwa wa asilimia 80 sawa na ubongo wa mtu mzima. 4.Ubongo ndio ogani tata(complex organ)kuliko ogani zote zinazojulikana mpaka...
  16. hydroxo

    Fahamu yafuatayo kuhusu mdudu mende

    1.Ni mdudu anayeweza kuishi zaidi ya mwezi bila ya kula chakula chochote. 2.Ni mdudu anayeweza kuishi wiki mbili bila ya kunywa maji. 3.Wakati moyo wa mwanadamu ni mmoja wenye chemba nne mende ana moyo mmoja wenye chemba kumi na tatu. 4.Baadhi ya mende wa kike hawaitaji wanaume kuweza...
  17. hydroxo

    Fahamu kazi za damu mwilini na kwanini damu ina rangi nyekundu

    Damu ni tishu(tissue) iliyo katika hali ya majimaji. Inakadiliwa kila binadamu aliye kijana anamiliki ujazo wa lita tano za damu ndani ya mwili wake. Damu ya mwanadamu imetengenezwa na vitu vikuu viwili ambavyo ni; 1.utegili(plasma) na 2.seli za damu(blood cells). 1.Utegili au plasma ni...
  18. hydroxo

    Kijue kitendo cha kibaiolojia na kikemia kinachofanya maisha yaendelee duniani

    Usanisinuru(photosynthesis);ni kitendo cha kikemia na kibaiolojia ambapo mimea ya kijani(green plants) hubadili nishati ya mwanga wa jua kuwa nguvu ya kikemia inayohifadhiwa na mmea katika sukari aina ya stachi. Kitendo hiki cha usanisinuru hufanywa na mimea ya kijani(green plants) kwa sababu...
Back
Top Bottom